Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
W
Mjinga tu wala hujui maana ya dikteta. Mwenyewe unawaita populist kwa hivyo unajua wanapendwa na wamepigiwa kura kwa wingi. Shida yako kwa aina ya viongozi kama hao kina chavez na magufuli wanaweka maslahi ya umma wa wananchi wao. Wabinafsi, walafi, na wezi dhulumati wa mali ys umma kama wewe lazima wawaite dikteta kufuatisha kiitikio wanachoamrisha wamagharibi.
Mtu yoyote ambaye hua anaona JPM hakua mtu mzuri, nafanya kuwaza ya kwamba nchi hii hata aongoze YESU au MOHAMMED bado watalaumiwa tu, nchi hii haijawahi kupata Rais mzuri kuzidi JPM, simaanishi wengine hawakufaa isipokua JPM alikua ni Bora kuliko
Na mtu anayemponda utakuta alikuaga ni mwizi wa pesa za umma Kwa namna moja ama nyingine na akakutana na mkono wa chuma wenye kutaka haki kwa wote kama ambavyo alifanya Gaddafi
Gaddafi aliapa kuishi kwenye matenti jangwani mpaka ahakikishe kila mLibya wa mwisho anamiliki nyumba ya kuishi, akaondoa utofauti mkubwa wa kipato na kuondoa Ile hali ya watu wachache kumiliki pesa kuliko Serikali na kusababisha Serikali isitawalike, watu wakafanana kwa kiasi fulani, ila Serikali ikawa na pesa za kutosha na kuweka huduma muhimu karibu zote Kwa Raia wote. Ndivyo JPM alivyokua anaipeleka nchi, lakini majizi machache yalipobanwa ili kutenda haki, yakaanza kulalamika mitandaoni ya kwamba JPM ni dikteta asiyefaa, yakasahau kabisa yalikua yalikwepa Kodi ama kukwapua pesa za Umma.
Binafsi napenda sana Spirit za JPM, Gaddafi, Patrice Lumumba, Saddam Hussein, Putin na wengineo ambao wana uchungu na wananchi
Mtu alishakufa, tena kifo chenye utata kisicho eleweka, lakini bado Kuna watu wanaendelea kugombana na mwili uliolala mauti na kuoza, hii ni aina ya ukichaa kwa watu
Acha uongoKama weww unavyomtii mbowe. Yaani wewe mbowe ni wa maana kuliko baba yako pale kyela.
ilikuwaje ukatoka ?niliwahi kuwa kwenye hilo kundi la hiyari la kumsifia marehemu. ila baadae nikaacha.
Ma-boda boda yaka randa randa huku na huko..... shangwe nderemo na vifijo.... nyama na bia zikaadimika ghafla, bei zikapanda...Dar wa mama wakacheza "MDUNDIKO"...Nchi ilizizima Kwa furaha alipokufa watu mabaa yalifunguliwa upyaaaaa na yaliyobakiza wanywaji wawili kufumba na kufumbua kukawa na wateja kama wote Arusha mbeya dar acha kabisa Arusha ngombe na mbuzi walichakaa!
Msiwe mnanikumbusha huyu mtu tafadhali😭
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
Toka umejiunga na JF kazi ya ni kuimba na kuabudu juu ya mbowe.. kwako wewe mbowe hana kosa, hana pungufu.Acha uongo
Lipi la uongo kuhusu Magufuli uliloliona nimeandikaToka umejiunga na JF kazi ya ni kuimba na kuabudu juu ya mbowe.. kwako wewe mbowe hana kosa, hana pungufu.
Mbowe kwako ni malaika, hata kama ni uchawa wa kwako umezidi braza.
Niambie wema wa mbowe?Lipi la uongo kuhusu Magufuli uliloliona nimeandika
Vumilia tuu mkuu, au kama inauma sana ichomoe tuu.Msiwe mnanikumbusha huyu mtu tafadhali😭
Mtampaka sana matope,ila he will always stand out as o morally superb individual.Tunajua kwamba ninyi wote mnaompaka matope Hayati JPM ni mijizi and very evil individuals.Kila wakati mnazungumza hewa tu,you have virtually failed to substantiate his theft or what you are talking about.Sikuona hata siku moja kwamba Hayati Magufuli alijijengea mazingira ya kuabudiwa.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
Ninyi watu mwashangaza sana mmemuita Tundu Lissu kapewa chake na vibuyu vya asali akalambe huko Ubelgiji kwisha habari yake.

Jikite kwenye mada badala ya kutafuta mengineNinyi watu mwashangaza sana mmemuita Tundu Lissu kapewa chake na vibuyu vya asali akalambe huko Ubelgiji kwisha habari yake.
