Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Lowassa alikuwa fisadi na mbaguziMwalimu Nyerere KAMWE asingeweza kumwamini Lowasa kuwa rais wa nchi hiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowassa alikuwa fisadi na mbaguziMwalimu Nyerere KAMWE asingeweza kumwamini Lowasa kuwa rais wa nchi hiii
Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja
Walioshadadia Kashfa ya Monduli
1) Freeman Mbowe
2) Godbless Lema
3) Chrstopher Ole sendeka
4) Anne Kilango Malecela
wote hawa wanatokea unapotokea Wewe mbaguzi
au wakati wa Kashfa ya Richmond mlikuwa bado wadogo
Waliotupiwa zigo la Monduli walifanyie kazi walikuwa Home boy ambao leo ndio hao hao wanalalamikia wakwere walivyokuwa akili nusu Mlingoti
hao hao ndio walikuwa wanamtukana Mkwere kuwalinda wana mtandao!
Mwanasiasa Mahiri na madhubuti lazima uwe mtulivu, akili nyingi sana na mvumilivu na sifa zote hizo Adui yenu mkuu anazo
Sifa kubwa sana ambayo Mkwere na Mzee wa Monduli pamoja na kutofautiana walikuwa nayo ni kutopenda kulalamika lalamika
ukim snitch anaku snitch na wakikutana kila mmoja anajibu am fine
Walimzunguka Bosi kwny Richmond nae akawapelekea moto kwa kutumia hiyo hiyo Richmond
walipotolewa nje ya Game wakaunda magenge mengi sana ya hujuma hadi migomo mikubwa mikubwa akapiga kimya akawasubiri 2015 akala kichwa
Wakahamia upande wa pili wamuoneshe show kwa kuwa wana watu na pesa nae akawaonesha ana akili na dola wakamalizana kibingwa
na wote hawakuwahi kulalamika hadharan
Kitu cha kujivunia Jk alisikiliza kilio cha Wengi cha kulipasua Kundi lake la Wanamtandao
2017 alimtumia Mzee wa Kundi Samwel Sitta kumpumzisha Ngoyai na 2010 akatumia nguvu na ushawishi wa Ngoyai kupitia NEC kuweka vipengele cha Jinsia kumpumzisha Uspika Mzee Sitta
2011 akamtumia aliekuwa Mwanamtandao wa Mzee Sumaye Ndugu Nape akampa Ukatibu wa Itikadi akaanza ku deal na mapacha watatu na Tajiri wa Igunga akavua jezi
na 2015 akakamilisha madaraka yake kwa kuhakikisha Wanamtandao hawapo tena kama kundi
Pamoja na tofauti zote na rafu zote za Siasa hakuwa na muda kuhujumu uchumi au biashara ya Mtu japo alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo
alijua Michezo ya Siasa itaishia kwny Siasa sio kutafutana kwenye Bank Accounts na Assets za mtu
Na hili wengi hawalifahamu. Hata marehemu JPM kuna kipindi alikuwa anaropoka kuwa Kikwete alimlazimisha kuchukua fomu
2008 pia Lema alikuwa TLP hakuwa Chadema. Sasa sijui unataka kusemaje hapo!Kushadadia ni kuwa Wabunge ?
au wakati unasoma tayari ulikuwa na mawazo yako kichwani ?
Wakati Lowassa na Rostam wanatangazwa rasmi viwanja vya Mwembe Yanga kama mafisadi Papa, Chairman wa Chadema alikuwa Kikwete?
Kamati kuu ya Chadema iliyoridhia ku upload orodha ya Mafisadi Papa na Jina la Lowassa likiwemo iliongozwa na Salma Kikwete ?
Tanzania Daima gazeti binafsi la Freeman lilipokuwa linashadadia ufisadi wa Rostam na Lowassa ulikuwa bado akili hazijakomaa ?
Kando ya Kambarage. Mkwere ni nguli wa siasa za Tanzania watoto wadogo hawawezi kulielewa hili.
Kwa hii statement yako inaonekana kabisa ni kinda la juzi unakaa vijiwe vya kahawa unasikiliza umbea unauleta kwa great thinkers😂😂😂Ulikuwa bado kwenye kende za baba malafyake soma ujifunze kwa wakubwa zako
Jakaya Kikwete alikuwa pale CCM Singida na baadaye huko Mtwara ndipo alipofanyiwa lobbying kwa Mzee Mwinyi na swahiba wake hayati Ukiwaona Ditopile Mzuzuri ndipo alipoteuliwa na Mzee Mwinyi kuwa Naibu Waziri !!
