Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Aliwaepusha vipi?, Hukuona kina kibonde walivyoondoka, TBC walipukutika, mamilionea wanaosafiri safiri nje , viongozi, mawaziri, wabunge etcNa ilisaidia kutuepusha na hayo magonjwa.alitupa ujasiri na kutokuwapa ugonjwa.yeye ni shujaa