mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Ngoja Tusubiri tuone !Kosa la JPm lilikuwa ni hili....kumsogeza huyu mwamba. Alishapotezwa vizuri. Now is back and fired!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Tusubiri tuone !Kosa la JPm lilikuwa ni hili....kumsogeza huyu mwamba. Alishapotezwa vizuri. Now is back and fired!
What is the problem up to here.Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kychukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima kusaka wadhamini, walikuwa na miaka 42 kwa 45 mtawalia. Wakajiita Boys II Men.
Aliyekodi ndege ni Lowassa Jk alipewa lift tu, makubaliano ni kuwa yeyote ambaye angepita amteue mwenzake kuwa Waziri mkuu na baada ya miaka kumi huyo waziri mkuu agombee urais, hapa ni kama Putin na medinedev wanavyofanyaga.
Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege, na akaambiwa anaambatana na mtoto wa rafiki yake marehemu Mrisho Kikwete, yaani Jakaya.
Mwalimu akamuita Jakaya Msasani ili kumuonya akae mbali na EL. JK bila kutambua akampa lift EL kwenye gari aina ya Ssang yong Musso mpaka msasani.
Taarifa zikamfikia mwalimu kuwa Jk kaja na EL, mwalimu akajifanya anatoka nje kwa hasira na kumfokea kuwa amechelewa appointnent atoweke haraka mahali hapo kufumba na kufumbua Jk kwa shingo upande akaondoka bila kujua sababu.
Mwalimu akidhani JK amegundua kosa lake, kumbe wapi, kwenye vikao vya mchujo Jk uso kwa uso tena na mwalimu, na akaulizwa if you become a president who gonna be your prime minister, JK akayakoroka kwa kusema Edward Lowassa, mwalimu akamwambia asante kwa kushiriki ,jina la JK likakatwa kibabe na akapachikwa Benjamin Mkapa.
Matumizi makubwa ya pesa katika kusaka madaraka yalimponza EL.
.....,....Itaendelea
Acha siku RA aje ajibu hapa.....kuhusundege alikodi nani.....!!Ile Ndege walikodi Temu na Mataka
Mlale unono 😀😀
Ufisadi je ??!!What is the problem up to here.
Mwalimu alikua na ideology za kimaskini ambazo 95 zilishakuwa obsolete.
Umaskini syo ujanja ni moja ya Ujinga
Iko vile Mkuu 😅🙏Kwa UFISADI mkubwa alioufanya Edward Lowassa nashangaa kuona ANAAGWA KIHESHIMA, ANASIFIWA na kuonekana alikuwa ni MTU WA MAANA. Sasa nimeamini kuna Taifa hapa Afrika Mashariki lina Watu / Raia WAPUMBAVU ( FOOLS ) mno.
Pesa muhimu. Wapambe wenye njaa watakufanyiaje kazi? Mwalimu alikuwa na fikra za kimaskini sana. Mtu kuwa tajiri haimaanishi mwingine atakuwa maskini.Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kychukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima kusaka wadhamini, walikuwa na miaka 42 kwa 45 mtawalia. Wakajiita Boys II Men.
Aliyekodi ndege ni Lowassa Jk alipewa lift tu, makubaliano ni kuwa yeyote ambaye angepita amteue mwenzake kuwa Waziri mkuu na baada ya miaka kumi huyo waziri mkuu agombee urais, hapa ni kama Putin na medinedev wanavyofanyaga.
Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege, na akaambiwa anaambatana na mtoto wa rafiki yake marehemu Mrisho Kikwete, yaani Jakaya.
Mwalimu akamuita Jakaya Msasani ili kumuonya akae mbali na EL. JK bila kutambua akampa lift EL kwenye gari aina ya Ssang yong Musso mpaka msasani.
Taarifa zikamfikia mwalimu kuwa Jk kaja na EL, mwalimu akajifanya anatoka nje kwa hasira na kumfokea kuwa amechelewa appointnent atoweke haraka mahali hapo kufumba na kufumbua Jk kwa shingo upande akaondoka bila kujua sababu.
