Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

Halafu wananchi wakiwakataa kwenye maandamano yenu uchwara mnasingizia mmerogwa. Mnacheza muziki wa Mbowe bila kutafakari. Mwenzenu kahongwa amtukane jiwe mpaka kajenga mjengo huko kijijini. Jpm keshawapoteza
Kama kuweka wazi maovu ya Jiwe kutawafanya wasije, bora wasije. Naona wengi wenu hamjibu kabisa hoja mnakimbilia kupita pembeni ya hoja. Hiyo maana yake nini?
 
Kwasasa unahoji Nini ? Au akili za kihoji zimeisha ?
 
TUMSIFU YESU KRISTO..
 
Kama marehemu anawasumbua kichwa ,je mwenye uhai mtamuweza vipi?Kiufupi CCM TUNASHINDANA NA CCM,yaani ukishindan uchaguzi ndani ya CCM automatically wewe ndio diwani,mb au Rais .CCM tobiko🔊🔊🔊🔊🔊
 
Mkuu face the truth, tell the truth, stand by the truth, answer truthfully and always defend your argument truthfully. Upinzani sio vibaraka wa wazungu by even an nch!

Chama tawala kimepokea misaada na mikopo na kufanya biashara na wazungu for over six decade day and night wakiwa wamekumbatiana!

Kama kweli kuna vibaraka, basi vibaraka papa wa wazungu na mabeberu kwa vigezo vyote ni chama tawala!
 
Utakuwa umerogwa sio bule!

Wewe! Ndo wa kuongelea waliokufa, upate faida ipi?

Na ndiyo maana sie tunakuona mjinga tu!
Mkuu kuna watu maarufu wamekufa miaka elfu huko nyuma na wanaongelewa mpaka hii leo sembuse huyo wa miaka mitatu!

Wewe unapungua nini wakimuongelea!

Au una faidika nini wakiwa hawamuongelei!

Huu ni wakati wa kumbukumbu yake! Acha watu wafunguke, wateme nyongo! Watoe ya mioyoni mwao!

Maisha ndivyo yalivyo!
 
Katiba mpya muhimu kwa mustakabali mzuri wa Tz!
 
Mkuu ulikuwepo kipindi cha Nyerere akiwa dindia wazungu wa kauli na vitendo tena kwa kuwafuata kwao!

Magufuli alikuwa na falsafa gani tangible ya kuongoza taifa! Unampa sifa kwamba alikuwa shujaa ila kale karadi tu kaMtwara alizimia karibia siku tatu!

Amefanya ni cha maana, unasema alithubutu kufanya maamuzi magumu yapi?

Mabwawa hayakuwepo nchi hii kwani ndio la kwanza??

Ndege hazikuwepo nchi hii?? Kwani ndio za kwanza???

Barabara hazikuwepo nchi, kwani ndio za kwanza!!!

Huduma za jamii zote na miundo mbinu yake haikuwepo??? Kwani ya wakati wake ndio ya kwanza!!

Shida yako wewe ulilishwa proganda pori ikakukaa hadi uwezo wa kufikiri tena ukakoma!

Kazi iendelee.............
 
Mtamusingizia.. kama njia ya kutomsahau.. kumumisi.. kutamani angekuwepo.. aliwapa la kuongea Sana.. akili zenu wote alizishika kwa usimati..

alisema...

"Mtanikumbuka"

Kazi iendelee..
 
Alimkamata Pia bwana Ruge na Singasinga baada ya kutupiga pale IPTL.
Aliwakamata pia wajingawajinga wengi waliokuwa wanaitia hasara nchi Kwa upumbavu wao.
Leo Kila mtu anaona dola inavyopaa na gharama za maisha zinavyopaa baada ya kuendekeza wajinga wajinga.
 
If ukiwa mbaya ndio unakumbukwa milele kama hivi ni bora kuwa mtu mbaya......
Watu wazuri kama kina Lowasa wanawahi kusahaulika.
 
Tutazidi kumshukuru Mungu kwa kutuondolea dhahama iliyokuwapo manake mambo yalikuwa sio kabla ya March 17 2021.
 
Hayo ni matokeo ya muda mrefu ya utawala ule dhalimu.
 
Hujawahi kuwa na akili timamu.Unashindana na wafu na kuacha mafisadi wachepushe pesa. Nincompoop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…