Hii maneno ya kuwa alikuwa karibu sana na Mwalimu sijawahi kusikia hii kitu kabisaaa !! [emoji28][emoji120][emoji120]
Alivyokuwa anajitapa kichinjio cha 2015 anacho yeye alikuwa anamaanisha nini??kumzuia Dr Ibrahim Msabah aliekuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Kibaha ku approve advance payment ya 10 Billion kwa Kampuni feki ya Richmond ambayo ilikuwa ya mwisho kwenye Procurement process lakini Management ya Tanesco ikalazimishwa kwa Vimemo iwape Tender
baada ya kupewa Tender wakataka walipwe advance payment hiyo wakati haikuwemo kwny terms of contract
ndipo Mh.Rais akastukia kitu akatumia weledi wake wa kimedani akajua Watu aliowaamini wameanza kumzunguka.
Media zikaanza ku report hiyo kashfa nae akaridhia uchunguzi huru kwa Bunge kuchunguza
Report kabambe ya Uchunguzi ya Dr Harrison Mwakyembe, akisaidiwa na Eng. Stella Manyanya kama Makamu Mwenyekiti pamoja na Wajumbe kina Lucas Selelii Mbunge wa Nzega wa wakati huo wakafanya kazi kubwa na ya kizalendo
matokeo kuletwa Bungeni ikabidi ijadiliwe then watuhumiwa ambao ni Wabunge wajibu hoja
Hoja za Utetezi zilipoanza alisimama Peter Serukamba Mbunge wa Kigoma Mjini kumtetea Lowassa
lowassa akamuomba Spila Sitta amzuie Serukamba na badala yake akatangaza kujiuzulu akafuatia Karamagi then Msabaha
Rostam akiwa Katibu wa Uchumi wakati huo akabadilishwa baada ya muda mfupi
JK hakuwafanyia figisu lolote zaid ya kuwatoa kwny Serikali yake na nongwa ikaanzia hapo
Kuweka rekodi sawa hata Mama Samia akipofuatwa na Kikwete kuwa awe mgombea mwenza wa Raisi Magufuli alikataa hakuwa na mpango Kabisa Hadi alilia kukataa
Akaambiwa tunakupa taarifa tu safari mgombea mwenza CCM tunataka wanawake mumeshakomaa kiongozi Wewe umeshakuwa Hadi Spika bunge la katiba tunakutaarifu tu Wewe ndie utakuwa mgombea mwenza ukikwama utasaidiwa Chama, Serikali wasaidizi wako wa kutosha akajaribu kusema aka sitaki akasikia tu mgombea mwenza safari hii Mwanamke Kwa mara ya kwanza Toka Tanzania ipate uhuru makofi yakarindima kuwa tunakubali mengine Historia mama Samia huyo anachapa kazi halali
Nimefuatilia maandishi mengi ya mwanahistoria huyo na kugundua kuwa mengi ni upotoshaji mkubwa.Hata andishi hili siyo ukweli kwamba Kighoma Malima hakuwa fisadi.Sho...
Nimesoma hayo hapo juu kuhusu Prof. Malima na ningependa na mimi niseme machache niyajuayo kuhusu Prof. Malima.
Katika Bunge mwezi June 1994 Prof. Malima akiwa Waziri wa Fedha alileta mswada kuwa misamaha yote ya kodi iwe chini ya Waziri wa Fedha badala ya kuiachia iwe katika mamlaka nyingi tofauti.
Maadui zake ndani ya Bunge wakalalamika kuwa Prof. Malima alikuwa anataka kujijengea himaya.
(Kwa nini Prof. Malima alikuwa na maadui ni mada ya kujitegemea).
Hata hivyo fikra zilitulia na mantiki ikatawala kuwa hilo ni jambo jema na mswada ule ukapita.
Baada ya mwezi mmoja kupita wakati Prof. Malima yuko nje ya nchi Baraza la Mawaziri likaitishwa kwa shinikizo la Waziri Mkuu John Malecela akiungwa mkono na mawaziri wanne wakongwe nia ikiwa kugeuza suala la misamaha ya kodi uliopitishwa mwezi mmoja tu uliopita.
Prof. Malima aliporejea nchini na kukuta kuwa uamuzi wa Bunge kuhusu misamaha ya kodi umepinduliwa na Bunge, Prof. Malima alimtahadharisha Rais Ali Hassan Mwinyi kuhusu matokeo ya kwenda kinyume na maamuzi ya Bunge na matakwa ya wahisani.
Rais akaitisha Baraza la Mawaziri lililokaa kwa siku nne.
Prof. Malima alihimili hoja zote kutoka kwa maadui zake katika serikali akitetea uamuzi wa Bunge.
Baada ya siku nne Baraza la Mawaziri lilirejea nyuma katika uamuzi wa Bunge.
Maadui zake waliumia sana na chuki yao dhidi yake ikazidi.
Hayo yote ya kuwa Prof. Malima alikuwa fisadi si kweli.
Prof. Malima hakuwa na mali nimemuona kwa karibu sana nyumbani kwake jirani na Victoria na nimeiona nyumba yake Kisarawe siku ya mazishi yake.
