Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata itaratibu rasmi.
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Haati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,
Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha uritji na kutaka kutaka Akofu Severini aje alizindue.
Askofu alimgomea,bifu kati yake na Askofu likapamba moto
Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akadhindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??
Askofu alikuwa sahihi
Ni kweli,tena alilijenga enzi ile akiwa waziri wa ujenzi,kanisa hilo lilipaswa kuwa kigango,ni kweli Baba Askofu Mhashamu Severine Niwemugizi,aligoma kulizindua kwasababu mbili kuu
1. The allotted space ambayo JPM alijotolea ni ndogo,lengo la vigango vyote vya kanisa Katoliki ni vigango vikue vigeuke parokia,hivyo kulihitajika more adjacent land ambayo land yote iliyozunguka kanis7a hilo,alikuwa amejenga ile hoteli ya mwanzo,therefore,there were no more land to give!
2. Ukijitolea land kwa kanisa Katoliki,kanisa linakutaka uwape na title deed ya hiyo ardhi kuwa mali ya kanisa na kumilikiwa na kanisa na huna mamlaka ya kuwaingilia, kama tunavyo fahamu taratibu za umiliki wa Ardhi ya kijiji,chini ya customary land law,maeneo mengi ya vijiji,hayana hati, aliambiwa kwanza akamilishe taratibu ndipo kanisa lipokelewe,JPM aka mind!

Wakati JPM anasoma Katoke seminary,Padri Niwemugizi ndie alikuwa Rector!,natumaini mnakijua kilichomtokea JPM hapo seminari ya Katoke!

Baada ya JPM tuu ya kuwa rais na kuanza ule udikikiteta wake wa mwanzo,Askofu Niwemugizi alikemea,JPM aka mind, akamshughulikia ipasavyo kwa kuhoji uraia wake!。

Corona ilipoingia JPM akajichimbia Chato, akaamuru hakuna lockdown Tanzania,Majimbo yote wakatii, Askofu Niwemugizi akapiga lockdown jimbo la Rulenge!huku Magufuli akiwa Chato,mimi nilimuunga mkono Baba Askofu Niwemugizi Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa?

JPM akafura akaendelea kusali makanisa ya ki protestant,na kubonga mbovu kumhusu Baba Askofu kwa kusema kanisa sio katoliki tuu!,Mungu ni wa wote!Mkatoliki ukipishana na Askofu wako,ujue una hatari!,mfano mzuri ni huu, angalia tarehe ya ushauri huu Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo kisha angalia zilipita siku ngapi kabla ya buriani hii? Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!

Kiukweli JPM tulimsifu sana kama shujaa wa corona,bila kujua tunamponza, Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika JPM aliilaani corona na kuuita ka corona, akina sisi tulihoji humu kwa kumshauri Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?, haikusaidia kitu!,na inasemekana ...,,ni corona!。

Mwisho wa siku, JPM alijirudi,akajishusha "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa! akamuangikia,akatubu,akasamehewa。

Zile siku za mwisho kabla umauti, JPM was a changed man, nilaeleza sana humu
Aliachana na tumbua tumbua akawa anazunguka na mabulungutu ya pesa na kugawa kwa masikini,
wema alioutenda ukawa mkubwa kuliko ubaya,karma ikaufuta ubaya wake wote,ikabaki dhambi moja tuu,alipotwaliwa akawa amelipa in full!akawa hana deni lolote la karma!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!

Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na aliyendesha misa ya wafu kumzika Magufuli ni Baba Askofu Severino Niwemugizi!
JPM alipokelewa mbinguni,siku ile ile na saa hizi yuko zake peponi mbinguni kwa Baba yake!,yuko na Baba yake!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Ni kweli,tena alilijenga enzi ile akiwa waziri wa ujenzi,kanisa hilo lilipaswa kuwa kigango,ni kweli Baba Askofu Mhashamu Severine Niwemugizi,aligoma kulizindua kwasababu mbili kuu
1. The allotted space ambayo JPM alijotolea ni ndogo,lengo la vigango vyote vya kanisa Katoliki ni vigango vikue vigeuke parokia,hivyo kulihitajika more adjacent land ambayo land yote iliyozunguka kanisa hilo,alikuwa amejenga ile hoteli ya mwanzo,therefore,there were no more land to give!
2. Ukijitolea land kwa kanisa Katoliki,kanisa linakutaka uwape na title deed ya hiyo ardhi kuwa mali ya kanisa na kumilikiwa na kanisa na huna mamlaka ya kuwaingilia, kama tunavyo fahamu taratibu za umiliki wa Ardhi ya kijiji,chini ya customary land law,maeneo mengi ya vijiji,hayana hati, aliambiwa kwanza akamilishe taratibu ndipo kanisa lipokelewe,JPM aka mind!

