Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Uchawa ni dhana ya kufikirika tu, tena mwenye kuwa nayo ni yule anayeumizwa na hoja anazosoma.

Kikwete kafanya mengi pia, huwezi kuyaona kwa sababu akili yako imejiweka kuongelea mambo hasi tu.
 
Unachokisema nakubakiana nawe!
Ukikaa town (DSM) unaweza usione rais anafanya nini! Ila ukiwa unazunguka zunguka mikoa mingine huko njiani kuna mambo makubwa yanafanyika.
Hadi unajiuliza hizi pesa zinatoka wapi?
 
Magufuli alikua kiongozi mzuri sana, shenzi wewe acha uongo. Kuhusu samia ni kweli alikosea kukubali shinikizo la jk kumuweka samia makamu. Kiitikadi sio mjamaa ni mtu mbinafsi wala haelewi mambo mengi jambo muhimu kwa cheo cha urais. Samia hakua chaguo lake ila jk alichomeka kamati kuu. Chaguo lake lilikua hassan mwinyi. Wala sio siri mwenyewe magu alisema hadharani wala sio mara moja.
 
Ilikuwa makosa kumweka Magufuli kwenye Urais, mama ndiyo anasafisha madudu ya Magufuli. Hii ni kama Mwinyi alivyosafisha madudu ya nyerere, na Kikwete akaja kusafisha ya Mkapa.

Watende wao ya wenzao huwa mwao.
Samia kasafisha hadi ya Kikwete kama kuwatoa masheikh wa uamsho.
 
Ilikuwa makosa kumweka Magufuli kwenye Urais, mama ndiyo anasafisha madudu ya Magufuli. Hii ni kama Mwinyi alivyosafisha madudu ya nyerere, na Kikwete akaja kusafisha ya Mkapa.

Watende wao ya wenzao huwa mwao.
Nonsense, Magufuli alikuwa rais mzuri lakini samia ni rais mmbovu.
 
Hafai kabisa na maamuzi anoyofai yanadhihirisha hilo
 
Halafu nae huyo makamu aliyeenda kumchagua yeye sasa.
 
Kila mtu anajua kuwa magufuli alisema hilo.wazi na anasema ilimpa wakati mgumu
 
Kwenye mkutano mkuu wa ccm 2020 Magufuli alisema wazi kabisa kwamba yeye chaguo lake namba moja la mgombea mwenza alikuwa Hussein Mwinyi ila wazee wakamchagua Samia yeye hakumpenda kabisa ila chama kiliamua
Ahsante kwa kuiweka historia sawa!
 
Ccm ndo wajue makamu wa raisi sio wa kuchagua tu ili mradi kama walivofanya during jiwe era

Hili limekuwa somo kubwa, Makamu wa Rais ilikuwa alichaguliwa mradi twende! Aliwekwa pale kwa sababu ya Muungano tu! Ili kuziweka karata za Zanzibari sawa! Ni hilo tu basi! Niliposikia tu Magufuli yuko kwenye vegetative state, ni vigumu ku recover, nikajua Huyu Mama anakwaa Urais....Imekuwa! Kila Mtanzania atampima kwa vigezo vyake! Kwangu mimi hili la DP hakulitafakari kwa kina.....Kwa nguvu ya CCM DP itapita, hakuna kurudi nyuma! Lakini itakuwa ni liability kwa CCM, baada ya Mama kumaliza muda wake itafurushwa tu! Maybe na CCM wenyewe.....Mzigo utaendelea kuwa mgongoni mwa Watanzania.....Labada hao wataobahatisha kupata mabinti wa kiarabu!
 
Baada ya Nyerere siku hizi inamuabudu nani?

MoseKing,

Hujui Katiba ya Tanzania? Hujui Katiba ya CCM? Rais ni mungu mtu! Hukuona Magufuli alivyoabudiwa, hadi kufananishwa na Yesu! Rais wa Tanzania ni mojawapo wa Marais wenye nguvu mno kikatiba kuliko Marais wengi ulimwenguni! Hata Biden/Waziri Mkuu wa Uingereza hafikii......Watendaji wote wa serikali wamo katika viganja vya mkono wake....wanafinyangwa na vidole vyake! Ole wako uwe na mawazo kinyume chake......!The end of your livehood!
 
 
Absolutely wrong.

Samia will not make it beyond 2025, if she is lucky to go that far.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…