Ninyi mlobaki hapa Tanzania mmepewa chenu na vibuyu vikubwa vya asali ambavyo mtavilamba hadi 2025 mmebakia hamna hata cha kusema kimyaa.
Haya yote mnokuja kuandika hapa ni baada ya pale unapokuwa walamba asali yako maana ndo masharti ya asali hizo.
Upinzani hamna Tanzania wote ninyi ni waigizaji.
Magufuli alikuwa dikteta. Madikteta wote duniani sifa yao ni kuwa na watu wa kuwatukuza na kuwasifu. Ndiyo maana alifanikiwa. Namfananisha Magufuli na Chavez. Wote walikuwa populist waliodhani wanasaidia nchi zao kumbe wanaziletea majanga makubwa.
Kama Chavez alivyofia madarakani Magufuli naye alifia madarakani. Tofauti ndogo kati ya hawa wawili ni kuwa Chavez alikuwa na mrithi anaeendeleza ujinga wake. Magufuli alikuwa bado hajaanda mrithi wa kueendeleza udikteta wake
1. Hayati John Magufuli hakuwa na kundi lolote ndani ya CCM isipokuwa alikuwa na kundi la waloigiza kuwa wamuunga mkono lakini wote ni wanafiki. Wale wachache walomwelewa na kujaribu kufuata maono yake mifano yake ni michache mmoja wao ni Suleiman Jaffo ambae ni direct chaguo la JPM.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi , lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni , yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni , kwamba angalau pamoja na kuiba kura , angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague .
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho , hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni , maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia , hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa , ni kulinda imani kufa na kupona , kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi , kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa , jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona .
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee , wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo ccm , hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki , mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa ?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa , kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa .
Sasa mshangao wangu ni huu , Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima ?
wadanganye wajinga1. Hayati John Magufuli hakuwa na kundi lolote ndani ya CCM isipokuwa alikuwa na kundi la waloigiza kuwa wamuunga mkono lakini wote ni wanafiki. Wale wachache walomwelewa na kujaribu kufuata maono yake mifano yake ni michache mmoja wao ni Suleiman Jaffo ambae ni direct chaguo la JPM.
2. Kwenye kutukana wazee hiyo ni ngumu kuelezea kwani ni hao walokuwa wamewekwa pembeni ambao leo hii wamerusdishwa na twashuhudia wakifanya mambo ya ajabu katika wizara na taasisi walizopo. Vipio mbona husema pale ambapo walikuwa wakimsema JPM na hata baadae Nape kwenda Ikulu kuomba radhi?
3. Musiba nadhani alikuwa ni mhamasishaji tu au mtu ambae aliamua kwa utashi wake kuwa mfuasi wa JPM na sidhani kama hayati JPM mwenyewe alikuwa akifahamu kuhusu anoyafanya Musiba mitandaoni au hao sehemu ya watu wa TISS na mambo yao mengi tu.
4. Hata media ya Tanzania wengi bado ni chequebook journalists na si waandishi makini wa habari ndo maana ni rahisi sana kwa wao kufuata upepo bila kuzingatia misingi ya uandishi wa habari ambayo ni:
1. Kuhabarisha
2. Kuelimisha
3. Kuburudisha.
Tukionacho au kushuhudia safari hii au sasa hivi ni uandishi wa kutegemea umeambiwas uandike nini na wafuata amri kutoka kwa mtoa asali. Yaani sehemu kubwa ya media ya Tanzania nayo yasemekana wana vibuyu vya asali.
5. Kama kiongozi yoyote yule ni lazima apate wafuasi wa kile anokiamini na kukitekeleza. Sasa JPM aliamini katika uthubutu na maono yake ya Tanzania mpya. Ni katika hilo tuliweza kuona mambo mengi yakifanyika au kutekelezwa na yote yapo leo hii wakati mengine waloachiwa kuyamalizia badio wahangaika.
6. Kuhusu kwamba JPM hakuwa na ushawishi wowote majukwaani hilo ni kichekeshi kwani hadi leo hii watanzania wengi na hata raia wa nchi zingine duniani waloanza kujitambua baada ya kumsikiliza akiwa majukwaani, leo hii wamehifadhi video zake za hotuba alokuwa akizitoa ili baadae vizazi vijavyo viweze kuambiwa kuwa alikuwepo raisi aliethubutu kufanya haya na yale lakini hakuchukua muda kukaa madarakani.
Mwisho, hayati JPM bado akumbukwa na hata weye mleta mada ni mmoja wa wale wanomkumbuka kwani ni aibu kwa mambo yote ambayo yalipotea wakati wa utawala wake sasa yote yamerudi.
Ni kweli alikuwa na mapungufu yake lakini hata yeye alisema kwamba tutamkumbuka kwa mazuri na si mabaya yake.
Tumkumbuke kwa mazuri.