Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini

Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
 
Kuna kitu yule mwamba alikuwa nacho, wengine wengi hawajawahi wala hawatakuwa nacho. Tena kadri tunavyozidi kusonga mbele, na watu kuona haya wanayoona, itatokea kabisa wakatumia maono na style ya mambo yake, kufikiria wanataka Tanzania yao iweje.
Kama tukifanya vyema, JPM atasahaulika hilo halina mjadala
 
Mchungaji Matsai: Namuombea Trump kwa Mungu ili awe tena Rais wa Marekani Katika Uchaguzi ujao, yule ndio Kiongozi japo hamumpendi!
 
Masikini kwa miaka yake ya uongozi aliwapunguzia nini ?
Mfumuko wa bidhaa za vyakula,vitambulisho vya machinga 20000/= KWA mwaka ni bora kuliko sasa!!

Wanamgambo KWA mama ntilie hawakuwepo kuwasumbua!

Elimu bure pia iliwasaidia!

Ongezea na mengineyo!

Alikataa lockdown ambayo ingeua watu zaidi hasa maskini wangekufa njaa Baadae Dunia nzima ikaona lockdown ni uzembe tu wa kufikiria HADI leo haipo na coronavirus bado ipo na Maisha yanasonga!!

Ongezea nyama hapo!!!
 


Safari hii mtaandika na kuongea yote,sisi tuliokuwa tunamkubali JPM tumetulia tuliii tunawacheki tu alafu tunacheka hiiii hiiii
 
Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
Mimi siyo mwanasiasa,Ila ukweli Ni kwamba hata mbowe ni mungu wenu pale chadema.

Na ameisimika vema ideology yake maarufu ya "Mimi ndiye chadema na chadema ndiyo mimi. Nitakufa nikiwa mwenyekiti,Mimi ndiyo mbowe".

Hiyo ni ibada kamili, vinginevyo neno ibada umelipa maana yako ya kujitungia,tofauti na uhalisia wake.

Toeni kwanza hilo boriti kabla hamjamtaja Magufuli kila saa.

Siasa zenu bongo mmeweka unafiki mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…