Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Vita zote zile na zitakazo kuja hivi sasa na baadaye sio kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya matumbo ya wahusika !

Ingekuwa vita hizi zote hupiganwa kwa maslahi ya Taifa tungekuwa mbali sana kama Wazungu !!

Pole sana Africa [emoji41][emoji33][emoji113][emoji120]


“….tungekuwa mbali Kama wazungu!”

Hao unaotamani maendeleo yao ndio wadhamini wa hizi takataka za kisiasa hapo Tanzania.
 
Mwalimu hakuchukia matajiri halali wenye kulipa kodi !
Bali aliwachukia wenye mali zisizofahamika zilipatikanaje !
Huwezi kutumikia mabwana wawili !

Ukitaka utajiri tuachie kazi na ofisi yetu uende ukafanye biashara halali kisha ulipe kodi !
Huo ndio ulikuwa msimamo wa Mwalimu Nyerere !
Msidanganywe !! [emoji120][emoji120]


Msimamo wake huu aliutumia kwa wale wasiokua watu wake tu. Kwanini?
 
Mwaka 1995 Jakaya Kikwete akijifanya ni masikini na Edward Lowassa akinukia noti, walisindikizana kuchukua fomu za kugombea urais, nyuma yao akiwepo king maker Rostam Aziz na Samuel Sitta.

Lowassa aliamua kukodi ndege binafsi chini ya captain Minje baba yake Lilian, walizunguka Tanzania nzima kusaka wadhamini, walikuwa na miaka 42 kwa 45 mtawalia. Wakajiita Boys II Men.

Aliyekodi ndege ni Lowassa Jk alipewa lift tu, makubaliano ni kuwa yeyote ambaye angepita amteue mwenzake kuwa Waziri mkuu na baada ya miaka kumi huyo waziri mkuu agombee urais, hapa ni kama Putin na medinedev wanavyofanyaga.

Taarifa zikamfikia mwalimu Nyerere kuwa kijana Lowassa anagawa pesa kama njugu na amekodi ndege, na akaambiwa anaambatana na mtoto wa rafiki yake marehemu Mrisho Kikwete, yaani Jakaya.

Mwalimu akamuita Jakaya Msasani ili kumuonya akae mbali na EL. JK bila kutambua akampa lift EL kwenye gari aina ya Ssang yong Musso mpaka msasani.

Taarifa zikamfikia mwalimu kuwa Jk kaja na EL, mwalimu akajifanya anatoka nje kwa hasira na kumfokea kuwa amechelewa appointnent atoweke haraka mahali hapo kufumba na kufumbua Jk kwa shingo upande akaondoka bila kujua sababu.

Mwalimu akidhani JK amegundua kosa lake, kumbe wapi, kwenye vikao vya mchujo Jk uso kwa uso tena na mwalimu, na akaulizwa if you become a president who gonna be your prime minister, JK akayakoroka kwa kusema Edward Lowassa, mwalimu akamwambia asante kwa kushiriki ,jina la JK likakatwa kibabe na akapachikwa Benjamin Mkapa.

Matumizi makubwa ya pesa katika kusaka madaraka yalimponza EL.

.....,....Itaendelea
Naona nyuzi zakumpa faraja JK zimekuwa nyingi.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Nimefuatilia maandishi mengi ya mwanahistoria huyo na kugundua kuwa mengi ni upotoshaji mkubwa.Hata andishi hili siyo ukweli kwamba Kighoma Malima hakuwa fisadi.

Kwa mwandishi huyo,hakuna Muislamu kiongozi aliyewahi kuwa fisadi.Bali huwa wanaomewa na kubagazwa bila sababu.
Kim...
Mimi sijapata katika maisha yangu kuandika kuhusu ufisadi.

Hilo la ubaguzi nimeandika sana.
 
Kuweka rekodi sawa hata Mama Samia akipofuatwa na Kikwete kuwa awe mgombea mwenza wa Raisi Magufuli alikataa hakuwa na mpango Kabisa Hadi alilia kukataa
Akaambiwa tunakupa taarifa tu safari mgombea mwenza CCM tunataka wanawake mumeshakomaa kiongozi Wewe umeshakuwa Hadi Spika bunge la katiba tunakutaarifu tu Wewe ndie utakuwa mgombea mwenza ukikwama utasaidiwa Chama, Serikali wasaidizi wako wa kutosha akajaribu kusema aka sitaki akasikia tu mgombea mwenza safari hii Mwanamke Kwa mara ya kwanza Toka Tanzania ipate uhuru makofi yakarindima kuwa tunakubali mengine Historia mama Samia huyo anachapa kazi halali

[emoji23]
 
Back
Top Bottom