Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

Wakuu Habari

Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
Magufuli kaweka nchi vizuri acheni ujuaji wenu wa kipuuzi
 
Wakuu Habari

Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
Magufuli alibrain wash watu sana....yan watu wamekuwaje sijui...kiukweli mm kama medical personel napata hasira sana kuwaelimisha watu esp kuhusu corona...and all other measures ambazo mama amechukua kwwnye sector nyingine...cha muhimu mama awe mvumilivu tu awaache waongee ila watakuja kumuelewa baadae
 
Mpaka sasa tunapambana na corona kwa njia za kisayansi. Mh Samia suluhu amesikiliza maoni ya wapinzani kupamba kwa njia za kitaalam.
Mkuu sio Corona tu, kun mambo mengi sana hii nchi ilikuwa inaelekea shimoni, kiuchumi na kisiasa
 
Wakuu Habari

Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
Ulitaka aanze kuumiza na kuua watu wenye mawazo tofauti naye kama ilivyokuwa hapo awali kwa mtangulizi wake?
 
hapana mkuu, ila anatakiwa ajipambanue kabisa bila kuogopa, mfano hili la leo la tume ya Corona, hakuongea chochote nadhani ni kuogopa kuwakwaza wafuasi wa jiwe. Wakati jiwe alikuwa hana ustaarabu huo kabisa
 
Mkuu sio Corona tu, kun mambo mengi sana hii nchi ilikuwa inaelekea shimoni, kiuchumi na kisiasa
Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.
 
kaharibu sana akili za watu kwa propaganda za hovyo. Imagine mtu anatetea kabisa kiongozi anayeteka na kuuwa watu ndio kiongozi anayefaa kwa sababu ni imara
Utawala wa maguful ulinisaidia kujua Marafiki na Raia wenye roho nzuri na mbaya. Mtu yeyote anayeshabikia vitendo alivyofanya magufuli ni mchawi, shetani na ana roho ya kimaskini.
 
Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.
Nyie wajinga wa ccm muwe mnaona aibu katika mambo kama haya la sivyo mnakuwa kama Ole Sabaya.
 
Hasa kwenye kurekebisha suala la machinga.. namuonea huruma. Ila inabidi arekebishe sasa kabla ya 2024.. miji iwe safi, na hao machinga watafutiwe sehemu zao za kufanyia biashara.
 
Ni kweli kabisa, miji imekua michafu kama kile kibanda umiza
 
Back
Top Bottom