Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Honestly to my opinion comparatively , Samia isn't that bad.... kinacho m cost yupo surrounded na money mongers...

Kwa wanawake waliopo madarakani kwa sasa hakuna wa ku match her intellect, sorry to say.

anapenda sana kuamini system kwenye utendaji.. like most world leaders do... but surbofinates keep failing her.

Kama jana nimeona clip ya nguzo za zege zinaangukia piki pik mchana kweupe.

Wapo wanaomwambia aachane na mfumo wa ega kwa excuse ya kuongeza ufanisi... but intention ni kupiga pesa.

Same kwenye issue ya bandari, na mengine mengi, ikiwemo na hili la kuchelewesha Katiaba mpya, na sababu ni kwamba wengi hawakuchaguliwa, so to maintain the position lazima watengeneze mazingira mapema.

Angalia kama Spika Tulia kwenye muhimil wa maana sana, ana PhD na ni mtu mwenye " akili" but she was literally dying for that position just to take a picture....

Hao wengine hata huwezi sema, mawaziri wengi nao ni kuendekeza uchawa ili wapate chakula ... it's sad but we have them in the system.

Magufuli alikuwa ana shine bila hata PhD.... toka akiwa naibu waziri had waziri wa SAmaki, very good at Micro management.

Ni bahati mbaya sana Samia anaamini system kwenye nchi ya watu wanaotaka kuwa micro managed and she ain't good at that.
Uzuri bado ana muda... anaweza jifunza na akarekebisha mengi kabla mambo hayaja haribika sana.
 
Samia + intellect?

You serious?
 
Uzi mwingine wa chuki unaokosa mantiki yenye kuweza kuingia kichwani. Samia ni sehemu ya serikali tangu miaka hiyo 2000.

Na kwa nchi hizi rais hawi yule anayeongelewa sana midomoni mwa watu. Lowassa alipambana kila alivyoweza akaja kuukosa urais.

January Makamba anapambana sana aje kuwa rais na hatakuwa rais huko tuendako.

Ukiukamia sana urais huwa huupati, unaishi kutengeneza makundi ya majungu na kuwa na wapambe wengi kama huyu mleta mada lakini ikulu huwezi kufika.

Tunakuwa na marais ambao sio maarufu midomoni mwa watu na ni kwa kheri ya taifa zima. Mungu anatuokoa na tabia nyingi za ajabu za hao wanaoutafuta urais kwa udi na uvumba.
 
Uwezo Mkubwa wa kutweza, kunanga na kutukana au kukebehi hauipi uhalali hoja yako dhaifu kuwa Sahihi, Pamoja kuwa unayo haki ya kukosoa lakini ulipaswa pia kukumbuka CCM ndio chama kilichopitisha Mgombea Urais na Makamu wake, kadhalika ubora mara 100 wa Mpango kwa Samia haumuinui Magufuli dhidi ya Musa Assad
 
Mkuu

Ongeza vitu vinne alivyonavyo wa hapo TZ
1. Hasira isiyo na mithili ila ameificha kwenye ngozi (Reference JK voice)
2. Visasi vya bayana (Reference-kukamatwa na trafiki akiendesha gari na kudharau kusimamishwa na askari trafiki halafu alipookota uhangaya alitamka wazi wazi jinsi anavyochukizwa na cops!!! Kurejesha viongozi wote walioharibu kwenye dhamana na wanaendelea kuharibu bila kuchukuliwa hatua zozote
3. Nepotism
4. Kuthamini mali ya kupewa naye kugawa ya nyumbani bila ridhaa ya wenye umiliki wa asili
 
Yote uliyoyasema ndiyo yanamnyima hizo sifa za kuwa kiongozi bora. Kama yupo surrounded na watu wabovu Kwa nini asitambue? She is not that intelligent, among other things very important, lazima kama wewe ni kiongozi ujue wale wanaokuzunguka, otherwise you are not that intelligent
 
Hili Jambo nililisema humu hata kabla ya DPW.

SSH alichaguliwa Kwa sababu,
👉Ni Mdhaifu
👉Ni mzanzibar
👉Ni Mwanamke.

Bahati mbaya sana Rais JPM Kwa Uwezo wake mkubwa alokua nao, haikua shida kwake, TATIZO NI KIFO CHAKE, KIFO CHA JPM, NA KATIBA MBOVU, NDIO VIMETUUZIA MBUZI KWENYE GUNIA


Wewe mtu kasoma Kwa kufelifeli weeeeee mpaka hapo alipo.

Hawa kiasili wanakuaga na ujuha wa kuzaliwa, wadhaifu na waoga, Watu Hawa Huwa kwenye kutafuta UKUU, wapo radhi kufanya mambo ya Hatari sana, Kwa sababu wanajua, hawana Uwezo na hivo muda wote wanahisi kudharauliwa .


Hali kama hii, huwafanya kutumia Kila Silaha wanayoweza ,kupambana na mtu anayeonekana ni Tishio !!.



Angalieni Genge lilomzunguka, Genge Zima, ni watu wanaofanana kielimu , Sasa unategemea Nape au Makamba, Wamshauri nn??


Hakujawahi kutokea kua na Rais mbovu kama huyu !!!.

Sahizi tuna makesi mengi mahakaman, hayo yote unaambiwa, Ni makosa ya JPM...Alaaaaa!!.

JPM alipokua hai, hizo kesi uchwara mbona hazikuwepo???.


Tuna Kiongozi mbovuuu kushindwa hata ubovu wenyewe
 
Wasukuma na Wale watu weupe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…