Hayati Magufuli aliharibu sana hii nchi, Rais Samia atapata tabu kuongoza asipokuwa mkali

Haya majuisi ya malimao na tangawizi yamesababisha vidonda vya tumbo kwa wanannchi
 
Kk tusipotezwe muda na binadamu wakiristo wanaweza kukubaliana nami kuwa yesu kristo aliletwa duniani kuja kuwakomboa wanadamu hao hao Ila walimkataa ss iwe mama yetu tuliokuwa tayari twende mbele
Tuamini tu kuwa mwendazake alifanya yaliyomema na kama binadamu kuna sehemu hakufanikiwa na mama anarekebisha yale yaliyokuwa siyo
Together we can

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
yalikuwepo na yalikemewa, hayakuonekana sifa nzuri. Sasa hivi yanaonekana ndio sifa ya kiongozi mzuri
Yalipokemewa yaliisha?kila rais kuna baadhi ya watu walioumia.tuache maneno maneno
 
Mawaziri waliobaki na jitihada za kufanya ziara ni wale wale wachapakazi, Biteko, Jaffo na Awesso; na wakifika huko wanakutana na changamoto kama ilivyozoeleka mambo vuluvulu.

Wengine wote are not bothered siku hizi, uwaziri umerudi kuwa mahala pa kupumzika heck wengine ata mikutano wanaoalikwa wanatuma naibu katibu mkuu; waziri, naibu wake na katibu mkuu hawana muda tena wa kuonekana mbele ya boss.
 
Ukali si lazima - kinachotakiwa ni busara, hekima, kusimamia haki na mipango thabiti.
 
Kuongoza wajinga ni kazi rahisi sana....maana unaweza kuwaaminisha ujinga wakakuona nabii..
kama ilivyo kuongoza waliokata tamaa na maisha.

kwao kila kitu ni ndele.
 
Wanashangilia jinsi dhalim anavyopata kibano huko motoni
 
Tatizo lilikuwa ni kuamini ukiwa Rais basi wewe unajua kila kitu, vitu vya kitaalam waachiwe wataalam. Rias wa sasa amefanya vizuri kuhusu Covid.
 
!
Ukweli utabaki kuwa ukweli mifumo mingi imeharibiwa na mwendazake.
Mwongo!! Alichofanya JPM ni kutufungua macho na hakuna awezaye kutufumba macho tena! Hayupo wa kutuaminisha kuwa Tanzania ni maskini. Hakuna awezaye kutuaminisha kuwa mafua ya corona ni hatari kiasi cha kulazimisha lockdown! Hakuna anayeweza kutuami isha kuwa barakoa ni mwokozi wa corona!! Hakuna wa kufanikiwa kuvunja msingi aliotujengea JPM!! Mtu akitaka ajizike katika mioyo ya watanzania walio wengi ajaribu kupinga mambo aliyoyajenga JPM katika mioyo ya watanzania!! Yule mkuu wa mjengoni keshajizika rasmi katika mioyo ya watanzania na anajua hivyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…