Mwalimu akidhani JK amegundua kosa lake, kumbe wapi, kwenye vikao vya mchujo Jk uso kwa uso tena na mwalimu, na akaulizwa if you become a president who gonna be your prime minister, JK akayakoroka kwa kusema Edward Lowassa, mwalimu akamwambia asante kwa kushiriki ,jina la JK likakatwa kibabe na akapachikwa Benjamin Mkapa.
Matumizi makubwa ya pesa katika kusaka madaraka yalimponza EL.
.....,....Itaendelea
Mwalimu hakuchukia matajiri halali wenye kulipa kodi !Pesa muhimu. Wapambe wenye njaa watakufanyiaje kazi? Mwalimu alikuwa na fikra za kimaskini sana. Mtu kuwa tajiri haimaanishi mwingine atakuwa maskini.
Kwa hiki [emoji115] ulichoandika, itoshe kusema wee jamaa hujui chochote kuhusu mambo ya uongozi na siasa za nchi hii!Ni kweli alimshughulikia Kighoma Malima barabara
Ufisadi fisadi wa kwanza mkubwa alikuwa waziri alikuwa Kighoma Malima mtu wa swala Tano ila fisadi hatari na sigda yake usoni na swala Tano akiwa waziri wa Fedha mikashfa kibao ya kifisadi
Raisi Mwinyi akaona atafute mtu serious kweli akampa Kikwete uwaziri wa fedha na akamtoa Kighoma Malima na akampa Kikwete , Kikwete alimshughulikia barabara bila kujali ni mtu wa Pwani mwenzie au Muislamu mwenzie account zake nje alikoficha pesa Kighoma Malima alisafiri hija kumbe anaenda kutaka kukimbia nchi akatoe pesa kule kaweka nje akaenda hija na nyumba ndogo bi mdogo kisha akaenda huko ulaya atoe pesa wale maisha ulaya huko akakuta Kikwete waziri wa fedha kazipiga pin Akaunti Zote hakuna pesa ya kutoa
Akapata presha akafa wakarudisha kuzika Tanzania Kwa hasira familia yake waliogoma hawakutaka Serikali ihusike Hadi Mwanawe mkuu wa mkoa Sasa hivi alitorokea upinzani
Kikwete ndio alikuwa waziri wa kwanza Enzi hizo kupambana na fisadi mkubwa Malima aliyekuwa waziri wa fedha Kabla yake
Kwa Hilo apewe hongera na maua yake
Story za kipumbavu hizi!Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kychukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima kusaka wadhamini, walikuwa na miaka 42 kwa 45 mtawalia. Wakajiita Boys II Men.
Aliyekodi ndege ni Lowassa Jk alipewa lift tu, makubaliano ni kuwa yeyote ambaye angepita amteue mwenzake kuwa Waziri mkuu na baada ya miaka kumi huyo waziri mkuu agombee urais, hapa ni kama Putin na medinedev wanavyofanyaga.
Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege, na akaambiwa anaambatana na mtoto wa rafiki yake marehemu Mrisho Kikwete, yaani Jakaya.
Mwalimu akamuita Jakaya Msasani ili kumuonya akae mbali na EL. JK bila kutambua akampa lift EL kwenye gari aina ya Ssang yong Musso mpaka msasani.
Taarifa zikamfikia mwalimu kuwa Jk kaja na EL, mwalimu akajifanya anatoka nje kwa hasira na kumfokea kuwa amechelewa appointnent atoweke haraka mahali hapo kufumba na kufumbua Jk kwa shingo upande akaondoka bila kujua sababu.
Mwalimu akidhani JK amegundua kosa lake, kumbe wapi, kwenye vikao vya mchujo Jk uso kwa uso tena na mwalimu, na akaulizwa if you become a president who gonna be your prime minister, JK akayakoroka kwa kusema Edward Lowassa, mwalimu akamwambia asante kwa kushiriki ,jina la JK likakatwa kibabe na akapachikwa Benjamin Mkapa.
