Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

Mwalimu hakufanya huo ufisadi.
 
Hayo yote ni mambo mazuri sana anastahili pongezi
, Lakini haki na uhuru wa mtu hata mmoja kuishi una thamani kuliko hayo yote, chachu kidogo huharibu donge zima
Jomba hivi unapoishi hapo huna uhuru wa kuishi. ..aiseee. ..ni wapi unakaa. ..basi kama mtu mmoja wawili hata kumi mnakaa sehemu hatarishi haina impact out of 60milion people..its negligible we dont even need to bother
 
MATAGA kila siku tulikuwa tunawaambia kuwa Marehemu Dikteta Jiwe ni Jambazi mkawanatubishia
Kulikuwa na Sababu gani ya Kummiminia Lissu ma Risasi yote yale
 
Huyu mwenye kizazi cha vichaa nimempata, pamoja na hela zote ameshindwa kuwatibu wajukuu.
 
Tunangojea akina Makonda, Gambo, na wasiojulikana wenzao
 
Hii nchi ni ngumu sana,fikiria leo hii risiti feki za efd zipo kariakoo tena wazi wazi nje ya maduka.
Zinauzwa hadi laki moja kutokana na uhitaji wako.Hapa serikali na vyombo vyake vipo na yote yanaendelea.Unatarajia wasipojitokeza watu kama Sabaya mambo yataenda kweli?
Mfanyabiashara anafanya uhuni na yeye afanyiwe hivyo aone kama ni vizuri
 
Hivi wewe hapo ulipo, hadi umsikie huyo mtu ndio akili yako ijuwe kwamba Magufuli alikuwa ni mvunja sheria mkubwa?

Huna mfano mwingine wowote uliokuonyesha bila ya shaka yoyote kwamba tulikuwa na kiongozi jambazi hasa?
 
Kwani sheria inakataza kuwashughulikia hawa mkuu kwa taratibu zilizopo?

Kila mpenda haki angefuraha hii mihujumu nchi ishughulikiwe ipasavyo kwa taratibu za sheria zilizopo. Kama sheria zenyewe ni mbovu, basi zibadilishwe kwa utaratibu uliopo ili kuwabana hawa.

Huwezi kushadadia uvunjifu wa sheria, eti kwa vile unaowashughulikia ni wavunjifu wa sheria pia.
 
alikutumbua wewe mwenye cheti feki. hili sitalisahau kabisa.
Sema ukweli wako utamkumbuka kwa sababu siku hizi nakupiga miti bure kwani sina kazi na sina kipato!
 
Kila aliyeporwa atamkumbuka kwa mabaya.
Magufui alipenda sana akumbukwe kwa mema, lakini matukio kama hili la Sabaya na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Makonda n hata wengine kama kina Chalamila, alionyesha jinsi tabia yake ilivykuwa haieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…