Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakika
Kuna waafrika wengi ni kama wale wanawake wa makabila yenye utamaduni wa kupenda kupigwa, wanawake hao usipowapiga hawafurahi na wanaona huwapendi.
Yani washazoea mikikimikiki, ukiwaongoza bila kuwatukana tukana, kuwatisha tisha, kuwateka teka, wanaona hufai kuwa kiongozi.