Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].

Maneno yako ni ya kienyeji wala siyo ya kisayansi. Hayana facts! Mwisho, mheshimu Rais wa nchi. Dharau zako ni dhidi ya taasisi. 🙏🙏🙏
 
Hili Jambo nililisema humu hata kabla ya DPW.

SSH alichaguliwa Kwa sababu,
👉Ni Mdhaifu
👉Ni mzanzibar
👉Ni Mwanamke.

Bahati mbaya sana Rais JPM Kwa Uwezo wake mkubwa alokua nao, haikua shida kwake, TATIZO NI KIFO CHAKE, KIFO CHA JPM, NA KATIBA MBOVU, NDIO VIMETUUZIA MBUZI KWENYE GUNIA

Wewe mtu kasoma Kwa kufelifeli weeeeee mpaka hapo alipo.

Hawa kiasili wanakuaga na ujuha wa kuzaliwa, wadhaifu na waoga, Watu Hawa Huwa kwenye kutafuta UKUU, wapo radhi kufanya mambo ya Hatari sana, Kwa sababu wanajua, hawana Uwezo na hivo muda wote wanahisi kudharauliwa .

Hali kama hii, huwafanya kutumia Kila Silaha wanayoweza ,kupambana na mtu anayeonekana ni Tishio !!.

Angalieni Genge lilomzunguka, Genge Zima, ni watu wanaofanana kielimu , Sasa unategemea Nape au Makamba, Wamshauri nn??

Hakujawahi kutokea kua na Rais mbovu kama huyu !!!.

Sahizi tuna makesi mengi mahakaman, hayo yote unaambiwa, Ni makosa ya JPM...Alaaaaa!!.

JPM alipokua hai, hizo kesi uchwara mbona hazikuwepo???.

Tuna Kiongozi mbovuuu kushindwa hata ubovu wenyewe
Mbona weww ni Dr wa ovyo kuwai kutokea hapa tz
 
Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].

Kumchagua huyu mtu SI kosa la Magufuli, ni chama ndiyo kilipendekeza hivyo na kinara wa hili alikuwa ni mwenyekiti wa chama wa wakat huo. Unajua kwenye vyama vyetu mambo yalivyo bilashaka
 
Honestly to my opinion comparatively , Samia isn't that bad.... kinacho m cost yupo surrounded na money mongers...

Kwa wanawake waliopo madarakani kwa sasa hakuna wa ku match her intellect, sorry to say.

anapenda sana kuamini system kwenye utendaji.. like most world leaders do... but surbofinates keep failing her.

Kama jana nimeona clip ya nguzo za zege zinaangukia piki pik mchana kweupe.

Wapo wanaomwambia aachane na mfumo wa ega kwa excuse ya kuongeza ufanisi... but intention ni kupiga pesa.

Same kwenye issue ya bandari, na mengine mengi, ikiwemo na hili la kuchelewesha Katiaba mpya, na sababu ni kwamba wengi hawakuchaguliwa, so to maintain the position lazima watengeneze mazingira mapema.

Angalia kama Spika Tulia kwenye muhimil wa maana sana, ana PhD na ni mtu mwenye " akili" but she was literally dying for that position just to take a picture....

Hao wengine hata huwezi sema, mawaziri wengi nao ni kuendekeza uchawa ili wapate chakula ... it's sad but we have them in the system.

Magufuli alikuwa ana shine bila hata PhD.... toka akiwa naibu waziri had waziri wa SAmaki, very good at Micro management.

Ni bahati mbaya sana Samia anaamini system kwenye nchi ya watu wanaotaka kuwa micro managed and she ain't good at that.
Uzuri bado ana muda... anaweza jifunza na akarekebisha mengi kabla mambo hayaja haribika sana.
Hili ndilo tatizo la mtanzania. Akipenda, chongo anaita kengeza. What are you try to suggest? Hivi rais kama anapelekeshwa na walio pembeni yake na halioni hilo, huoni ana kasoro kubwa kabisa? Hiyo system si ndiyo yeye ameisuka? Tafadhali sana usilete propaganda za kizamani hapa. Samia hana uwezo na ndiyo maana anapelekeshwa! Hivi rais wa nchi utakuwa uko serious kumchagua mtu kama Mwingulu kuwa waziri wa fedha? Na siyo huyo tu. Mawaziri wengi amechagua kwa kuangalia sifa ya kuitikia hewala mama kwa kila watakachoambiwa!
 
Kwenye mkutano mkuu wa ccm 2020 Magufuli alisema wazi kabisa kwamba yeye chaguo lake namba moja la mgombea mwenza alikuwa Hussein Mwinyi ila wazee wakamchagua Samia yeye hakumpenda kabisa ila chama kiliamua
Mr. tabasamu alihusika kumpendekeza na kuhakikisha anateuliwa! Kuna video iko humu ya juzi alilitolea maelezo alipoulizwa na mwandishi wa habari like Arusha.
Alaumiwe huyo mshika remote!
 
