#COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk


Umeikosha roho yangu mkuu shukrani kumbe tupo wengi
 
Hata taarifa ya kifo chake!
 

Kama mke wa Salim Ahmed hatukujua kuwa ilikuwa Corona hali yeye alijua vipi kuhusu wengine wengi akiwamo yeye waliofariki ghafla?

WHO inaposema visa 6 katika 7 vya UVIKO Afrika vinapita bila kutambuliwa, nini kinakufanya ujue Tanzania iliathiriwa vipi kulinganisha na nani hali hata takwimu rasmi za ugonjwa huu hadi leo hazipo?

Kiuhalisia kwa takwimu hizi hapa:

#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Tanzania itakuwa imeathirika pakubwa na uwezekano ni kuliko nchi yoyote Afrika na labda among the highly affected duniani.

Ndiyo maana kuwatia adabu watu waliotufikisha hapa ni kuwatendea haki wahanga wote walio finishes huko na wapuuzi wa aina ya Jair Bolsonaro wa Brazil.
 
Issue ya korona legendary John Pombe alikuwa great asee, pingeni tu.

Canal Powel alikuwa kadungwa chanjo zote mpaka immunity booster vaccine, now tumesikia nini?.

Huu ugonjwa kuna hidden scenerio inachezwa hapo na wasiojua ndiyo tunachezeshwa midundo vururu vururu!.

Twendeni taratibu na hii mikopo kwanza as if kunywa supu nyama zipo chini!.
 
Fear of unknown
 
Ndo kusema corona si ugonjwa unaoua bali watu kwenye nchi za wenzetu walikufa kutokana na kutangaziwa uwepo wa ugonjwa huo na kuwekwa lockdown na kwamba sisi tulisalimika kutokana na msimamo wa Magufuli. Seriously?

Hawa ni accomplice wana kesi ya kujibu. Hawa ni ile lot nyuma ya usukani.



They ought to know we will pursue them relentlessly.
 
Wajinga na wapumbavu ndio wanamlaumu JPM kwenye covid.JPM alifanikiwa sana.

Watu nyuma ya usukani:



mlioshirikiana naye kwenye jinai zote zikiwamo za Corona na hizi hapa:



Mtatuwia radhi.

We will pursue you relentlessly.

Habari ndiyo hiyo.
 
Pambana na kesi ya mtemi wenu ya corona waachie wenye nayo.
 
JPM anapaswa kushtakiwa kwa kuficha ugonjwa na kusababisha vifo vya maelfu.

Washirika wake wangalipo hao ndiyo wanaoendelea kutupa taabu. Wanadai rais si mtu bali ni taasisi haijulikani ni kwa kifungu kipi kwenye katiba wala walikampeni wapi kuupata huo urais wa kitaasisi.

Hao wala siyo CCM. Ni wahuni tu.
 
Pambana na kesi ya mtemi wenu ya corona waachie wenye nayo.

Miaka 11 ya kazi:



Tunajua kuna mada huwaibua.

Tusaidie ndugu taasisi ya urais kwa kifungu kipi cha katiba?
 

Hakuna walichomzidi jp ee?
Mbona wao hadi sasa wanaendelea kuhonga wine huku jp akinyofolewa macho na mchwa huko chini futi 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…