Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Mjinga utamjua tu Mada ni Magufuli Mbowe anaingiaje?Kama mbowe alivyo kutengeneza Wewe
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga utamjua tu Mada ni Magufuli Mbowe anaingiaje?Kama mbowe alivyo kutengeneza Wewe
USSR
Huwezi kuelewa kama ni mtu unaabudu hela na maslahi binafsi. Wafuasi wa magufuli walikua waomini wa itikadi ya uzalendo, wapenda haki usawa na maendeleo. Kwa hivyo wasingeheshimu mikataba ya kifisadi ya kukandamiza na kunyonya nchi. Pia miongoni mwao walikuepo wasomi waliyojua hakuna mkataba wa kisheria hauna pa kutokea ndio maana wakavunja mikataba ya wapiga dili ambao walipata hasira sana.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
Alikuwa mtu hatari sana kwa Tanzania yetu na ameharibu nchi kwelikweli!

Mjinga tu wala hujui maana ya dikteta. Mwenyewe unawaita populist kwa hivyo unajua wanapendwa na wamepigiwa kura kwa wingi. Shida yako kwa aina ya viongozi kama hao kina chavez na magufuli wanaweka maslahi ya umma wa wananchi wao. Wabinafsi, walafi, na wezi dhulumati wa mali ys umma kama wewe lazima wawaite dikteta kufuatisha kiitikio wanachoamrisha wamagharibi.Magufuli alikuwa dikteta. Madikteta wote duniani sifa yao ni kuwa na watu wa kuwatukuza na kuwasifu. Ndiyo maana alifanikiwa. Namfananisha Magufuli na Chavez. Wote walikuwa populist waliodhani wanasaidia nchi zao kumbe wanaziletea majanga makubwa.
Kama Chavez alivyofia madarakani Magufuli naye alifia madarakani. Tofauti ndogo kati ya hawa wawili ni kuwa Chavez alikuwa na mrithi anaeendeleza ujinga wake. Magufuli alikuwa bado hajaanda mrithi wa kueendeleza udikteta wake
Ushawishi gani aliokuwa nao Magufuli?Kuna mambo yanafurahisha sana kwenye siasa!!
Hivi unaanzaje kumsema Mwamba yule kuwa hakuwa na ushawishi wowote majukwaani!?
Labda nikusaidie tu. Kuelekea uchaguzi wa 2025 tutajua kama Magufuli hakuwa na ushawishi wowote kwa Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha hapa. labda ungesema Magufuli hakuwa mwanasiasa mzuri bali alikuwa Rais anayejituma, kufanya kazi kwa bidii na aliipenda nchi yake. Huenda alikuwa na madhaifu yake lakini yule mzee tuacheni unafiki alikuwa anapiga kazi. Na hadi vizazi na vizazi atabaki kwenye historia.
Sasa nyie mnaojiita wana demokrasia shangilieni sasa kwani sasahv hakuna rushwa, maisha ya wananchi yamekuwa mazuri, demokrasia imeleta watalii nchini, kodi na tozo hakuna tena, umeme na maji vinapatikana kwa wingi, deni la taifa limepungua na pia demokrasia imeimarisha uwajibikaji kwa mawaziri na watumishi wa serikali. Sasa hivi ukienda maofisini watu wanachapa kazi.
Ama kweli demokrasia imefungua nchi. Ripoti ya CAG inafanyiwa kazi kwani demokrasia imesababisha wala Rushwa wachukuliwe hatua za haraka. Machinga wanafanya biashara kwa uhuru. Nani kama Wapinzani walioleta maridhiano????
Magufuli kwakweli aende zake in Peace!
Na wewe unapost huu ujinga ukiwa umeinamishwa na Askofu Chidi mfadhili wa Sukuma GangMleta mada kapost hii akiwa ana brashi viatu vya mwenyekiti.
Wazalendo ndio waliyompenda, wajinga ndio waliyomchukia. Wajinga walimchukia kwa kufuata mkumbo wa fisadi na wapikaji bila wao kua na sababu kimaslahi kumchukia.Kipindi cha utawala wake ilikuwa vigumu kutenganisha mzalendo na mjinga.
Huwa sikupi umuhimu sana kwenye comments zako maana nafahamu kuwa wewe ni taahira.Na wewe unapost huu ujinga ukiwa umeinamishwa na Askofu Chidi mfadhili wa Sukuma Gang
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbowe anaingiaje hapa,huyu mtu hakauki midomoni na akilini mwenu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbowe ameshaju submit kwa mama. Ni mtoto wa.mama period.Mimi siyo mwanasiasa,Ila ukweli Ni kwamba hata mbowe ni mungu wenu pale chadema.
Na ameisimika vema ideology yake maarufu ya "Mimi ndiye chadema na chadema ndiyo mimi. Nitakufa nikiwa mwenyekiti,Mimi ndiyo mbowe".
Hiyo ni ibada kamili, vinginevyo neno ibada umelipa maana yako ya kujitungia,tofauti na uhalisia wake.
Toeni kwanza hilo boriti kabla hamjamtaja Magufuli kila saa.
Siasa zenu bongo mmeweka unafiki mbele.
🤣🤣🤣Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona
🤣😆Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho
Uzi unamhusu MagufuliKama ilivyo kwa Magufuli pia
Sukuma Gang ni genge la wajinga wanaomuabudu huyu mwovu aliyeko kuzimuUkitaka tawala tengeneza kundi kubwa la wajinga
Hao jumlisha wanaoitwa MNYONGE ni wapumbavuSukuma Gang ni genge la wajinga wanaomuabudu huyu mwovu aliyeko kuzimu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sabab ni moja tu. Alikua ni kiongoz wa kwel. Na ndio hicho unachokishangaa. ..
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
niliwahi kuwa kwenye hilo kundi la hiyari la kumsifia marehemu. ila baadae nikaacha.

Ilifika wakati kumpigania jpm hapa JF haikuwa jambo rahisi. ilihitaji kujitoa ufahamu.
Ni kazi iliyohitaji utumie nguvu, mikwara, vitisho na kupindisha ukweli.
Nilijipa kazi ya kumtetea baada tu ya kuapishwa kwake mwaka 2015. kwa hiyari yangu niliamua kuwa mwana propaganda wa wa JPM almaarufu "mataga".
niliamua kuwa mataga wa hiyari kwasababu nilivutiwa na sera zake na dhamira aliyoionyesha kuhusu kukomesha ufisadi nchini.
Niliunga mkono juhudi kwa kushangilia kila kauli aliyozungumza na kila maamuzi aliyofanya bila kujari madhara yake.
Baadae nikaja kujitafakari na kugundua kumbe nilikuwa sehemu ya kushabikia na kuhamasisha uovu, hii ni baada ya kuanza kwa matukio ya watu kuuwa, kutekwa, kubambikiwa kesi, kutishwa hadharani, kuminya vyombo vya habari na jeuri/majivuno kutoka kwa baadhi ya viongozi aliowateua.
Mwaka 2017 tukiwa katika taharuki iliyotokana na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, niliacha rasmi kushabikia mijadala iliyokuwa inaunga mkono utawala wa Magufuli.