Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Swali langu linabaki pale pale, why sasa Waislamu wanasingiziaga kwamba eti kanisa la RC kiongozi akiwa sio mtu wao hawamsakami?Yan kafata utaratibu tu catholic mean universal
Swali langu linabaki pale pale, why sasa Waislamu wanasingiziaga kwamba eti kanisa la RC kiongozi akiwa sio mtu wao hawamsakami?Yan kafata utaratibu tu catholic mean universal
Hata Adolf Hitller bado anakumbukwaWaliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,
Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.
Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto
Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??
Askofu alikuwa sahihi
Ahaaaa unaona jinsi alivyokuwa shetani,alinitumbua ila sasa ninerudi twna lilikuwa kosa la kijinga sana mshenzi yuleMsenge wewe na haitakupunzia maumivu uliyonayo hata kidogo mbwa wewe, wenzako waliotumbuliwa wamerud kwenye system wanafurahia maisha sasa hiv, wewe bado huko mitandaoni unabweka? Hicho kihoro utakufa nacho
Would you please tender your evidence?Ni kweli,tena alilijenga enzi ile akiwa waziri wa ujenzi,kanisa hilo lilipaswa kuwa kigango,ni kweli Baba Askofu Mhashamu Severine Niwemugizi,aligoma kulizindua kwasababu mbili kuu
1. The allotted space ambayo JPM alijotolea ni ndogo,lengo la vigango vyote vya kanisa Katoliki ni vigango vikue vigeuke parokia,hivyo kulihitajika more adjacent land ambayo land yote iliyozunguka kanisa hilo,alikuwa amejenga ile hoteli ya mwanzo,therefore,there were no more land to give!
2. Ukijitolea land kwa kanisa Katoliki,kanisa linakutaka uwape na title deed ya hiyo ardhi kuwa mali ya kanisa na kumilikiwa na kanisa na huna mamlaka ya kuwaingilia, kama tunavyo fahamu taratibu za umiliki wa Ardhi ya kijiji,chini ya customary land law,maeneo mengi ya vijiji,hayana hati, aliambiwa kwanza akamilishe taratibu ndipo kanisa lipokelewe,JPM aka mind!
Wakati JPM anasoma Katoke seminary,Padri Niwemugizi ndie alikuwa Rector!,natumaini mnakijua kilichomtokea JPM hapo seminari ya Katoke!
Baada ya JPM tuu ya kuwa rais na kuanza ule udikikiteta wake wa mwanzo,Askofu Niwemugizi alikemea,JPM aka mind, akamshughulikia ipasavyo kwa kuhoji uraia wake!。
Corona ilipoingia JPM akajichimbia Chato, akaamuru hakuna lockdown Tanzania,Majimbo yote wakatii, Askofu Niwemugizi akapiga lockdown jimbo la Rulenge!huku Magufuli akiwa Chato,mimi nilimuunga mkono Baba Askofu Niwemugizi Mungu ni Omnipresent. Kufuatia Local Transmission ya Corona. Je, Sasa Tushinikize Watu Wasalie Majumbani Mwao, ila Sadaka Ndio Itumwe Kwa M-Pesa?
JPM akafura akaendelea kusali makanisa ya ki protestant,na kubonga mbovu kumhusu Baba Askofu kwa kusema kanisa sio katoliki tuu!,Mungu ni wa wote!Mkatoliki ukipishana na Askofu wako,ujue una hatari!,mfano mzuri ni huu, angalia tarehe ya ushauri huu https://www.jamiiforums.com/threads...anastahili-msamaha-hakujua-atendalo.2090759/, jamaa alipuuza!,angalia zilipita siku ngapi baada ya bandiko hili kabla ya kumkuta yaliyomkuta!
Kiukweli JPM tulimsifu shujaa wa corona, kulaani corona na kuuita ka corona, akina sisi tulihoji humu kwa kumshauri Imeshika kasi: Tuendelee Ushujaa wa "Ka-Corona, tusitishane, tuchape kazi" tukiteketea; au tubadili msimamo na tusitisishe Mikusanyiko tuokoke?
Mwisho wa siku, JPM alijirudi,akajishusha "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa! akamuangikia,akatubu,akasamehewa。
Zile siku za mwisho kabla umauti, JPM was a changed man, nilaeleza sana humu
Aliachana na tumbua tumbua akawa anazunguka na mabulungutu ya pesa na kugawa kwa masikini,
- Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
- Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
- Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?
