Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Askofu kakataa kupokea kanisa lililojengwa na muumini wake 1, halafu huyo muumini ni one of the senior ministers wa serikali, mtu mkubwa, lakini askofu kamvimbia yaani. (Sina hakika kama alimvimbia kwasababu ya taratibu za dini yao au, not sure) halafu kuna WANAFIKI kadhaa wanadai Wakatoliki ni wadini na wanawapenda viongozi wa dini yao; pumbafu.