Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kwa nini ukwepuaji wa mabilioni ya pesa za walipa-kodi unazidi kushamiri? Wahusika mbona wanatazamwa tu as though wanaogopwa? Au naye paleee juu anakula kipande chake?
Vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, ^madili na upigaji^ zimegeukuwa kuwa utaratibu wa kila siku. What a shameless country that we live in!
Hivi huu si wakati wa kuhamia Rwanda ama Burundi kweli?