Hayati Magufuli alidhibiti ukatwaji wa umeme au mazingira yalimbeba?

Sawa ila mimi nazungumzia kuhusu watu kumuona kuwa ni mtetezi wa wanyonge.
Kukubali kuitwa mnyonge ni kuidhalilisha nafsi yako. Mungu aliumba binadamu mkamilifu mwenye nguvu za mwili na ubongo. Yeyote akizitumia akili zake na nguvu zake vizuri ana uwezo wa kupiga hatua kiuchumi na kijamii. Usikubali kuitwa Mnyonge, utapata LAANA kama aliyoondoka nayo Mwendazake
 
Naunga mkono kwa 100%
 
Vyanzo vya maji kwa ajili ya Mabwawa makubwa matatu ya kuzalishia umeme, yaani Bwawa la Mtera, Kidatu, na Kihanzi, vyote kwa asilimia tisini (90%) vinategemena na sehemu kubwa vinatokana na vyanzo vile vile. Kwa mfano sehemu kubwa ya maji yanayojaza bwawa la Mtera na Kidatu chanzo chake ni kile kile.

Kwa miaka miwili mfululizo kumekuwa na ukame mkubwa sana kwenye maeneo yanayotoa maji kwa ajili ya mabwawa ya Mtera na Kidatu. Wiki hii nilikuwa Mtera na kwa kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba inawezekana upungufu wa maji mtera umeweka historia kwa miaka ya hivi karibuni.

Sasa kama sehemu kubwa ya umeme wetu tunategemea umeme unaozalishwa kwa maji, na ukame ndiyo huu umeshika kasi, tunategemea muujuzi gani utakaotuzalishia umeme?

Enzi za Magufuli kulikuwa hakuna mgao mkubwa wa umeme, lakini jee pia kulikuwa kuna ukame kama ulioko sasa? Mara hii tumeshasahau ni kwa nini Enzi za Kikwete wafugaji walihamishwa toka hifadhi ya bonde oevu Ihefu?
Kile kilikuwa Chuma!!
 
Alinitesa mimi, miaka 6 kazuia haki zangu za msingi kabisa kama mtumishi.....ni haki zangu ila alizigeuza ni huruma zake atakapoamua ndio nipate asipoamua sipati
Ila mliambiwa akimaliza projects zake mishahara itakuwa mikubwa Sana maana uchumi utakuwa umeimarika
 
Ndio hapo alipokosea kugeuza haki za watu kuwa huruma zake..... Ujenzi ni kitu endelevu hakiishagi wala, mama wa watu kakamata usukani mimi kama mimi nimelipwa haki zangu zoote....yule jamaa yule alale tu kwakweli
 
Halafu hivi wengine hawakuwahi kujenga sio???
Ila yeye
Unakosea mamii kuongea kwa lugha Kali kwasababu hakuna binadamu asiokufa wote sisi tutakufa jaribu kunenea watu maneno mazuri kila raisi anaupande mzuri na mbaya ipo hivyo huyo Mama samia japo kakurudishia haki zako zote kama ulivyosema lakini kwa upande mwingine kafanya nchi iwe ya kujuana usipo kuwa na connection kazi ngumu kupata, maisha yamezidi kupanda elfu 10 sasa hivi imekuwa sio hela Tena, huduma za umma zimekuwa mbovu na ufisadi umekuwa mkubwa mno
 
Elezea kitaalamu, hizo Transformers zinakufaje?

Humu ndani kuna electrical engineers, wanakuchora tu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wakati mwingine hawa watu nikuwasamehe tu ndio akili iliyojaa humu siku hizi.
 
Ukiwa na cheti feki lazima uwe mjinga na umchukie magufuli.unapoteza muda wako kumchukia Magufuli.
Hata Magufuli alikuwa na PhD FEKI lakini aliendelea kuwa Rais wetu. Kuwa na cheti FEKI japo mimi cheti changu ni halalai hakuninyimi haki ya kukosoa mapungufu kwa viongozi wetu.

Kama umesoma kikweli kweli na pengine una Degree japo moja (mimi nina 2), na huwezi kukosoa mate matendo maovu ya Magufuli then kisomo chako hakina maana.
 
Vyanzo vya maji kwa ajili ya Mabwawa makubwa matatu ya kuzalishia umeme, yaani Bwawa la Mtera, Kidatu, na Kihanzi, vyote kwa asilimia tisini (90%) vinategemena na sehemu kubwa vinatokana na vyanzo vile vile. Kwa mfano sehemu kubwa ya maji yanayojaza bwawa la Mtera na Kidatu chanzo chake ni kile kile.

Kwa miaka miwili mfululizo kumekuwa na ukame mkubwa sana kwenye maeneo yanayotoa maji kwa ajili ya mabwawa ya Mtera na Kidatu. Wiki hii nilikuwa Mtera na kwa kweli hali ni mbaya sana kiasi kwamba inawezekana upungufu wa maji mtera umeweka historia kwa miaka ya hivi karibuni.

Sasa kama sehemu kubwa ya umeme wetu tunategemea umeme unaozalishwa kwa maji, na ukame ndiyo huu umeshika kasi, tunategemea muujuzi gani utakaotuzalishia umeme?

Enzi za Magufuli kulikuwa hakuna mgao mkubwa wa umeme, lakini jee pia kulikuwa kuna ukame kama ulioko sasa? Mara hii tumeshasahau ni kwa nini Enzi za Kikwete wafugaji walihamishwa toka hifadhi ya bonde oevu Ihefu?
Tofauti na Watawala wengi yeye alikuwa mfuatiliaji, mtoa maamuzi bila kigugumizi na akayaishi
 
1678763852472.png
 
Back
Top Bottom