Chuki yako juu ya kikwete iko wazi kwani ukisema hivyo unataka kusema ata huyo magufuli alipendekezwa pia na watu kila rais ana andaliwa na mtu au watu ata wewe una boss wako ambaye unaonekana kama chawa
 
Samia alipendekezwa na kina kikwete na kinana

Magufuli unakoumiza bure kwa hili
Mimi nilikuwa namchukia Magufuli mno. Ila nilikuwa naomba sana hili lililotokea lisitokee i.e. Samia kuwa rais. Nilishaona kengele za tahadhari kuwa hana uwezo. Ukweli ni kwamba kwenye chaguzi karibu zote, vyama vyote vimekuwa vinaona running mates kama wasindikizaji tu. Hakuna aliyekuwa anaona kama rais anaweza kuja kushindwa kuendelea na uongozi na makamu akachukuwa. Ila Magufuli alikuwa na fursa ya kubadilisha mgombea mwenza au hata kubadili katiba na mfumo wa uchaguzi usiwe unahitaji rais na makamu kuwa kama ilivyo sasa.
 
Mtu huyo ni Rais Samia!

Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani].

Kamala yeye alichaguliwa na Biden kuwa mgombea mwenza kwa sababu ni mwanamke mweusi [ingawa kiuhalisia ni chotara wa Kihindi na Kijamaica].

Kamala ni mweupe kabisa. Yaani hovyo to the nth degree. Anaongeaga mashudu tu [word salads].

Hana kabisa uwezo wa kuongoza. Yeye ni kucheka cheka tu na kuongea mambo yasiyoeleweka.

Ukimwangalia Biden, unaona kabisa jamaa anapaswa awe nyumbani. Kazi ya urais wa Marekani kwa sasa haiwezi.

He is a creepy old guy. Hebu angalia hapa

Hivi alikuwa anafanya nini hapo kwa hako katoto? Na hiyo ni wiki iliyopita alipokuwa Finland baada ya kutoka Lithuania kwenye mkutano wa NATO.

Biden muda wowote anaondoka. Iwe kwa kujiuzulu, kuamua kutogombea tena muhula wa pili, au hata kufa [ingawa kifo hakina mwenyewe].

Wazo la Kamala kuja kuwa Rais wa Marekani endapo Biden ataondoka, linatisha watu wengi sana.

Haya, tuje kwa huyu wa kwetu hapa.

Huyu naye alichaguliwa kwa sababu ya identity politics tu. Ni mwanamke na ni Mzanzibari.

Kwa ninayoyaona, ni mtu asiye na uwezo wa kiuongozi ngazi ya Rais wa nchi.

Hakuchaguliwa kutokana na sifa zake za kiuongozi.

Inavyoonekana Magufuli alikuwa anataka sifa ya kuwa na mgombea wa kwanza wa CCM kumchagua mwanamke kuwa mgombea mwenza wake.

Haiwezekani kabisa kuwa Samia alichaguliwa kutokana na sifa zake kiutendaji [kwa sababu hana].

Jahazi limeshamshinda hivi sasa. Kabaki kutoa vitisho na kutumia dola kukabiliana na wanaompinga.

Na ukiongeza na inferiority complex aliyonayo kutokana na jinsia yake, ndo kabisa anakuwa paranoid kwamba kila anayempinga, anafanya hivyo kwa kusukumwa na chuki dhidi yake kwa sababu yeye ni mwanamke!

Rais Magufuli hakuwa kiongozi mzuri. Nilishasema mara nyingi tu kuwa yeye alikuwa msimamizi/ mnyapara mzuri.

Yeye mpe kazi au mradi ausimamie, halafu umpe mamlaka ya kutosha kuweza kufanya maamuzi ndani ya ukomo fulani, utampenda maana hakuwa wa mchezo mchezo.

Sidhani kabisa kuwa Magufuli aliwaza kuhusu yeye kuishia njiani na kumwacha Samia ndo awe Rais.

Nadhani alidhani kuwa atamaliza vipindi vyote viwili na kustaafu kama walivyofanya waliomtangulia.

Lakini haikuwa hivyo. Tumeachiwa huyu Samia.

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango, kwa mtazamo wangu, ni bora mara 100 kuliko Samia [I got bars too 😀].

Mbona hujaonesha mapungufu ya Samia kwenye huu uharo wako!?..aliyekwambia mgombea CCM huchagua mgombea mwenzao nani?..yeye mwenyewe kateuliwa na waliomteua huteua mwenza
 
Back
Top Bottom