We sema chapel mwenzako alitaka adkofu aje aliweke wakfuNyie kaeni na no election yenu haya mengine haya yaacheni. Maana hamna uelewa wa Mambo hata kidogo.
Ivi kujenga chapel na penyewe mnaona DHAMBI. Watu ni wapumbav Sana.
Lile so kanisa Ila ni chapel.
Kam ambavyo mtu mwingine hujenga lodge (sehem ya kunywea vinywaji)
Au sehem ya kuomgelea Magu alihenga sehem ya maombi nyumbani kwake.
Alitubu mauaji ya Ben saanane? Kama hakuungama uchafu wote basi hakuna mbingu hapo, Mungu hapokei waovu ila wanaokiri dhambi zao zote. Alipaswa kabla ya kufariki awaite wazazi wa saanane na Lissu pia akiri hayo, ila kma ego ilikua ipo juu ndio hivyo tena.Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na alipokelewa mbinguni,saa hizi yuko peponi
kwahiyo michango haiwezi kuwa inatokana na pesa ya dhuluma?Michango sawa ila kanisa kama jengo kuna utaratibu maalumu
since only God can judge then kanisa ilibidi lipokelewe tu. au nyie na askofu wenu mliwepo wakati jiwe anadhulumu na kumwaga damu za watu? would you prove hizo allegations?Unless there is a proof
Utajuana na Mungu wako sisi tunataka sadaka tu,only God can judge
Pascal Mayalla ameeleza vizuri kuwa kanisa lina taratibu zake iikiwemo kuwakabidhi hati ya kiwanja.since only God can judge then kanisa ilibidi lipokelewe tu. au nyie na askofu wenu mliwepo wakati jiwe anadhulumu na kumwaga damu za watu? would you prove hizo allegations?
Wewe Mzee unaelezea kama vile umeiona hiyo orodha yake ya dhambi.Aliachana na tumbua tumbua akawa anazunguka na mabulungutu ya pesa na kugawa kwa masikini,
wema alioutenda ukawa mkubwa kuliko ubaya,karma ikaufuta ubaya wake wote,ikabaki dhambi moja tuu,alipotwaliwa akawa amelipa in full!akawa hana deni lolote la karma!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Wewe ni MPUMBAVU na bahati mbaya hujijui kama wewe ni LIPUMBAVU tena LIPUMBAVU la mwisho.Unless there is a proof
Utajuana na Mungu wako sisi tunataka sadaka tu,only God can judge
Nitaendelea kumuandika shetani wenu na mpumbavu kama wewe,shenzy kabisa shetwainiWewe ni MPUMBAVU na bahati mbaya hujijui kama wewe ni LIPUMBAVU tena LIPUMBAVU la mwisho.
Hii comment yako imethibitisha nilivyokuita hapo kwenye para ya kwanza.
Kwa hiyo kumbe kanisa liko sahihi kupokea sadaka za mafisadi eti siku ya mwisho fisadi huyo atajuana na Mungu wake, ila wewe sadaka wakati huo umeshakula tayari?
Huna lolote zaidi ya chuki tu zisizoisha kwa Magufuli, karibu comments zako zote kwenye hii forum zinamuhusu magufuli tu, hata hii thread umeanzisha kujipa relief ya maumivu ambayo umeachiwa na utawala wa magufuli.... na nna uhakika haya maumivu yako hayataisha mpaka siku unaingia kaburini fala wewe.
Ndio maana nyie wapumbavu watanzania sasa hivi wameshawapuuza na via ajenda vyenu vya no reform no election, kwa sababu nyie karibu wote ni wajinga sana mna mchukia magufuli kuliko hata yanayofanywa na awamu hii ya sasa... halafu ndio mnataka muungwe mkono?Kama aliweza kutuambia papai lina corona haya mengine asingeshindwa!!.
Alikuwa ni mtu wachuki na visasi aliwasumbua sana wazee chato waliokuwa wakienda kinyume na yeye!. Alikuwa hataki ushindani na wala kuona mpinzani akija enzi za ubunge wake... Alimtishia sana Dr Lukanima
MmhTofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,
Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.
Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto
Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??
Askofu alikuwa sahihi
Una matatizo wewe. Papa mwenyewe alipingwa sembuse huyo magufuli aliyekwiba pesa za umma, kuua na kupoka haki za watu?Waliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
Huyu bwege kanichokoza,mi sina na siwezi kuwa na chuki na marehemuKwa comment hii ya Mleta mdukuzi kumbe ulikuwa na chuki na Magufuli hahah
Yeah, Askofu alikuwa sahihi.
