Hayati Magufuli alijenga kanisa nyumbani kwake, Askofu Niwemwigizi akagoma kulipokea

Kwa ufupi kigango si kigango bali nyumba ya ibada ya wanafamilia,
Hata aje askofu toka Vatican atashikilia msimamo wa askofu Severin

Ni jambo la heshma sana kujenga nyumba ya ibada sio katika miji yetu tuu bali hata sehemu za kazi ila wengi wetu tuko tayari kujenga nyumba za wageni, nyumba za walinzi na nyumba za mbwa ila sio ya Mungu.

Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha JPM mahala pema
 
Swali langu linabaki pale pale, why sasa Waislamu wanasingiziaga kwamba eti kanisa la RC kiongozi akiwa sio mtu wao hawamsakami?
Rejea upinzani kati ya magufuli na Ruwaich archbishop kuhus barakoa kaka so ni kutuhumiana tu kwa mgongo wa dini kila mtu anataka aone kua dini yake ni bora kuliko ya mwingine.
 
Waliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
Hawezi kusahaulika kwa aliyoyafanya kwa familia za Ben Saanane, Azory Gwanda, Leopold Lwajabe na wengineo ambao hawakuwahi kusikika.

Pia hatosahaulika kwa kura za mabegi na kujipa ushindi wa mezani na ndio uchaguzi ambao mara ya kwanza kabisa tulipata ushahidi wa wizi wa kura kwa video kama hivi.
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa

Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.

Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
baada ya kugoma alipata faida gani
 
Waliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
Ni kweli shetani Magufuli hatasahaulika kwa sababu ya uovu wake! Halikadhalika Ajuza Samia hatasahaulika kwa kuwa Rais mwanamke mtoa roho za watu!
 
Rejea upinzani kati ya magufuli na Ruwaich archbishop kuhus barakoa kaka so ni kutuhumiana tu kwa mgongo wa dini kila mtu anataka aone kua dini yake ni bora kuliko ya mwingine.
Unaendelea ku prove kwamba, Wakristo na viongozi wao hawakuwahi kumwogopa Magufuli kama Mkristo mwenzao, walikua wakimkoa bila kujali dini yake and that's my where my point is
 
Pascal Mayalla ameeleza vizuri kuwa kanisa lina taratibu zake iikiwemo kuwakabidhi hati ya kiwanja.
Hayati hakuwa na hati
Ni utaratibu waliojiwekea kama kanisa
isivyo bahati wewe mdukuzi hukusema kuhusu hati hapo mwanzo bali ulisema kuhusu kutopokelewa kanisa ambalo ujenzi wake unaokana na pesa za dhuluma na kumwaga damu za wanyonge
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa

Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.

Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
Kwa hiyo sasa hivi jengo limekuwa stoo ya mahindi ama?
 
Jiwe alikuww bure kabisa
 
Waliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
Kweli hatasahaulika kwa madhila aliyowafanyia watu yaani wafanya biashara,wafanyakazi,na wapinzani wake ambao mpaka leo wanauguza makovu.
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa

Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.

Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
Lakin pale kenya nyumban kwa Kenyatta senior kuna Kanisa nae alijenga linafanya kaz kifamilia
 
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki

Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa

Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,

Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.

Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto

Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??

Askofu alikuwa sahihi
Mnapokula ugali na maharage mkashiba kitu cha kwanza ni kuja kugombana na hayati JPM.
 
isivyo bahati wewe mdukuzi hukusema kuhusu hati hapo mwanzo bali ulisema kuhusu kutopokelewa kanisa ambalo ujenzi wake unaokana na pesa za dhuluma na kumwaga damu za wanyonge
Ahaa swala la hati sikulisema ila pia swala la kuwani fedha za dhuluma sikulisema.

Nilichofahamu ni kuwa hakufuata taratibu za Kanisa Katoliki ili kanisa lipokelewe na Akofu/jimbo

Paacal amedadavua vizuri
 
Mfano ni uliotumia upo nje ya Tz angalia mfano Congo maaskofu ni mawaziri wa wizara mbalimbali za nchi ushawahi kuona Tanzania ndugu. Nipe mfano wa Tanzania kabisa😋
Kwamba kanisa katoliki lina exception kwenye sheria na kanuni zake Tanzania tofauti na nchi zingine duniani?
I don't get you!
 
Back
Top Bottom