Prof. Malima hakuwa na mali na kama alivyokuwa akipenda kusema katika uhai wake, ‘’Hakula cha mtu.’’
Ametajwa hapa Kikwete kuwa alipewa nafasi ya Waziri wa Fedha badala ya Prof. Malima lakini mwandishi kaishia hapo tu.
Inataka ushughulishe bongo lako ujiulize kwa nini Kikwete?
Yapo mengi.
Kwa nini hakuyasema mengine na ni muhimu katika historia ya Prof. Malima?
Hakuyasema inawezekana kwa kuwa hayajui.
Lazima amshukuru Kwa ndio alimuibua na kimfanya aonekane ila JK ndio alimpa Urais kama super sub in case of anything na ikawa
Weka ukweli wakoPunguzeni uwongo wenu!
Marais Wote wa Tanzania ukimuondoa Nyerere ni Mafisadi.Ongezea na mkapa akaja kuwa fisadi papa
Kwa hiyo Nyerere Hana haki ya kutambua nani malaika na Nani shetani
Wewe na walioko serikalini nani anamfahamu zaidi lowasa.Kwa UFISADI mkubwa alioufanya Edward Lowassa nashangaa kuona ANAAGWA KIHESHIMA, ANASIFIWA na kuonekana alikuwa ni MTU WA MAANA. Sasa nimeamini kuna Taifa hapa Afrika Mashariki lina Watu / Raia WAPUMBAVU ( FOOLS ) mno.
Wewe umejuaje haya ya chumbani ? Acha kuandika uongo
Nikweli usemacho nilisoma vizuri sana ile kashfa.kumzuia Dr Ibrahim Msabah aliekuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Kibaha ku approve advance payment ya 10 Billion kwa Kampuni feki ya Richmond ambayo ilikuwa ya mwisho kwenye Procurement process lakini Management ya Tanesco ikalazimishwa kwa Vimemo iwape Tender
baada ya kupewa Tender wakataka walipwe advance payment hiyo wakati haikuwemo kwny terms of contract
ndipo Mh.Rais akastukia kitu akatumia weledi wake wa kimedani akajua Watu aliowaamini wameanza kumzunguka.
Media zikaanza ku report hiyo kashfa nae akaridhia uchunguzi huru kwa Bunge kuchunguza
Report kabambe ya Uchunguzi ya Dr Harrison Mwakyembe, akisaidiwa na Eng. Stella Manyanya kama Makamu Mwenyekiti pamoja na Wajumbe kina Lucas Selelii Mbunge wa Nzega wa wakati huo wakafanya kazi kubwa na ya kizalendo
matokeo kuletwa Bungeni ikabidi ijadiliwe then watuhumiwa ambao ni Wabunge wajibu hoja
Hoja za Utetezi zilipoanza alisimama Peter Serukamba Mbunge wa Kigoma Mjini kumtetea Lowassa
lowassa akamuomba Spila Sitta amzuie Serukamba na badala yake akatangaza kujiuzulu akafuatia Karamagi then Msabaha
Rostam akiwa Katibu wa Uchumi wakati huo akabadilishwa baada ya muda mfupi
B
JK hakuwafanyia figisu lolote zaid ya kuwatoa kwny Serikali yake na nongwa ikaanzia hapo
Mkapa aliokota dodo kwenye mnazi,siku anachukua fomu gazeti la mfanyakazi liliandika,mkapa naye achukua fomu kwa maandishimadogo sana,habari ya mjini ikuwa kikwete tu,na alimzidi kura BWM ila sijui mwalimu alimtulizaje,ni kweli mwalimu aliamua kuwa upande wa mkapabaada ya kuona kikwete atamteua Lowassa kuwa PMYaan unaamua kutunga hadithi ndefu Sana ili tu kupotosha ukweli halisi. Mwalimu, Nyerere hajawahi kumfikiria kabisa, Kikwete kama MTU wake muhimu katika, nafasi ya urais. Happy mzee umetudanganya. Nakumbuka MTU wa, kwanza kufikiriwa kwenye hiyo nafasi ya, urais na mwalimu alikuwa Dr Salim Ahmed Salim. Lakin Salim alikuwa, bado ni katibu mkuu wa OAU.Term yake ilikuwa haijaisha. Mwalimu alisema wazi kabisa kuwa, kijana, safi kabisa, nitakaye mpendekeza na nitampigia, kampeni nchi nzima ni Benjamin Mkapa. Na wote tuliona na kushuhudia. Leo tunatungiwa uongo kuwa JK wa msoga alikuwa pendezo la JK wa, Butiama.sio kweli.
Nilicho gundua kuna kitu kimemkwaza jk , kwenye msiba wa El, jk anaona kuna watu wanamchafua Huku wakimsifu El , bila kujua El ni jambazi Tu [emoji23].
Jk kwangu ni kiongozi Bora kabisa, alijali wananchi, shida ni mtandao ndio ulikuwa ukimtia aibu