#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

Na ilisaidia kutuepusha na hayo magonjwa.alitupa ujasiri na kutokuwapa ugonjwa.yeye ni shujaa
Aliwaepusha vipi?, Hukuona kina kibonde walivyoondoka, TBC walipukutika, mamilionea wanaosafiri safiri nje , viongozi, mawaziri, wabunge etc
 
Sisi tulipunguza vifo vinavyo sababishwa na ile taharuki ya corona, hao majirani zetu maigizo waliyokuwa wanafanya yaliwasaidia nini?
Kuficha takwimu haina maana watu hawakufa,, kuna kijiji kimoja nilienda,, kila siku ilukua msiba, nilikaa wiki na nusu ikabidi nikimbie, [emoji16]watu waluondoka kwelikweli tena kimya kumya yaani
 
Bila kujali walifanya upuuzi au la lakini kila sehemu watu walikufa kwa COVID-19[emoji3083][emoji40] tena pengine zaidi ya Tanzania
Kweli, italy, US, UK, watu wamekufa sana licha ya tahadhari zote,, chuma yeye alitaka kuondoa taharuki tu maana alijua vyovyote vile watu watakufa sana,, ndo maana mwisho mwisho wa uhai wake jumapili moja ya mwisho akihutubu kanisani,, alisema, " kama kufa tutakufa wote, kama umepangiwa kufa kwa covid utakufa tu, wala barakoa haitakusaidia"
 
Kuficha takwimu haina maana watu hawakufa,, kuna kijiji kimoja nilienda,, kila siku ilukua msiba, nilikaa wiki na nusu ikabidi nikimbie, [emoji16]watu waluondoka kwelikweli tena kimya kumya yaani
Kwani issue ni kuzuia watu wasife? mbona watu hawajawahi kukoma kufa, sasa wewe mkuu umeona watu wanakufa we umehitimisha tu kuwa ni corona sababu ya vifo vyao.
 

Vipi ushachanjwa? Au ni mwendo peku peku kama wa shujaa wako?

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…