Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

I agree with you Mr Nyani Ngabu..

Kwamba, kwa mfumo wa kisheria na kikatiba wa nchi yetu, mkiwa na Rais dizaini ya Samia Suluhu Hassan ni rahisi sana nchi kuwa scammed kama tulivyofanywa sasa na waarabu wa DP World/Dubai Emirate.

Nchi isiyokuwa na taasisi imara za checks & balance of powers kama yetu ni hatari sana kuwa na Rais mipasho na legelege kiufahamu na kiakili kama huyu mama. Na wanaomwingiza mkenge na kumfanya mjinga ni watu wake haohao aliowapa vyeo hivyo mwenyewe...

Kwa USA, Harris Kamala (mwanamke) anaweza kuwa Rais na bado nchi ikaenda vizuri kwa sababu ya mfumo thabiti wa kisheria na kikatiba wa nchi hiyo ambao umejenga mfumo wa taasisi za usimamizi thabiti/imara kumdhibiti asije akaleta za kuleta..
 
Sijui kama Konyagi kapunguza.
 
Pascal, ile "white elephant project " umefika nayo wapi. Nakwambia tena, Dr. Shein wameiba 75 million dollars za mtoto wa mfalme wa Qatar ambazo zilikuwa zimeletwa kufanya miradi fulani. Ukiamini usiamini, wewe tunakujua ni kundi lako hilo.
 
Samia alipendekezwa na kina kikwete na kinana

Magufuli unakoumiza bure kwa hili
Uchaguzi wa pili wa Magufuli kina Kinana na Kikwete walikuwa wameshaloweshwa maji, ashamchana chana Kikwete mpaka anatetemeka anatoa statement za kufafanua kauli zake za Rais anajimwambafy, na Kinana kishakimbia yuko Canada. Hawakuwa na nguvu tena ya kum sajestia nani awe Vice President.

This was his own fat headed bluder, trusting everybody in a green shirt. They are pissing on his grave now.
 
Aliyekufa hakuhusika na kuchagua. Aliletewa. Chaguo lake lilikua HHM.
 
Pascal, ile "white elephant project " umefika nayo wapi. Nakwambia tena, Dr. Shein wameiba 75 million dollars za mtoto wa mfalme wa Qatar ambazo zilikuwa zimeletwa kufanya miradi fulani. Ukiamini usiamini, wewe tunakujua ni kundi lako hilo.
Mkuu Falconer , kwanza naomba unikumbushe unaulizia Tembo Mweupe yupi?.

Issue ya dola milioni 75, ni issue ya simple logic tuu, unaujua ujazo wa dola milioni 75 in cash?. I doesn't make sense!. Hakuna fedha za mradi wowote zinalipwa cash!. Cash money is only for spending and bakhshish!.
This story is too good to be true!.
Sorry!.
P
 
😂😂
 
Magufuli hakumchaguwa wala kumteua Samia Suluhu. Aristocrats wa CCM ndiyo walimteuwa hata magufuli.

Magufuli katika mfumo wa Tanzania hakuwa na ubavu wa kumchaguwa au kumteua yeyote.
 
Kilichomuangusha Magufuli ni ukabila na upendeleo wa waziwazi wa kanda ya ziwa. Magufuli alijaza watu serikalini kwa kigezo cha kanda ya ziwa na sio sifa zinazostahili. Aliwajaza TISS mpaka wakakosa ufanisi akaomba misaada wa Tolu kumlinda. Cha kushangaza hao hao aliowapa nafasi ndio waliommaliza. Mipango yake angetaka itumie angeweza malengo ya muda mrefu. Ukabila ndio umefuta ubora wa Magufuli kwa mtazamo wangu. Hata ukiangalia SGR ingekuwa DAR mpaka TUNDUMA huo hela tungeirudisha mapema asubuhi. Ujenzi wa uwanja mkubwa wa kimataifa Chato tumepoteza pesa nyingi sana. Na kama ukifuatilia Mama anapita kule mule alikopita Magu. Maana Magu ndiye aliyeanzisha kusema rais katoa hela kwa ajili ya hiki na hiki. Mama naye ameanza wavaa makobazi kama Magu alivyokaza wasukuma. Mama ameipa Kizimkazi na Waarabu kipaumbele kama Magu alivyoipa Chato na Rwanda kipaumbele. Kwa hiyo mama katembea mule mule.
 
Magufuli alikuwa na vision fupi sana. Hakuwa na uwezo wa kuona hata futi mbili mbele yake.
 
Magufuli hakumchaguwa wala kumteua Samia Suluhu. Aristocrats wa CCM ndiyo walimteuwa hata magufuli.

Magufuli katika mfumo wa Tanzania hakuwa na ubavu wa kumchaguwa au kumteua yeyote.
Duuh......kweli waliomteua nao wametuachia balaa
 
Nimegundua siasa za bongo zimejaa ukabila na udini...nimeliona sasa wakati akina Faiza Foxy wakichukia matendo ya Dr Magufuli lakini wanafurahia Matendo ya Dr Samia ambayo kimsingi ni yale yale.

Kwa hiyo utaona kwamba waliomchukia Dr Magufuli sio kwa sababu ya uongozi mbovu bali chuki binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…