CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #221
Bajeti ya serikali ni TZS trilioni 27 kutoka kwa walipa kodi na misaada/Mikopo.
Sina shida na Ujenzi wa vituo vya afya na madarasa kwa watoto wetu.
Ninapata shida Serikali inapoendelea kuwekeza kwenye biashara ya usafiri anga (kwa kununua ndege kwa fedha taslimu).
Ni vema serikali ikaacha kujihusisha na kufanya biashara , ndiyo maana Serikali ya awamu ya tatu, ilibinafusisha Mashitika zaidi ya 400 ambayo yalianzishwa na Baba wa Taifa.
Serikali iweke mazingira wezeshi ya wananchi wake kufanya biashara na kulipa kodi.
Serikali inapaswa kufahamu kuwa mradi huu ni white elephant na sioni Kama mabilioni yanayowekezwa yataleta faida kwa taifa kwa miaka ya karibuni.
Tunawekeza kisiasa,hizi ndege 11 sina uhakika kama zimeanza kuleta faida,kwa maana tunaambiwa mapato bila kuambiwa upande wa pili wa matumizi.
Hizo ni tents?RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
View attachment 1922453
Hii takwimu lete source sio kukenua tu hapa,We Fala vituo vipya vya afya vilifika 465, zahanati 1000+ hospitali za Kanda 4. Huyo mwingine ni tozo tu
Source mama yakoHii takwimu lete source sio kukenua tu hapa,
Huu pia ni ujinga ndgSource mama yako
ππHuu pia ni ujinga ndg
Wanaohoji tozo taarifa wanayo?RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
View attachment 1922453
HakikaNi jambo jema Wananchi kujenga nchi yao.
Siku zote hiyari yashinda......
Alama za NyakatiRAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
View attachment 1922453
Sijui atakuelewa kweli au kakimbia!!!?Jpm alijenga zahanati 44
Vituo vya afya vilikuwa 352
Attchment hizo
Hapo ni nje na hospital za wilaya na View attachment 2584617View attachment 2584619
Kwa Nini umemlinganisha na Magufuli?RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
View attachment 1922453
Hapo amna tozoJpm alijenga zahanati 44
Vituo vya afya vilikuwa 352
Attchment hizo
Hapo ni nje na hospital za wilaya na View attachment 2584617View attachment 2584619
Mtoa mada mpuz sana anahis watu hawajui ukweliHapo amna tozo