Hayati Gadafi wakati akiongoza alitumia rasilimali ya mafuta kwa kutokuwa na madeni Tanzania inafeli wapi?????

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama mjamzito akijifungua anakamata US $ 5000 matunzo ya mtoto,kiLa mwananchi kuwa na makazi pa kuishi,haya yote yalitokana na mafuta aliyochimba yeye kabla ya hapo mafuta yalichimbwa na mabeberu chini ya utawala wa mfalme akaamua kuipindua,Sasa Tanzania my country tunashindwa wapi gesi ipo madini yapo najua Ipo siku tutampata gadafi wetu japo juzi hapo aliibuka gadafi wetu na akatutoka ghafla

images (3).jpeg
 
Leadership makes difference. Tulimpata Magufuli aliyekuwa na akili ya utambuzi, maono na uthubutu! Lakini bahati mbaya hajadumu.
Lakini la kusikitisha kina baadhi ya watanzania wenye uelewa finyu walitekwa akili na wanasiasa waroho wa madaraka na wazungu ”mabeberu” na kukubali kutumika kumpinga.

Umasikini wa Afrika ni kutokana na kunyonywa na wazungu. Tukijitambua tunaweza piga hatua
 
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama mjamzito akijifungua anakamata US $ 5000 matunzo ya mtoto,kiLa mwananchi kuwa na makazi pa kuishi,haya yote yalitokana na mafuta aliyochimba yeye kabla ya hapo mafuta yalichimbwa na mabeberu chini ya utawala wa mfalme akaamua kuipindua,Sasa Tanzania my country tunashindwa wapi gesi ipo madini yapo najua Ipo siku tutampata gadafi wetu japo juzi happy aliibuka gadafi wetu na akatutoka ghafla

View attachment 2063094
Usifananishe Tanzania na Libya ..mafuta ni most marketable good in the world tofauti na madini tuliyonayo labda ungezungumxia Botswana
 
Wakati tuna gesi,Madini mpaka barazani na huko Bagamoyo kwenye mbuga ya Sadani zamani ilijulikana kama Lazaba kuna dalili ya mafuta yanayo kadiliwa kuwa mengi kupita Sudan Kusini.
 
Leadership makes difference. Tulimpata Magufuli aliyekuwa na akili ya utambuzi, maono na uthubutu! Lakini bahati mbaya hajadumu.
Lakini la kusikitisha kina baadhi ya watanzania wenye uelewa finyu walitekwa akili na wanasiasa waroho wa madaraka na wazungu ”mabeberu” na kukubali kutumika kumpinga.

Umasikini wa Afrika ni kutokana na kunyonywa na wazungu. Tukijitambua tunaweza piga hatua

[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wakati tuna gesi,Madini mpaka barazani na huko Bagamoyo kwenye mbuga ya Sadani zamani ilijulikana kama Lazaba kuna dalili ya mafuta yanayo kadiliwa kuwa mengi kupita Sudan Kusini.
Kama yamegundulika, afadhali yasianze kuchimbwa sasa, hadi kizazi hiki cha laana tulichopo hivi sasa M/Mungu akiangamize.

Yakianza kuchimbwa, hakuna tutakachoambulia raia kama ambavyo hatujaambulia chochote kwa gesi ya mtwara!
 
Kuweni wakweli Mbunge Profesa Muhongo akiwa Waziri wa Nishati na Madini alisema ukweli kuhusiana na uwekezaji kwenye madini akadhalilishwa na kuvuliwa uwaziri.Mafuta na Madini ni mboni ya uchumi wa nchi nayo inataka uthubutu kama SGR au JNHP.
 
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama mjamzito akijifungua anakamata US $ 5000 matunzo ya mtoto,kiLa mwananchi kuwa na makazi pa kuishi,haya yote yalitokana na mafuta aliyochimba yeye kabla ya hapo mafuta yalichimbwa na mabeberu chini ya utawala wa mfalme akaamua kuipindua,Sasa Tanzania my country tunashindwa wapi gesi ipo madini yapo najua Ipo siku tutampata gadafi wetu japo juzi hapo aliibuka gadafi wetu na akatutoka ghafla

View attachment 2063094
Gesi ipi uliyonayo?nchi hii kwa sasa hakuna madini yoyote yale unayoweza kusema ni yetu!!yote yalishauzwa, eti gadaffi wetu!!!hakuna cha gadafi wala nini bali alikuwa mwizi tu!!mbele ya wananchi unajifanya unawachukia mabeberu, huko mafichoni unawaomba pesa!!Gadafi aliweza hilo kutokana na toka alipochukua madaraka karibia miaka 40 nyuma akaamua hivyo kuwa ctaki beberu, sasa hapa kwetu kila kona beberu ana chimba madini, kwa mikataba halali aliyopewa na hao hao, leo hii unaanzia wapi kutaka kumtoa??cinema ya makinikia iliishia wapi ya zile trilion 450?!!
 
Mkuu umenena na tafakari lako very educative.Maono ya Mhe. Muhongo akiwa Waziri wa Nishati na Madini yalipuuzwa na kuitwa mzandiki. Hatua anazochukua Rais Samia zitatuvusha na kuanza historia mpya ya kujenga Tanzania.Migodi yote ya madini na visima vya mafuta viko rehani.
 
Leadership makes difference. Tulimpata Magufuli aliyekuwa na akili ya utambuzi, maono na uthubutu! Lakini bahati mbaya hajadumu.
Lakini la kusikitisha kina baadhi ya watanzania wenye uelewa finyu walitekwa akili na wanasiasa waroho wa madaraka na wazungu ”mabeberu” na kukubali kutumika kumpinga.

Umasikini wa Afrika ni kutokana na kunyonywa na wazungu. Tukijitambua tunaweza piga hatua
Khadafi hakujenga kwa kudhulumu na kubambikua kesi kama JPM.
JPM aliminya mishagara isipande iki atumie hela za watumishi kujengea mabwawa.Wastaafu walizungushwa mafao yao, fao la kujitoa ajalizima ili avune hizo pesa ajengee barabara.
Alinyang'anya pesa za wafanyabuashara kwa nguvu and then he died.
Kama unafanya dhulma hadumu kamwe.
Angejenga bika kuumiza watu kla mtu angemuunga mkono sio kwa dhulma.
Magu alikuwa mwizi kwa nwavuli wa serikali.
 
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama mjamzito akijifungua anakamata US $ 5000 matunzo ya mtoto,kiLa mwananchi kuwa na makazi pa kuishi,haya yote yalitokana na mafuta aliyochimba yeye kabla ya hapo mafuta yalichimbwa na mabeberu chini ya utawala wa mfalme akaamua kuipindua,Sasa Tanzania my country tunashindwa wapi gesi ipo madini yapo najua Ipo siku tutampata gadafi wetu japo juzi hapo aliibuka gadafi wetu na akatutoka ghafla

View attachment 2063094
Eti gadaffi wenu! Acha kumfananisha Gadafi na vitu vya hovyo maana hakuwahi kukwapua 1.5trillion.
 
Ila gadafi atabaki kuwa kiongozi bora kwa wananchi wake kuliko kiongozi yeyote afrika, hakuna cha nyerere wala mandela

Hakuwa na unafiki na alikuwa mkweli na kila kitu ni vitendo tu
Ila mtu mweusi huyo mdudu yumo kichwani hana dawa?

Tatizo letu ni wizi na uongo
Hata hao kina nyerere walikuwa ni maneno tu vitendo sifuri
 
Back
Top Bottom