Wakati JPM anasoma Katoke seminary,Padri Niwemugizi ndie alikuwa Rector!,natumaini mnakijua kilichomtokea JPM hapo seminari ya Katoke!

JPM tuu ya kuwa rais na kuanza ule udikikiteta wake wa mwanzo,Askofu Niwemugizi alikemea,JPM aka mind, akamshughulikia kwa kuhoji uraia wake!。

Corona ilipoingia JPM akaamuru hakuna lockdown Tanzania,Majimbo yote wakatii, Askofu Niwemugizi akapiga lockdown jimbo la Rulenge!,JPM akafura akaendelea kusali makanisa ya ki protestant,na kubonga mbovu kumhusu Baba Askofu na kulaani corona na kuuita ka corona, akina sisi tulihoji humu

Mwisho wa siku, JPM alijirudi,akamuangikia,akatubu,akasamehewa。

Zile siku za mwisho kabla umauti, JPM was a changed man, nilaeleza humu

Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na alipokelewa mbinguni,saa hizi yuko peponi!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Yote ulioandika yatabaki kuwa kumbukumbu sahihi na nzuri ikiwa utaondoa maneno haya.

"hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na alipokelewa mbinguni,saa hizi yuko peponi !"

Huwezi kuthibitisha jambo hilo, inabaki maamuzi ya Mungu mwenyewe
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata itaratibu rasmi.
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Haati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini aje alizindue.

Askofu alimgomea,bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akadhindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
Jamaa alikuwa na faili Mirembe.
 
Habari za makanisa kwangu azina maana yoyote ila sema huyo askofu ni mpumbavu kwa kukataa kwa kuwa hakuna heri yoyote kwa kupokea au kukataa
 
Kujenga Kikanisa kidogo nyumbani kwako hivi tunavyoviita Adoration Chapel haizuiliwi, alichokosea mwenda ni kutaka kanisa hilo litumiwe na watu wote yaani awe muislam ruksa kwenda kupiga adhana humo ndani, awe Msabato, Muanglikana au Mlutheri. Hii isingekubalika. Wakatoliki wanaheshimu mno Altare pamoja na mahali kunapohifadhiwa (Tabernacle). Sasa utaingizaje humo Waislam na madhehebu mengine waje wakufuru sehemu takatifu kama hizo? Huo ndio ulikuwa msimamo wa Baba Askofu. Isije ikatafasiriwa kwamba kulikuwa na mgogoro!
Astaghfirullah! Muislamu aingie kanisani akaadhini anatafuta nini? Kwani misikiti hakuna huko Chato? Na kama hakuna pia lazima kutakuwa na open spaces ambazo mtu anaweza kuweka msala akasali
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata itaratibu rasmi.
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Haati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini aje alizindue.

Askofu alimgomea,bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akadhindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
Huyu Magufuli kwa jinsi alivyokuwa angeweza hata kuanzisha jimbo lake, jimbo kuu la Chato. Askofu aliona mbali sana!
 
Yeah, Askofu alikuwa sahihi.
Alichotakiwa kufanya JPM ni kutoa kiwanja kwa Kanisa na kukabidhi hati yake, halafu aliachie Kanisa liamue kuwekeza kitu gani hapo, iwe kanisa, shule, hospitali au ukumbi wa mikutano na sherehe etc. Kuna mahitaji maalum ya ujenzi wa Kanisa la RC, ikiwa ni pamoja na ukubwa wa eneo, mahitaji ya waumini (ukaribu na kanisa lingine la RC) nk. Yeye JPM angekuja kuchangia fedha kwa kitakachowekezwa hapo.

Kuhusu waisilamu, kumekuwa na migogoro kadhaa nchini inayohusisha 'umiliki' wa misikiti, mfano no mgogoro wa msikiti mmoja pale Mwanza
Magu anataka kanisa -- angetoa kiwanja alafu waje waweke ukumbi ws mkutano -- wasingeelewana hapo
 
Kujenga Kikanisa kidogo nyumbani kwako hivi tunavyoviita Adoration Chapel haizuiliwi, alichokosea mwenda ni kutaka kanisa hilo litumiwe na watu wote yaani awe muislam ruksa kwenda kupiga adhana humo ndani, awe Msabato, Muanglikana au Mlutheri. Hii isingekubalika. Wakatoliki wanaheshimu mno Altare pamoja na mahali kunapohifadhiwa (Tabernacle). Sasa utaingizaje humo Waislam na madhehebu mengine waje wakufuru sehemu takatifu kama hizo? Huo ndio ulikuwa msimamo wa Baba Askofu. Isije ikatafasiriwa kwamba kulikuwa na mgogoro!
Hili lisingewezekana kabisa.
 
Asante kwa ufafanuzi,sasa hilo lingekuwa kanisa au soko.
Yule mzee alikuwa na vituko,angeita sheikh basi aje alizindue
 
Back
Top Bottom