Magufuli na genge lake la mauzauza yameaibika.Bora wamechelewa kuleta hii report yao wangeleta mwaka 2020 hali ingekuwa mbaya sana kwa watanzania.
Wakitangaza lockdown watajilock wenyewe.
# hongera biswalo mganga kwa kuapishwa kuwa jaji ili sasa Lema akome kabisa.
Magufuli kaweka nchi vizuri acheni ujuaji wenu wa kipuuziWakuu Habari
Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
dah, kweli mkuuNa mbaya zaidi hii nchi ambavyo ina wajinga wengi na maskini basi zile propaganda zake ziliaminiwa Sana na mburura wengi
kaharibu sana akili za watu kwa propaganda za hovyo. Imagine mtu anatetea kabisa kiongozi anayeteka na kuuwa watu ndio kiongozi anayefaa kwa sababu ni imaraMagufuli kaweka nchi vizuri acheni ujuaji wenu wa kipuuzi
Magufuli alibrain wash watu sana....yan watu wamekuwaje sijui...kiukweli mm kama medical personel napata hasira sana kuwaelimisha watu esp kuhusu corona...and all other measures ambazo mama amechukua kwwnye sector nyingine...cha muhimu mama awe mvumilivu tu awaache waongee ila watakuja kumuelewa baadaeWakuu Habari
Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
Mkuu sio Corona tu, kun mambo mengi sana hii nchi ilikuwa inaelekea shimoni, kiuchumi na kisiasaMpaka sasa tunapambana na corona kwa njia za kisayansi. Mh Samia suluhu amesikiliza maoni ya wapinzani kupamba kwa njia za kitaalam.
Ulitaka aanze kuumiza na kuua watu wenye mawazo tofauti naye kama ilivyokuwa hapo awali kwa mtangulizi wake?Wakuu Habari
Baada ya zaiaa ya Samia ya kwen Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani...
hapana mkuu, ila anatakiwa ajipambanue kabisa bila kuogopa, mfano hili la leo la tume ya Corona, hakuongea chochote nadhani ni kuogopa kuwakwaza wafuasi wa jiwe. Wakati jiwe alikuwa hana ustaarabu huo kabisaUlitaka aanze kuumiza na kuua watu wenye mawazo tofauti naye kama ilivyokuwa hapo awali kwa mtangulizi wake?
Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.Mkuu sio Corona tu, kun mambo mengi sana hii nchi ilikuwa inaelekea shimoni, kiuchumi na kisiasa
Utawala wa maguful ulinisaidia kujua Marafiki na Raia wenye roho nzuri na mbaya. Mtu yeyote anayeshabikia vitendo alivyofanya magufuli ni mchawi, shetani na ana roho ya kimaskini.kaharibu sana akili za watu kwa propaganda za hovyo. Imagine mtu anatetea kabisa kiongozi anayeteka na kuuwa watu ndio kiongozi anayefaa kwa sababu ni imara
na aliyetangaza uchumi umeshuka kutoka 6.9 hadi 4.6 ni chadema? Sukuma gang mnaumwa nini lakini?Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.
Nyie wajinga wa ccm muwe mnaona aibu katika mambo kama haya la sivyo mnakuwa kama Ole Sabaya.Bank ya dunia wasingetangaza Tanzania imefika uchumi wa kati tungedanganywa sana na wapuuzi chadema kama wewe.
Mmeo mboe amekufikisha uchumi wa konyagiNyie wajinga wa ccm muwe mnaona aibu katika mambo kama haya la sivyo mnakuwa kama Ole Sabaya.
Kila siku wanaambulia aibu. Tangu kinyago wao aondoke wanamatukio mabaya kila sikuNyie wajinga wa ccm muwe mnaona aibu katika mambo kama haya la sivyo mnakuwa kama Ole Sabaya.
Ni kweli kabisa, miji imekua michafu kama kile kibanda umizaHasa kwenye kurekebisha suala la machinga.. namuonea huruma. Ila inabidi arekebishe sasa kabla ya 2024.. miji iwe safi, na hao machinga watafutiwe sehemu zao za kufanyia biashara.