MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama mjamzito akijifungua anakamata US $ 5000 matunzo ya mtoto,kiLa mwananchi kuwa na makazi pa kuishi,haya yote yalitokana na mafuta aliyochimba yeye kabla ya hapo mafuta yalichimbwa na mabeberu chini ya utawala wa mfalme akaamua kuipindua,Sasa Tanzania my country tunashindwa wapi gesi ipo madini yapo najua Ipo siku tutampata gadafi wetu japo juzi hapo aliibuka gadafi wetu na akatutoka ghafla