Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

Miaka ya 2010s zilipoanza shule za kata wanafunzi wengi walikuwa wakipata Div 0.Sasa ndiyo hawa wagumu wa kuelewa, wameshakuwa watu wazima. Mama piga Kazi
 
Populist at work!😄😄😄
1621258979442.jpg
 
Wakuu Habari

Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani....
Ni rahisi sana kurekebisha uchumi ulioharI bika lakini kurekebisha akili ni shida sana.

Ni watu wengi wameharibiwa kiakili hapa karibuni. Ni machizi kabisa. Hawa ni kuwavurusha bila woga. Mh raisi asiogope kabisa na hii miluzi madam anafanya kilichosahihi.

Wajerumani hawakukosea kutufanyiza kazi kwa shueruti maana pia kulikuwa na machizi ambayo yalikuwa hayaelewi.
 
Huko kwa wenzetu ambako tunakopi na kupaste, wameambiwa kuvua barakoa kwa wale waliochanjwa chanjo zote mbili....na kuwaomba ambao walikataa kuchanjwa waendelee kuvaa barakoa!
Habari ya kuhuzunisha ni kuwa hata waliochanjwa chanjo zote wamebainika kupatwa na maambukizi ya covid 19....ngoma bado mbichi ati!

Bill Maher has tested positive for COVID-19, forcing the cancellation of the Friday taping of his HBO show "Real Time with Bill Maher," the show announced Thursday. The comedian is fully vaccinated, asymptomatic and "feels fine," the show said.

No other staff or crew members have tested positive, the show said. Neil deGrasse Tyson, Max Brooks and Dan Carlin were the guests scheduled for the canceled show on Friday.
Chai...
 
Huko kwa wenzetu ambako tunakopi na kupaste, wameambiwa kuvua barakoa kwa wale waliochanjwa chanjo zote mbili....na kuwaomba ambao walikataa kuchanjwa waendelee kuvaa barakoa!...
Wewe ni mjina na ndio tatizo lingine Tanzania. Mtu anajifanya kujua na kulieleza jambo asilolijua vizuri!!

Chanjo hizi hazizuii maambukizi (infection), zinazuia kuugua (hospitalization)!! Aliyechanjwa anakuwa na viral load ndogo sana kiasi hawezi kuumwa lakini kutokana na aina ya exposure (kama denda) anaweza akamuambukiza ambaye hajachanjwa kiasi viral load ikafikisha muambukizwa kuumwa. Barakoa ipo kumsaidia mtu asiambukiwe au kuambukiza. Wanaambiwa wavae barakoa ili wasiwaambukize hiyo viral load ndogo watu ambao hawajachanjwa!!

Msukuma gani unakuwa hivo bana?? Haujui mambo haya kwa undani lakini unayazumzia kama unayajua.

Chanjo hii inaufanya mwili kupigana na kuishinda corona!! Sio kwamba corona haitaingia mwilini!! Ndivo chanzo zote hufanya kazi!!

Jikinge usipate maambukizi!!
 
Semrni tu ukwel kua watanzania tunaamin maono yake ivyo unty nchumali anavyo enda tofaut na sisi hato iweza nchi na bado anatakiwa ajue kua Muda wowote kuanzia Sasa
 
Wewe ni mjina na ndio tatizo lingine Tanzania. Mtu anajifanya kujua na kulieleza jambo asilolijua vizuri!!
Ndugu yangu,

Tusiwachoke hao ni ndugu zetu. Tuendelee kuwaelimisha na kuwafundisha kujisomea na umuhimu wake ili kujiongezea uwezo wa kufikiri.

Mwenda zake hakutaka kabisa mtu wenye uwezo wa kujitegemea kiakili, kufikiri na kuwa na mawazo mbadala/tofauti.
Akiwaminisha wasiotaka kufikiri ETI huo ni usaliti.

Ilikuja ikawa ni sifa kumthibitishia Mwendazake kwamba kila asemacho na kufanya muda wote popote ni sahihi na hata wasomi wengi wakawa aibu tupu kwa Taifa na kuwa waimba mapambio tu kwa ajili ya matumbo kama Korea ya kaskazizini.

Huu ni ugonjwa mbaya zaidi kuliko hata corona ambao Mungu kaweka mkono wake kutuokoa. Bila hivyo tulikuwa tunajenga kwa kasi taifa la wajinga wanaojivunia ujinga huo.

AMEN.
 
kaharibu sana akili za watu kwa propaganda za hovyo. Imagine mtu anatetea kabisa kiongozi anayeteka na kuuwa watu ndio kiongozi anayefaa kwa sababu ni imara
Kwani enzi za jk watu walikua hawatekwi?
Watu walitolewa meno,waandishi kapigwa risasi kafa.awamu zote hayo hua yapo
 
Nchi ipo kwenye rehabilitation, ni kweli uharibifu karibu kila nyaja ni mkubwa- mahusiano na mataifa sifuri, upendo kati ya wananchi wote sifuri, maendeleo ya watu sifuri, usawa na haki sifuri, kuheshimu katiba na sheria sifuri, utawala bora sifuri..

Ni kweli mama ana kazi kubwaa!!
 
Wakuu Habari

Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
Huna akili wew ni mbwiga

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
 
Kwani enzi za jk watu walikua hawatekwi?
Watu walitolewa meno,waandishi kapigwa risasi kafa.awamu zote hayo hua yapo
yalikuwepo na yalikemewa, hayakuonekana sifa nzuri. Sasa hivi yanaonekana ndio sifa ya kiongozi mzuri
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
Corona ndio imemuua Magufuli, kijazi, Maalim Seif, Balozi Mahiga na watanzania wengine wengi. Lile zee la propaganda lilikuwa likiwadanganya eti maombi yameodoa Corona, tangia lini maombi yakatibu janga? bahati nzuri amekufa
 
Back
Top Bottom