Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

Magufuli Yule aliyewaonya Wakurugenzi watakao watangaza washindani walioshinda uchaguzi?
Magufuli yule aliyevunjavunja Katiba na kuharibu Uchaguzi mkuu?
Hayo yote alitamka hadharani kuwa atafanya na ni kweli alifanya, lakini ambacho hakufanya ni kutamka kuwa ataongeza muda, na hakuna ushahidi wowote kuwa alikuwa na mpango huo
 
Magufuli was a power-monger with the worst intentions ever. He systematically orchestrated fears and strange occurrences so that eventually he could say it is the people's will to extend his presidency
Sure
 
Alikuwa hataki Nia yake uwe wazi mapema maana anajua makundi ya madaraka ya urais yangemkwamisha. Inshort hakutaka kiherere kwenye hiyo Nia yake ovu.
Nyie mnatumia kigezo gani kusema kuwa alikua na mpango huo zaidi ya hisia?
 
Alisema atatoa milioni 50 kwa kila kijiji, alitoa?
Alisema atatoa computer kwa kila mwalimu,alitoa?
Magufuli alikuwa si mtu wa kuaminika na alikuwa muongo sana na alikuwa akipenda kuabudiwa nina uhakika asingetoka madarakani bila Mungu kuingilia kati.
Mzee zile zilikuwa ni kampeni za CCM ya Kikwete sio za kwake, kwa hiyo ahadi nyingine zikawa zinawekwa tu bila hata yeye kupanga au kuridhia, kampeni zake halisi alizopanga yeye kila kitu ni za 2020 bahati mbaya Mungu akamchukua, naamini angetimiza kwa 90+%
 
Hayo yote alitamka hadharani kuwa atafanya na ni kweli alifanya, lakini ambacho hakufanya ni kutamka kuwa ataongeza muda, na hakuna ushahidi wowote kuwa alikuwa na mpango huo
Hoja yako ambayo unaitumia kwamba alikuwa akiheshimu Katibu anafia hapo.
Kama alitamka hadharani kuwafukuza wabunge watakao watangaza wapinzani walioshinda, akavuruga uchaguzi hadharani, na hakuwahi kuomba radhi, unawezaje kumuweka maneno mdomoni kwamba alimuita Ndugai akamkatalia kuhusu kuongeza muda?
What if yeye ndiye alieatuma akina Ndugai na huyo Mbunge? Pia ukumbuke aliyeanza na hoja hiyo ni Mkamia.
 
Haya yote tumemuachia Mungu.
Wapinzani wanapata zero kwenye kujaza fomu za kugombea uwenyekiti wa mitaa nchi nzima!!
Kama haitoshi Majibu ya Jaji Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi yanakumbusha minyororo ya utumwa,kutawaliwa na wakoloni na ukoloni mamboleo wa man eat man society.
Mjomba Magu alitibua katiba alioapa kuilinda.
 
Hoja yako ambayo unaitumia kwamba alikuwa akiheshimu Katibu anafia hapo.
Kama alitamka hadharani kuwafukuza wabunge watakao watangaza wapinzani walioshinda, akavuruga uchaguzi hadharani, na hakuwahi kuomba radhi, unawezaje kumuweka maneno mdomoni kwamba alimuita Ndugai akamkatalia kuhusu kuongeza muda?
What if yeye ndiye alieatuma akina Ndugai na huyo Mbunge? Pia ukumbuke aliyeanza na hoja hiyo ni Mkamia.
Nadhani hatuelewani, mimi sijasema Magufuli alikuwa anafuata Katiba, ninachosema ni kuwa Magufuli alikuwa anasema na anatekeleza anachosema kiwe ni sawa kikatiba ama la....Ni kweli alisema ataufuta upinzani, Tanzania iwe kama China, na tukaona anafanya kila njia kufuta upinzani, alisema hataongeza muda na akalirudia mara nyingi, na tukaona aliyekuwa kinara wa kumlazimisha aongeze muda hakurudi Bungeni

So maneno yake matendo yake japo mengine hayakuwa mazuri kwa mtazamo wa baadhi ya watu lakini alikuwa akiyatimiza
 
nyie wahuni hamkosi maneno,mara haukuwa uchaguzi mara alikodi wanajeshi kuisimamia uchaguzi walisimama wapi? sisi mbona hatujawaona?kosa vyeti feki, mishahara hewa,kujimilkisha mali za umma,kuongeza ufanisi wa utumishi wa imma,
Tangu lini mfwasi wa Nduli Magufuri akawa na akili?Mawazo ya wafuasi wote Magufuri ni kuwa mtu yeyote asiyekubaliana na Magufuri basi huyo ni cheti feki,mwizi,fisadi,mhamiaji haramu au mtu mvivu.Tena amekuja mjinga mwingine ansema Vyama vya Upinzani ni watoa taarifa na kwa vile hamna akili tayari mmshapata slogan au sera ya chama chenu cha mambuzi kupambana na wapinzani.
 
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,

Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita

Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Kweli ndo maana akapitisja wabunge wa chama kimoja cha ccm. Ili ikawe rahisi kunajisi nchi yetu hatimaye kafia kwenye bustani ya mzena
 
Back
Top Bottom