Ni kweli,tena alilijenga enzi ile akiwa waziri wa ujenzi,kanisa hilo lilipaswa kuwa kigango,ni kweli Baba Askofu Mhashamu Severine Niwemugizi,aligoma kulizindua kwasababu mbili kuu
1. The allotted space ambayo JPM alijotolea ni ndogo,lengo la vigango vyote vya kanisa Katoliki ni vigango vikue vigeuke parokia,hivyo kulihitajika more adjacent land ambayo land yote iliyozunguka kanisa hilo,alikuwa amejenga ile hoteli ya mwanzo,therefore,there were no more land to give!
2. Ukijitolea land kwa kanisa Katoliki,kanisa linakutaka uwape na title deed ya hiyo ardhi kuwa mali ya kanisa na kumilikiwa na kanisa na huna mamlaka ya kuwaingilia, kama tunavyo fahamu taratibu za umiliki wa Ardhi ya kijiji,chini ya customary land law,maeneo mengi ya vijiji,hayana hati, aliambiwa kwanza akamilishe taratibu ndipo kanisa lipokelewe,JPM aka mind!
Wakati JPM anasoma Katoke seminary,Padri Niwemugizi ndie alikuwa Rector!,natumaini mnakijua kilichomtokea JPM hapo seminari ya Katoke!
JPM tuu ya kuwa rais na kuanza ule udikikiteta wake wa mwanzo,Askofu Niwemugizi alikemea,JPM aka mind, akamshughulikia kwa kuhoji uraia wake!。
Corona ilipoingia JPM akaamuru hakuna lockdown Tanzania,Majimbo yote wakatii, Askofu Niwemugizi akapiga lockdown jimbo la Rulenge!mimi nilimuunga mkono
https://www.jamiiforums.com/threads...la-sadaka-ndio-itumwe-kwa-m-pesa.1713507/,JPM akafura akaendelea kusali makanisa ya ki protestant,na kubonga mbovu kumhusu Baba Askofu na kulaani corona na kuuita ka corona, akina sisi tulihoji humu
Mwisho wa siku, JPM alijirudi,akajishusha
"Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa! akamuangikia,akatubu,akasamehewa。
Zile siku za mwisho kabla umauti, JPM was a changed man, nilaeleza humu
Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na alipokelewa mbinguni,saa hizi yuko peponi!
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P