Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Habari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama magufuli ambaye Yuko mstari wa mbele kuwatetea wananchi wake
Nasikia pia watu wa Rwanda wanamkubali sana JPM jinsi alivyoongoza utawala wake na kuziba njia zote za wizi
Tumuache shujaa wetu apumzike kwa amani mengi ameyafanya mazuri wengi moyoni mwenu mnakubali alikuwa kiongozi wa Aina yake kutokea Tanzania
Tufanye kazi kwa bidii na tumuunge mkono mama yetu mama Samia na kazi iendelee