- Magufuli ni Rais wetu, asiabudiwe, asiogopwe, bali aheshimiwe
wema alioutenda ukawa mkubwa kuliko ubaya,karma ikaufuta ubaya wake wote,ikabaki dhambi moja tuu,alipotwaliwa akawa amelipa in full!akawa hana deni lolote la karma!The Power of Karma- Ndio hukumu pekee ya haki kamili hapa Duniani. Unahukumiwa kwa matendo yako!
Alipougua alisaliwa sala ya toba,akapatiwa sakramenti ya kitubio akaungama dhambi zake zote,Paroko wa St Peters Father Makubi,alimpa sakrament ya upako mtakatifu,hivyo ame
kufa akiwa mtakatifu,na aliyendesha misa ya wafu kumzika Magufuli ni Baba Askofu Severino Niwemugizi!
JPM alipokelewa mbinguni,siku ile ile na saa hizi yuko zake peponi mbinguni kwa Baba yake!,yuko na Baba yake!Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Dini ni taasisi...Una matatizo; Ukristo uko organized kidogo, huwezi Jenga Kanisa na Mikono ya dhulma na Damu inayoonekana then lipokelewe, unasikia sheikh Ubwabwa?
Ni propaganda tu,mi najua Tundu Lissu alimsakama hayati Mkapa kuhusu wachimbaji wa Bulyankhulu ilikuwa bonge la move.TAL tena akatibuana na JPM,Kakobe na JPMSwali langu linabaki pale pale, why sasa Waislamu wanasingiziaga kwamba eti kanisa la RC kiongozi akiwa sio mtu wao hawamsakami?
Kwa ufupi kigango si kigango bali nyumba ya ibada ya wanafamilia,Ngoja tuongee na familia yake kanisa litumike kwa ibada
Sio lazima askofu katoliki akubali yapo madhehebu mengi yajua umuhimu wa madhavahu
Unaumia nini sasa kama ni hivyo?Ahaaaa unaona jinsi alivyokuwa shetani,alinitumbua ila sasa ninerudi twna lilikuwa kosa la kijinga sana mshenzi yule
Sasa hivi naendelea kuishi yeye yuko wapi sasa
Safi sana!Waliompinga Magufuli watakufa na kusahaulika lakini Magufuli hatasahaulika milele yote Tanzania
unataka evidence ya kitu gani ili uifanyie nini?。Would you please tender your evidence?
Siyo kanisa la katoliki Bali la wakristo wote.Nani alijenga hilo kanisa la catholic ndani ya taasisi ya serikali ambayo inaamini haina dini?.
Ndiyo, kuna majengo ya ibada yanayotumiwa kwa pamoja na madhehebu tofauti ya Kikristo, na pia mengine yanayohusisha dini zisizo za Kikristo. Haya ni baadhi ya mifano ya majengo hayo:Think big 🤣😂 outside the box. Ushawahi ona kanisa lolote nje na shule au vyuo wakishare ndugu😋
May be you are the one who should think outside of the box fella.Think big 🤣😂 outside the box. Ushawahi ona kanisa lolote nje na shule au vyuo wakishare ndugu😋
Evidence ya madai yako kwamb Pogba yuko kwa Mungu baba.Nataka kuujua huo ukweli ili niwe huru.unataka evidence ya kitu gani ili uifanyie nini?。
P
Baada ya hapo akamsingizia kuwa siyo Raia! Poor Jiwe!Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli utakuta kanisa dogo zuri sana,
Lile kanisa alilijenga hayati kwa gharama zake kwenye kiwanja cha urithi na kutaka Akofu Severini Niwemwigizi aje alizindue.
Askofu alimgomea......bifu kati yake na Askofu likapamba moto
Huyu Magufuli aliyesoma seminari na kufukuzwa ilikuwaje akashindwa kuelewa utaratibu wa ujenzi wa makanisa??
Askofu alikuwa sahihi
Umefanya vema,to seek the truth,and the truth will set you free。Evidence ya madai yako kwamb Pogba yuko kwa Mungu baba.Nataka kuujua huo ukweli ili niwe huru.
Jibu langu ni kwamba si kitu cha kawaida na kila unapoona hvo inakuwepo specific reason/s ukiangalia umetolea mfano maeneo ya nje ya Tanzania ilihali tuna ongelea Tanzania.May be you are the one who should think outside of the box fella.
Just search in Google, I already gave you the answer in post #114
The Church of the Holy Sepulchre in Jerusalem is significant for multiple Christian denominations because it is believed to be the site of Jesus Christ's crucifixion, burial, and resurrection. Here are some key reasons why it is used by various denominations, including Catholics:May be you are the one who should think outside of the box fella.
Just search in Google, I already gave you the answer in post #114