Matumizi makubwa ya pesa katika kusaka madaraka yalimponza EL.
.....,....Itaendelea
Stori za vijiweni mnatuletea great thinkersMwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kychukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.
Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima kusaka wadhamini, walikuwa na miaka 42 kwa 45 mtawalia. Wakajiita Boys II Men.
Aliyekodi ndege ni Lowassa Jk alipewa lift tu, makubaliano ni kuwa yeyote ambaye angepita amteue mwenzake kuwa Waziri mkuu na baada ya miaka kumi huyo waziri mkuu agombee urais, hapa ni kama Putin na medinedev wanavyofanyaga.
Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege, na akaambiwa anaambatana na mtoto wa rafiki yake marehemu Mrisho Kikwete, yaani Jakaya.
Mwalimu akamuita Jakaya Msasani ili kumuonya akae mbali na EL. JK bila kutambua akampa lift EL kwenye gari aina ya Ssang yong Musso mpaka msasani.
Taarifa zikamfikia mwalimu kuwa Jk kaja na EL, mwalimu akajifanya anatoka nje kwa hasira na kumfokea kuwa amechelewa appointnent atoweke haraka mahali hapo kufumba na kufumbua Jk kwa shingo upande akaondoka bila kujua sababu.
Mwalimu akidhani JK amegundua kosa lake, kumbe wapi, kwenye vikao vya mchujo Jk uso kwa uso tena na mwalimu, na akaulizwa if you become a president who gonna be your prime minister, JK akayakoroka kwa kusema Edward Lowassa, mwalimu akamwambia asante kwa kushiriki ,jina la JK likakatwa kibabe na akapachikwa Benjamin Mkapa.
Matumizi makubwa ya pesa katika kusaka madaraka yalimponza EL.
.....,....Itaendelea
Wewe Dada acha uongo, ni lini JPM aliropoka,Na hili wengi hawalifahamu. Hata marehemu JPM kuna kipindi alikuwa anaropoka kuwa Kikwete alimlazimisha kuchukua fomu
HahahahaAlianza kidogo kidogo akiwa CCM mikoani.aliposhinda ubunge 1990 na kuwa ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa alizipiga kweli,akiwa ardhi ndio balaa kajimilikisha ardhi na viwanja vingi sana prime areas,kaingia mikataba ya kimagumashi sana,aliwahi kumtapeli hadi john malecele mgawo wa rushwa,malecela skiwa bosi wake,jamaa slikuwa fisadi kweli sio uongo
baba yale alikuws na ngombe elfu kumi.alikuwa anafanya utalii na kukopa mabenkOngezea na mkapa akaja kuwa fisadi papa
Kwa hiyo Nyerere Hana haki ya kutambua nani malaika na Nani shetani
Huu uongo wa kitoto sana.BMW alikuwa ni kipenzi cha mwalimu kwa urais wa JMT baada ya Dr Salim,hiyo sababu dhahania haiwezi kutosha kumuondoa BMW moyoni mwa mc
Yaan unaamua kutunga hadithi ndefu Sana ili tu kupotosha ukweli halisi. Mwalimu, Nyerere hajawahi kumfikiria kabisa, Kikwete kama MTU wake muhimu katika, nafasi ya urais. Happy mzee umetudanganya. Nakumbuka MTU wa, kwanza kufikiriwa kwenye hiyo nafasi ya, urais na mwalimu alikuwa Dr Salim Ahmed Salim. Lakin Salim alikuwa, bado ni katibu mkuu wa OAU.Term yake ilikuwa haijaisha. Mwalimu alisema wazi kabisa kuwa, kijana, safi kabisa, nitakaye mpendekeza na nitampigia, kampeni nchi nzima ni Benjamin Mkapa. Na wote tuliona na kushuhudia. Leo tunatungiwa uongo kuwa JK wa msoga alikuwa pendezo la JK wa, Butiama.sio kweli.Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kychukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.