Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #101
Hayo yote alitamka hadharani kuwa atafanya na ni kweli alifanya, lakini ambacho hakufanya ni kutamka kuwa ataongeza muda, na hakuna ushahidi wowote kuwa alikuwa na mpango huoMagufuli Yule aliyewaonya Wakurugenzi watakao watangaza washindani walioshinda uchaguzi?
Magufuli yule aliyevunjavunja Katiba na kuharibu Uchaguzi mkuu?
SureMagufuli was a power-monger with the worst intentions ever. He systematically orchestrated fears and strange occurrences so that eventually he could say it is the people's will to extend his presidency
Nyie mnatumia kigezo gani kusema kuwa alikua na mpango huo zaidi ya hisia?Alikuwa hataki Nia yake uwe wazi mapema maana anajua makundi ya madaraka ya urais yangemkwamisha. Inshort hakutaka kiherere kwenye hiyo Nia yake ovu.
Mzee zile zilikuwa ni kampeni za CCM ya Kikwete sio za kwake, kwa hiyo ahadi nyingine zikawa zinawekwa tu bila hata yeye kupanga au kuridhia, kampeni zake halisi alizopanga yeye kila kitu ni za 2020 bahati mbaya Mungu akamchukua, naamini angetimiza kwa 90+%Alisema atatoa milioni 50 kwa kila kijiji, alitoa?
Alisema atatoa computer kwa kila mwalimu,alitoa?
Magufuli alikuwa si mtu wa kuaminika na alikuwa muongo sana na alikuwa akipenda kuabudiwa nina uhakika asingetoka madarakani bila Mungu kuingilia kati.
Hoja yako ambayo unaitumia kwamba alikuwa akiheshimu Katibu anafia hapo.Hayo yote alitamka hadharani kuwa atafanya na ni kweli alifanya, lakini ambacho hakufanya ni kutamka kuwa ataongeza muda, na hakuna ushahidi wowote kuwa alikuwa na mpango huo
Kigezo Cha ulevi wake wa madaraka.Nyie mnatumia kigezo gani kusema kuwa alikua na mpango huo zaidi ya hisia?
Nadhani hatuelewani, mimi sijasema Magufuli alikuwa anafuata Katiba, ninachosema ni kuwa Magufuli alikuwa anasema na anatekeleza anachosema kiwe ni sawa kikatiba ama la....Ni kweli alisema ataufuta upinzani, Tanzania iwe kama China, na tukaona anafanya kila njia kufuta upinzani, alisema hataongeza muda na akalirudia mara nyingi, na tukaona aliyekuwa kinara wa kumlazimisha aongeze muda hakurudi BungeniHoja yako ambayo unaitumia kwamba alikuwa akiheshimu Katibu anafia hapo.
Kama alitamka hadharani kuwafukuza wabunge watakao watangaza wapinzani walioshinda, akavuruga uchaguzi hadharani, na hakuwahi kuomba radhi, unawezaje kumuweka maneno mdomoni kwamba alimuita Ndugai akamkatalia kuhusu kuongeza muda?
What if yeye ndiye alieatuma akina Ndugai na huyo Mbunge? Pia ukumbuke aliyeanza na hoja hiyo ni Mkamia.
Tangu lini mfwasi wa Nduli Magufuri akawa na akili?Mawazo ya wafuasi wote Magufuri ni kuwa mtu yeyote asiyekubaliana na Magufuri basi huyo ni cheti feki,mwizi,fisadi,mhamiaji haramu au mtu mvivu.Tena amekuja mjinga mwingine ansema Vyama vya Upinzani ni watoa taarifa na kwa vile hamna akili tayari mmshapata slogan au sera ya chama chenu cha mambuzi kupambana na wapinzani.nyie wahuni hamkosi maneno,mara haukuwa uchaguzi mara alikodi wanajeshi kuisimamia uchaguzi walisimama wapi? sisi mbona hatujawaona?kosa vyeti feki, mishahara hewa,kujimilkisha mali za umma,kuongeza ufanisi wa utumishi wa imma,
Kweli ndo maana akapitisja wabunge wa chama kimoja cha ccm. Ili ikawe rahisi kunajisi nchi yetu hatimaye kafia kwenye bustani ya mzenaWengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni