Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

What is the problem up to here.
Mwalimu alikua na ideology za kimaskini ambazo 95 zilishakuwa obsolete.
Umaskini syo ujanja ni moja ya Ujinga
 
Pesa muhimu. Wapambe wenye njaa watakufanyiaje kazi? Mwalimu alikuwa na fikra za kimaskini sana. Mtu kuwa tajiri haimaanishi mwingine atakuwa maskini.
 
Pesa muhimu. Wapambe wenye njaa watakufanyiaje kazi? Mwalimu alikuwa na fikra za kimaskini sana. Mtu kuwa tajiri haimaanishi mwingine atakuwa maskini.
Mwalimu hakuchukia matajiri halali wenye kulipa kodi !
Bali aliwachukia wenye mali zisizofahamika zilipatikanaje !
Huwezi kutumikia mabwana wawili !

Ukitaka utajiri tuachie kazi na ofisi yetu uende ukafanye biashara halali kisha ulipe kodi !
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Mwalimu Nyerere !
Msidanganywe !! 🙏🙏
 
Kwa hiki [emoji115] ulichoandika, itoshe kusema wee jamaa hujui chochote kuhusu mambo ya uongozi na siasa za nchi hii!
 
Story za kipumbavu hizi!
 
Stori za vijiweni mnatuletea great thinkers
 
Hahahaha
 
Huu uongo wa kitoto sana.BMW alikuwa ni kipenzi cha mwalimu kwa urais wa JMT baada ya Dr Salim,hiyo sababu dhahania haiwezi kutosha kumuondoa BMW moyoni mwa mc

Yaan unaamua kutunga hadithi ndefu Sana ili tu kupotosha ukweli halisi. Mwalimu, Nyerere hajawahi kumfikiria kabisa, Kikwete kama MTU wake muhimu katika, nafasi ya urais. Happy mzee umetudanganya. Nakumbuka MTU wa, kwanza kufikiriwa kwenye hiyo nafasi ya, urais na mwalimu alikuwa Dr Salim Ahmed Salim. Lakin Salim alikuwa, bado ni katibu mkuu wa OAU.Term yake ilikuwa haijaisha. Mwalimu alisema wazi kabisa kuwa, kijana, safi kabisa, nitakaye mpendekeza na nitampigia, kampeni nchi nzima ni Benjamin Mkapa. Na wote tuliona na kushuhudia. Leo tunatungiwa uongo kuwa JK wa msoga alikuwa pendezo la JK wa, Butiama.sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…