Alichotakiwa kufanya JPM ni kutoa kiwanja kwa Kanisa na kukabidhi hati yake, halafu aliachie Kanisa liamue kuwekeza kitu gani hapo, iwe kanisa, shule, hospitali au ukumbi wa mikutano na sherehe etc. Kuna mahitaji maalum ya ujenzi wa Kanisa la RC, ikiwa ni pamoja na ukubwa wa eneo, mahitaji ya waumini (ukaribu na kanisa lingine la RC) nk. Yeye JPM angekuja kuchangia fedha kwa kitakachowekezwa hapo.
Kuhusu waisilamu, kumekuwa na migogoro kadhaa nchini inayohusisha 'umiliki' wa misikiti, mfano no mgogoro wa msikiti mmoja pale Mwanza
Paskali katika ubora wake. Mimi naona hapa ni kulipiziana visasi kwa kwenda mbele. Nisingependa kuyarudia hayo kwani mlilala hadingwadingwa mwemacho haambiwi tule.Ni kweli,tena alilijenga enzi ile akiwa waziri wa ujenzi,kanisa hilo lilipaswa kuwa kigango,ni kweli Baba Askofu Mhashamu Severine Niwemugizi,aligoma kulizindua kwasababu mbili kuu
1. The allotted space ambayo JPM alijotolea ni ndogo,lengo la vigango vyote vya kanisa Katoliki ni vigango vikue vigeuke parokia,hivyo kulihitajika more adjacent land ambayo land yote iliyozunguka kanisa hilo,alikuwa amejenga ile hoteli ya mwanzo,therefore,there were no more land to give!
2. Ukijitolea land kwa kanisa Katoliki,kanisa linakutaka uwape na title deed ya hiyo ardhi kuwa mali ya kanisa na kumilikiwa na kanisa na huna mamlaka ya kuwaingilia, kama tunavyo fahamu taratibu za umiliki wa Ardhi ya kijiji,chini ya customary land law,maeneo mengi ya vijiji,hayana hati, aliambiwa kwanza akamilishe taratibu ndipo kanisa lipokelewe,JPM aka mind!
Wakati JPM anasoma Katoke seminary,Padri Niwemugizi ndie alikuwa Rector!,natumaini mnakijua kilichomtokea JPM hapo seminari ya Katoke!
JPM tuu ya kuwa rais na kuanza ule udikikiteta wake wa mwanzo,Askofu Niwemugizi alikemea,JPM aka mind, akamshughulikia kwa kuhoji uraia wake!。
Corona ilipoingia JPM akaamuru hakuna lockdown Tanzania,Majimbo yote wakatii, Askofu Niwemugizi akapiga lockdown jimbo la Rulenge!mimi nilimuunga mkono Baba Askofu Niwemugizi Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa?
JPM akafura akaendelea kusali makanisa ya ki protestant,na kubonga mbovu kumhusu Baba Askofu na kulaani corona na kuuita ka corona, akina sisi tulihoji humu kwa kumshauri Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?
Mwisho wa siku, JPM alijirudi,akajishusha "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa! akamuangikia,akatubu,akasamehewa。
Zile siku za mwisho kabla umauti, JPM was a changed man, nilaeleza sana humu
Aliachana na tumbua tumbua akawa anazunguka na mabulungutu ya pesa na kugawa kwa masikini,
- Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
- Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
- Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?
- Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
wema alioutenda ukawa mkubwa kuliko ubaya,karma ikaufuta ubaya wake wote,ikabaki dhambi moja tuu,alipotwaliwa akawa amelipa in full!akawa hana deni lolote la karma!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na aliyendesha misa ya wafu kumzika Magufuli ni Baba Askofu Severino Niwemugizi!
JPM alipokelewa mbinguni,siku ile ile na saa hizi yuko zake peponi mbinguni kwa Baba yake!,yuko na Baba yake!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Haitakupunguzia maumivu uliyonayo hata kidogo mbwa wewe, wenzako waliotumbuliwa wamerud kwenye system wanafurahia maisha sasa hiv, wewe bado huko mitandaoni unabweka? Hicho kihoro utakufa nachoNitaendelea kumuandika shetani wenu na mpumbavu kama wewe,shenzy kabisa shetwaini