OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mnafanya malaika wachochee kuni kwa hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mkuu umekula kote kote. Hongera kwa art hiiHabari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama magufuli ambaye Yuko mstari wa mbele kuwatetea wananchi wake
Nasikia pia watu wa Rwanda wanamkubali sana JPM jinsi alivyoongoza utawala wake na kuziba njia zote za wizi
Tumuache shujaa wetu apumzike kwa amani mengi ameyafanya mazuri wengi moyoni mwenu mnakubali alikuwa kiongozi wa Aina yake kutokea Tanzania
Tufanye kazi kwa bidii na tumuunge mkono mama yetu mama Samia na kazi iendelee
Watu wana maumivu na ulemavu wa kudumu kutokana na amri zake! Kiongozi gani huyo?Habari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama magufuli ambaye Yuko mstari wa mbele kuwatetea wananchi wake
Nasikia pia watu wa Rwanda wanamkubali sana JPM jinsi alivyoongoza utawala wake na kuziba njia zote za wizi
Tumuache shujaa wetu apumzike kwa amani mengi ameyafanya mazuri wengi moyoni mwenu mnakubali alikuwa kiongozi wa Aina yake kutokea Tanzania
Tufanye kazi kwa bidii na tumuunge mkono mama yetu mama Samia na kazi iendelee
mpenda haki anabomoa nyumba za watu (kimara) bila kulipa huku akiacha zile za mwanza ati ndiyo waliomchagua? unajua maana ya haki lakini?Amini kwamba na kwambia hakuna aliyemkamilifu lakn MAGUFULI alikuwa mtetez wa WANYONGE n MPENDA HAKI
wachache nd watanielewa
Labda huko kwenuHabari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli wakenya wengi walikuwa wanamsifia magufuli ni kiongozi shujaa Kenya wanatamani wangepata raisi kama magufuli ambaye Yuko mstari wa mbele kuwatetea wananchi wake
Nasikia pia watu wa Rwanda wanamkubali sana JPM jinsi alivyoongoza utawala wake na kuziba njia zote za wizi
Tumuache shujaa wetu apumzike kwa amani mengi ameyafanya mazuri wengi moyoni mwenu mnakubali alikuwa kiongozi wa Aina yake kutokea Tanzania
Tufanye kazi kwa bidii na tumuunge mkono mama yetu mama Samia na kazi iendelee
Wewe ndo mpumbavu sasa Kwa Sababu mpumbavu Tu ndo anayeweza kumtukana mtu ambaye siyo hai.magufuli alikuwa mpumbavu kama wafuas wake sukuma gang.
Yuko motoni anapokea ujira wakeHabari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani...
Wewe unajuaje kama yupo motoni au wewe ndo shetani?
Pamoja na ushetani wake, linganisha urahisi wa maisha kwa Sasa na kipindi chake. Watanzania tunahitaji Amani, miundombinu na maisha mazuri/rahisi. Sio Amani tu kwamba hatupigani sisi kwa sisi.Hakudhibiti wizi bali aliwadhibiti wengine ili yeye na marafiki zake pamoja na ndugu zake waomole watakavyo na alihakikisha mtu yeyote aliyeinua mdomo wake kumsema vibaya basi anamnyamazisha milele,
watu kama Makonda, Sabaya, Mfugale, Kijazi na jamaa zake wengine walitajirika haraka haraka bila maelezo ya kutosha kwamba ulitokea muujiza gani wa kuwapa utajiri kwa muda mfupi.
Mwenyezi Mungu amlipe anachostahili huko alipo.
Hakuna tofauti kubwa lakini ubaya ni kwamba watu walikuwa wanaishi kama watumwa kwenye nchi yao, kutishwa, kutukanwa na kudhalilishwa ilikuwa ni jambo la kawaida kutoka kwa watawala na mfano mzuri ni wale mawakala wake waliokuwa na roho za kishetani kama Makonda,Sabaya na bila kuwasahau akina Hapi na Chalamila.Pamoja na ushetani wake, linganisha urahisi wa maisha kwa Sasa na kipindi chake. Watanzania tunahitaji Amani, miundombinu na maisha mazuri/rahisi. Sio Amani tu kwamba hatupigani sisi kwa sisi.
Hata enzi zile kule Tabora Kuna kiongozi alimpiga risasi raia.Hakuna tofauti kubwa lakini ubaya ni kwamba watu walikuwa wanaishi kama watumwa kwenye nchi yao, kutishwa, kutukanwa na kudhalilishwa ilikuwa ni jambo la kawaida kutoka kwa watawala na mfano mzuri ni wale mawakala wake waliokuwa na roho za kishetani kama Makonda,Sabaya na bila kuwasahau akina Hapi na Chalamila.
Hata polisi walinyanyasa sana watu na wakakusingizia chochote na ikakubalika mfano juzi kati huko mikoa ya kanda ya ziwa kuna askari alimpiga risasi raia bila sababu na imeelezwa wazi na RPC lakini ingekuwa wakati ule wangesema tu ni jambazi basi.
Kiukweli binafsi simuangalii kwa jema lolote yule mtu maana nikipima naona ubaya ulikuwa mwingi kuliko wema.
Tunataka maisha rahisi, hakuna mkamikifu. Saiz mapungufu mengi, na maisha ni magumu.Hakuna tofauti kubwa lakini ubaya ni kwamba watu walikuwa wanaishi kama watumwa kwenye nchi yao, kutishwa, kutukanwa na kudhalilishwa ilikuwa ni jambo la kawaida kutoka kwa watawala na mfano mzuri ni wale mawakala wake waliokuwa na roho za kishetani kama Makonda,Sabaya na bila kuwasahau akina Hapi na Chalamila.
Hata polisi walinyanyasa sana watu na wakakusingizia chochote na ikakubalika mfano juzi kati huko mikoa ya kanda ya ziwa kuna askari alimpiga risasi raia bila sababu na imeelezwa wazi na RPC lakini ingekuwa wakati ule wangesema tu ni jambazi basi.
Kiukweli binafsi simuangalii kwa jema lolote yule mtu maana nikipima naona ubaya ulikuwa mwingi kuliko wema.
Yeye mwenyewe ndio kubwa la majizi ndio maana liliiba 1.5t sema alikuwa anaangaika kuonea wale aliokuwa na chuki nao tu.Tunataka maisha rahisi, hakuna mkamikifu. Saiz mapungufu mengi, na maisha ni magumu.
Enzi zile za mwamba, Ile bill ya ndege badala ya 36 wakaleta 86, wangethubutu kufanya huo ujanja?
Mpenda haki aliyeuwa kuteka kubambika kesi na kupoteza opponents wake!Amini kwamba na kwambia hakuna aliyemkamilifu lakn MAGUFULI alikuwa mtetez wa WANYONGE n MPENDA HAKI
wachache nd watanielewa
Uko sahihi 100%Amini kwamba na kwambia hakuna aliyemkamilifu lakn MAGUFULI alikuwa mtetez wa WANYONGE n MPENDA HAKI
wachache nd watanielewa