Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hayo ni mambo ya Kiswahili
He's no more. Let him Rest well.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He's no more. Let him Rest well.
Is it truth, he is no more?He's no more. Let him Rest well.
aisee jiwe alirundika vijana miaka Mitano , hao unawatoaje sasa hv , ni aibu kubwa kijana aliyemaliza 2015 anacompete Ajira na kijana aliyemaliza 2021 ....
Passport penyewe ukiritimba kibao tofaut na Kenya au Nigeria madogo wanatoboka sana, nchi yetu inaongozwa na watu wenye failure mind, unawafungia vijana ndani, no Ajira zenu unawashauri wakalime, what a fucking shit, wakijarbu kujichanga na gambling za nje wanajikuta PayPal ipo closed....!!Mimi nashauri vijana wote waliomaliza vyuo vya elimu wapewe pasipoti kubwa ya kusafiri nje bila masharti yoyote, wazewe kwenda ughaibuni.
Every United States citizen is entitled to a U.S. passport provided that they, or an adult acting on a child’s behalf, comply with all applicable requirements, and that there is no statutory or regulatory reason to deny the passport .. more : source : Fact Sheet on Passports for Judges and Lawyers
Passport penyewe ukiritimba kibao tofaut na Kenya au Nigeria madogo wanatoboka sana , nchi yetu inaongozwa na watu wenye failure mind , unawafungia vijana ndani , no Ajira zen unawashauri wakalime , what a fucking shit , wakijarbu kujichanga na gambling za nje wanajikuta PayPal ipo closed ....!!
Mwenzako kaongea kwa hoja, badala ya kujibu kwa hoja unakata mauno.mama yako ndio aliyeharibu maisha yako kwa kukuzaa nje ya ndoa sio makufuli
Marais waliotangulia karibia watu wote walihuzunika ila kifo ya huyu jamaa kuna watu walikesha baa na kuchoma mbuzi.Is it truth, he is no more ?
And will not come again ?
Magufuri was a deadly viruses. Thank God our creature. Without Jesus Christ. Magufuli wanted to kill all of us who disagreed within him.
Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa, vyuo vikuu vyote nchini vinatoa jumla ya graduates wangapi kwa mwaka?Alikuwa na roho mbaya,vijana wote waliomaliza vyuo 2015 aliwatumbukiza kwenye janga la kukosa ajira.
Hivi daktari au mwalimu anakosaje ajira wakati shule nyingi na hospitali hadi leo wafanyakazi hawatoshi ,shule ina wanafunzi 500+ waalimu wako 6 halafu ajira hamna.
Jamaa alikuwa mfalme Juha .
Kipindi cha kikwete kulikuwa na graduates wengi kwa mkupuo, kumbuka UDOM ilianza kipindi cha kwanza cha Kikwete na ilikuwa kama chuo cha kata maana walikuwa wengi mno ,lakini mbali na hivo ajira zilikwepo,inakwaje JPM asimamishe kuajiri graduates wote miaka 4, ajira iliyotoka haizidi hata 2% , bado vyeti feki kibao walitolewa na nafasi zao wala hazijazwa, JPM alikuwa muhuni wa ajabu na roho mbaya.Kuanzia mwaka 2000 mpaka sasa, vyuo vikuu vyote nchini vinatoa jumla ya graduates wangapi kwa mwaka?
Batch iliyoajiriwa na Mkapa au Kikwete wakiwa na miaka 25, watakuwa wameshastaafu, declared incapacity au wamekufa by 2015?
Uwezo wa nchi kuhudumia mishahara ya hawa waajiriwa ukoje? Pato la nchi linakuwa?
Wakati wanamsulubisha Ulimboka, JK alisema kuna watumishi wa umma wapatao 400,000. Jumla ya watumishi wote wa serikali na binafsi ni ngapi?
Kama uchumi wa nchi umesimama pale pale au unazidi kushuka, umri wa watu kufanya kazi ni takribani maiak 36 kabla hujastaafu, utakuwa unaajiri wahitimu wote kila mwaka ili kuondoa lawama za raia ilhali waliopo tu hawana tija kwa taifa, uchumi haukui na bado WANADAI NYONGEZA based on number of years worked?
Tukumbuke sisi ni nchi fukara masikini, ukiniambia Marekani sijui Ulaya, hutakuwa realistic. Wao walikuwa kiuchumi baada ya kuvamia wengine na kuwapora na kufanya biashara haramu.
Wengi wanatoka nje ya mipaka yao kwenda kutafuta maisha tofauti na sisi; mwalimu alalamike kuhusu ajira, daktari pia, mhandisi hata wa mitambo pia alalmike, dereva kadhalika n.k
Nigerians wamesambaa, Indians, Europeans, Kenyans wanasambaa. Na hawa wote wanawekeza nyumbani wakipata huko. Sisi utasikia wanaiba serikalini, wanawekeza Texas, Houston, London, wakiwa waungwana saaaana, wataweka hapo SA, zinaajiri wazawa kule, huku wana lia lia.
Karibu kwa mjadala/majibu.
Mkapa hakuajiri?kipindi cha kikwete kulikuwa na graduates wengi kwa mkupuo,kumbuka UDOM ilianza kipindi cha kwanza cha kikwete na ilikuwa kama chuo cha kata maana walikuwa wengi mno ,lakini mbali na hivo ajira zilikwepo,inakwaje JPM asimamishe kuajiri graduates wote miaka 4 ,ajira iliyotoka haizidi hata 2% , bado vyeti feki kibao walitolewa na nafasi zao wala hazijazwa,JPM alikuwa muhuni wa ajabu na roho mbaya
Ni Sera ilibadilika.kipindi cha kikwete kulikuwa na graduates wengi kwa mkupuo,kumbuka UDOM ilianza kipindi cha kwanza cha kikwete na ilikuwa kama chuo cha kata maana walikuwa wengi mno ,lakini mbali na hivo ajira zilikwepo,inakwaje JPM asimamishe kuajiri graduates wote miaka 4 ,ajira iliyotoka haizidi hata 2% , bado vyeti feki kibao walitolewa na nafasi zao wala hazijazwa,JPM alikuwa muhuni wa ajabu na roho mbaya