mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,
Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi wa jimbo la Rulenge Ngara amapo Chato iko aje alizindue.
Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto
Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??
Askofu alikuwa sahihi