Hayati Dkt. Magufuli siyo dikteta, ni kiongozi Bora kuwahi kutokea Tanzania

Hakika
 
Utapeli wako ni mpk na jf,? Assad hakufukuzwa,ila hakuongexewa mda, kuhusu bureu de change,mie nafkiri wewe sio mwongo,ila ni mjinga tu,hujui utaratibu wa namna ya kuendesha maduka ya kuuza na kununua fedha.kilichofanywa na jpm ni kitu halali kwa sheria ya uendeshaji bureau de change inayosimamiwa na bank kuu.ila waporaji kama nyie ni lazima mlaumu.
 
mpenda haki anabomoa nyumba za watu (kimara) bila kulipa huku akiacha zile za mwanza ati ndiyo waliomchagua? unajua maana ya haki lakini?
Walivamia barabara unataka awalipe badale mlipe nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…