Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini

Hivi na Lissu ataitwaje?

Tunaweza pindisha yote yale lakiini tukaja kuafikiana

"Blessed are you when people hate you, when they exclude you and insult you and reject your name as evil..."

"Heri yeye wakati watu wanamkuchukia, na kumtenga na kumutukana na kukataa jina lake kama muovu, kwa sababu ni Mwana wa Adamu"
 
Unasema hakuwa na ushawishi?!

Kwa taarifa tu hakuna kiongozi aliyekuwa anafutaliwa kama Magufuli akiwa anaongea

Mwenye radio alihakikisha mawimbi hayayumbi asikie kinachojiri

Naweza kusema ukimtoa nyerere ndiyo kiongozi pekee alieyekuwa na hotuba za kugusa wananchi

Kosa kubwa alilofanya ni kuwatetea ngozi nyeusi angejali masilahi yake na biashara zake hadi leo huenda anagekuwepo!

Afrika ukiwa rais ukasimamia haki ni ngumu kudumu!
 
Maono yake yalikuwa ni yapi?

Style yake ilikuwa ipi?
 
Sio kweli Magufuli alikuwa Mungu au Mungu mtu!
Linaeleweka wazi kabisa

Sio kweli Hayati Magufuli alikuwa akipigania haki za Kidini!

Sio kweli kuna watu walimtii na kumuamini kama mithili ya wafia dini.


Mtatunga weeee., Mwisho wa siku tunajua CHADEMA imeungana na mafisadi kutuwekea pazia la yale yanayoendela Nchini.

Ufisadi uliokithiri.....Ufisadi unaohitaji kukemewa na kuangamizwa na wafia dini! Kama Hayati
 
Nchi ilizizima Kwa furaha alipokufa watu mabaa yalifunguliwa upyaaaaa na yaliyobakiza wanywaji wawili kufumba na kufumbua kukawa na wateja kama wote Arusha mbeya dar acha kabisa Arusha ngombe na mbuzi walichakaa!
Acha uongo,,
Bar nyingi siku hizi ukipita au kwenda unakuta wateja meza moja au mbili, wahudumu wakipiga mihayo kwa kukosa kazi, na wacheza pool table wasio na vinywaji.
Nadhani hali ni mbaya zaidi kuliko kipindi Cha JPM.
 
Hamkutaka kabisa kuitwa Vilaza!

Mnahasira utadhani mmezuiliwa kufanya kitu nanyi mkapewa heshima!

Magufuli bado ni mwamba mpaka sasa!
 
Wafuasi wengi wa Magufuli walikuwa wachumia tumbo kama wanasiasa wengi walivyo. Hufuata mkumbo, kujikomba, kujitoa ufahamu ili wapate vyeo, mkono uende kinywani na kujilinbikizia mali.
Hawana Imani yoyote inayowaunganisha na wanaweza kusaliti wakati wowote wakikosa madaraka au ulaji. Wanahamia dini nyingine wakati wowote kama kuna sadaka kutoka kwa waumini wajinga wanaonyonywa.
Hata hivyo, siyo kwa Magufuli tu, ndivyo wanasiasa wetu wengi walivyo.
 
Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
Hatukukusanywa,
Maana hata mtoa mada amekiri kwamba JPM hakuwa na ushawishi, Sasa kukusanywa hiyo ilitoka wapi?
Elewa tu ilitoka mioyoni.
Wengi wetu tunashawishiwa kwa matendo zaidi kuliko maneno.
Je, wewe washawishiwa kwa maneno?
Utaingia Chaka sana,
Kama ni ke utatiwa mimba Hadi tano pasipo kupata mme wa kukuoa..
 

Kati ya hizi picha mbili ni ipi inayotoa taswira ya wafia dini? Nani anayefoka mithili ya Wainjilisti ?Muwe wakweli.....btw picha zote kwa hisani ya CHADEMA Ufipa Digital Propaganda studio
 
Alikua anaongoza nchi kijinga.dunia ya Leo inahitaji sayansi na diplomasia ya Hali ya juu.kuua na kuteka watu ilikua ni siasa za kishamba.kufuta chaguzi 2019 na ule wa 2020 alionyesha ni jinsi Gani alivyo zuzu.Mungu ni mwema,Yuko wapi Sasa??
 
Hata Mbowe licha ya kupata ziro form six , kuuwa chama kutoka wabunge 100 hadi 1, kushindwa kujenga ofisi ya chama lakini bado kuna kikundi kikiongozwa na Erythrocyte kina amini Mbowe ni bonge la kiongozi na ataivusha nchi kiuchumi wakati hata uchumi wa kujenga ofisi nzuri y chadema umemshinda kwa miaka 30 aliyoongoza chama.
 
Binafsi natamani nizae Mtoto mwenye uwezo zaid ya jpm!

Yule ni mtu aliewakilisha maskini ipasavyo!na maskini ni wengi hawezi kosa wa kumuunga mkono!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]maskini??Kwa Nini maskini??na utajiri wote huu tulionao????SEMA wajinga.wanaopewa t-shirt na kofia+pombe kipindi Cha kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…