Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini

1. Kwanza unatakiwa utambue Magu hakuwa mwanasiasa ndio maana hakufanya kwa propaganda. He walked the talk.
2. Magu alifanya vitu vilivyoonekana hata na mtoto mdogo. Hata bosi wako Mbowe alipata kusema alikuwa na uthubutu wa ajabu kuliko kawaida. Tafuta hiyo clip.
3. Mara nyingi mtu anayeleta mafanikio hujikuta na watu wanaomuamini na kupenda kufanya nae kazi. Sababu wanaopenda kweli bado wapo wengi tu.
4. Kupenda kusifiwa ni hulka ya mwanadamu. Hata Samia wanaomjua wameamua kumtengenezea verae ya mana anaupiga mwingi nae hudemka kutwa na hiyo verse.
Mbowe pia ukimueleza ukweli atakuambia sumu haijaribiwi kwa kuonja, anataka umsifie tu mwenyekiti tuvushee.
Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
 
View attachment 2574374

Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .

Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .

kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?

Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .

Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
Kuna kitu yule mwamba alikuwa nacho, wengine wengi hawajawahi wala hawatakuwa nacho. Tena kadri tunavyozidi kusonga mbele, na watu kuona haya wanayoona, itatokea kabisa wakatumia maono na style ya mambo yake, kufikiria wanataka Tanzania yao iweje.
Kama tukifanya vyema, JPM atasahaulika hilo halina mjadala
 
Magufuli alikuwa dikteta. Madikteta wote duniani sifa yao ni kuwa na watu wa kuwatukuza na kuwasifu. Ndiyo maana alifanikiwa. Namfananisha Magufuli na Chavez. Wote walikuwa populist waliodhani wanasaidia nchi zao kumbe wanaziletea majanga makubwa.

Kama Chavez alivyofia madarakani Magufuli naye alifia madarakani. Tofauti ndogo kati ya hawa wawili ni kuwa Chavez alikuwa na mrithi anaeendeleza ujinga wake. Magufuli alikuwa bado hajaanda mrithi wa kueendeleza udikteta wake
Mchungaji Matsai: Namuombea Trump kwa Mungu ili awe tena Rais wa Marekani Katika Uchaguzi ujao, yule ndio Kiongozi japo hamumpendi!
 
Masikini kwa miaka yake ya uongozi aliwapunguzia nini ?
Mfumuko wa bidhaa za vyakula,vitambulisho vya machinga 20000/= KWA mwaka ni bora kuliko sasa!!

Wanamgambo KWA mama ntilie hawakuwepo kuwasumbua!

Elimu bure pia iliwasaidia!

Ongezea na mengineyo!

Alikataa lockdown ambayo ingeua watu zaidi hasa maskini wangekufa njaa Baadae Dunia nzima ikaona lockdown ni uzembe tu wa kufikiria HADI leo haipo na coronavirus bado ipo na Maisha yanasonga!!

Ongezea nyama hapo!!!
 
View attachment 2574374

Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .

Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .

kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?

Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .

Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima

View attachment 2574374

Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .

Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .

kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?

Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .

Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?

Safari hii mtaandika na kuongea yote,sisi tuliokuwa tunamkubali JPM tumetulia tuliii tunawacheki tu alafu tunacheka hiiii hiiii
 
Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
Mimi siyo mwanasiasa,Ila ukweli Ni kwamba hata mbowe ni mungu wenu pale chadema.

Na ameisimika vema ideology yake maarufu ya "Mimi ndiye chadema na chadema ndiyo mimi. Nitakufa nikiwa mwenyekiti,Mimi ndiyo mbowe".

Hiyo ni ibada kamili, vinginevyo neno ibada umelipa maana yako ya kujitungia,tofauti na uhalisia wake.

Toeni kwanza hilo boriti kabla hamjamtaja Magufuli kila saa.

Siasa zenu bongo mmeweka unafiki mbele.
 
Back
Top Bottom