Ilikuwa halali yao nawe unajua. Kwa andiko hili Unamkumbuka pia JPMNa ni mpuuzi tu asieona uhalifu waliofanyiwa baadhi ya WaTz kwa kigezo cha kutokuwa wafuasi wake .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa halali yao nawe unajua. Kwa andiko hili Unamkumbuka pia JPMNa ni mpuuzi tu asieona uhalifu waliofanyiwa baadhi ya WaTz kwa kigezo cha kutokuwa wafuasi wake .
Ahahahaaàaa . Kwa ubaya lakini .Ilikuwa halali yao nawe unajua. Kwa andiko hili Unamkumbuka pia JPM
Ungejua kuwa hakuna familia ambayo haikuguswa na utawala wake, lakini haya aliyafanya kwa faida ya wengi. Ni bora wachache wapate shida including me lakini wengi wa Watanzania waneemeke. Hebu fikiri, kama JPM angemalizia miaka yake 4 tungekuwa wapi kimaendeleo ya infrastructure?Ahahahaaàaa . Kwa ubaya lakini .
Halali yao kwa kuwa haikukugusa wala jamaa zako. Yule alikuwa dictator kama madictator wengine.
Maendeleo yana maana gani kama maisha yangu haya yasio na mbadala yanakuwa hatarini ?! .Ungejua kuwa hakuna familia ambayo haikuguswa na utawala wake, lakini haya aliyafanya kwa faida ya wengi. Ni bora wachache wapate shida including me lakini wengi wa Watanzania waneemeke. Hebu fikiri, kama JPM angemalizia miaka yake 4 tungekuwa wapi kimaendeleo ya infrastructure?
Ubinafsi unakuelemeaMaendeleo yana maana gani kama maisha yangu haya yasio na mbadala yanakuwa hatarini ?! .
Ma dictators hujificha kwenye uzalendo uchwara wa kutimiza kiu yao ya kuumiza wenza wao. Ndiyo tulioyashuhudia awamu hiyo yenye kumbukumbu mbaya kwa WaTz ya wasiojulikana
Sabaya si polisi...na hata angekua polisi haruhusiwi kufanya uhalifu Kama aliofanya...Uhalifu gani alioufanya? Polisi akienda kukamata mtuhumiwa anafanya uhalifu? Hebu tusubiri mahakama ifanye kazi yake tusiwe wepesi wa kuhukumu masuala tusiyoyajua kwa kufuata mkumbo. Ndo yale yale mtu anatuhumiwa kwa ugaidi wengine wanaandamana mahakamani kupinga.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
KabisaaaaaaaLile lizee nililichukia sana maana najua lilikuwa libaguzi na lenye roho ya kishetani
Makonda nae alitakiwa Leo awe anafi.rwa jela Kama sabaya. ..tena wakati amevamia clouds pale ndio wangemshtaki...Nilishangaa siku 1 makonda anatengeneza magari ya jeshi ya Arusha
Bila kusahau kubwa kuliko yote.Hahahah endeleeni tu kujitungia tamthiliya. ..Magufuli tunachojua alifanya haya hapa
Sasa tumwangalie huyu sifa Zale
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda
Si vyema kuhisi upuuzi. JPM atakumbukwa milele na Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe
Mbona mnasahau mapemaRais marehemu JPM angekuwa anaelekeza vitendo vya kihalifu angepata wapi Muda wa kuyafanya haya.pamoja na makamu wake na waziri mkuu wake..???
Hivi mnadhani watanzania wajinga eeeeh
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi wa Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge sasa waliishi kama malaika peponi
11)upande wa madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow-down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..
Nitamkumbuka kwa wizi! Rais wa kwanza Tanzania jambazi!Si vyema kuhisi upuuzi. JPM atakumbukwa milele na Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe
Wewe hata avater yako inaonesha una abnormality. Subiri atoke nitakutafuta.Sasa kama una kengeza sijui tukusaidieje!
Ninyi watu wachache sijui huwa mnaongozwa na nini ktk namna yenu ya kufikiri.Nitamkumbuka kwa wizi! Rais wa kwanza Tanzania jambazi!
Sasa hivi nilikuwa naangalia Rewind katika Aljezeera your naonesha kuwa JPM alikomesha mauaji ya albino katika Tanzania.Nitamkumbuka kwa wizi! Rais wa kwanza Tanzania jambazi!
Tena uje na pimbi wako ndo utaijua hii nchi ikoje.Wewe hata avater yako inaonesha una abnormality. Subiri atoke nitakutafuta.
Wewe unayeongozwa na masaburi tuambie utamkumbuka kwa lipi?Ninyi watu wachache sijui huwa mnaongozwa na nini ktk namna yenu ya kufikiri.
Mauaji ya albino yalikomeshwa enzi za Kikwete!Sasa hivi nilikuwa naangalia Rewind katika Aljezeera your naonesha kuwa JPM alikomesha mauaji ya albino katika Tanzania.
Jomba sasa sijui umeandika nini uozo Mtupu. ..hayo yote unayoyasema mbona sio mambo binafsi jomba...nilifikiri yanahusu familia yake kumbe yanahusu jamii au wananchi. Sasa unataka kutuambia hapa wale wananchi wooote wanaoishi maeneo ya kule hawana haki ya kupata uwanja wa ndege benki madaraja mifugo n.k utakuwa mwehu...au labda unadhani wananchi wanaoishi maeneo yale ni wenyeji wa Chato au mwanza pekee.unaumwa wewe. Kule wapo wakwele wahaya wazaramu wanyakyusa wangoni n.kkMbona mnasahau mapema
vile vile huko CHATO:
1 Alijenga uwanja wa kimataifa bila bajeti kupitia bungeni.
2 2 Alipora tshs 1.5trillioni ambazo hadi leo hazijulikani zilikokwenda.
3 Alimtimua kazi CAG aliyehoji matumizi ya tshs 1.5 trillioni4
4 Alijenga hospitali ya rufaa kwao Chato
5 Alijenga tawi kubwa la CRDB ambalo ambapo ilihojiwa sijui atapata wapi wateja
6 Zilijengwa barabara nzuri sana Chato hadi taa za barabarani, kwa ajili ya kuongoza baiskeli
7 Alihakikisha Baraza la Mawaziri linakuwa la Kanda ya Ziwa.
8 Mkwe alijengewa daraja kubwa la Busisi
9 Alihakikisha fedha zote za kodi zinazopatikana fungu kubwa liende kanda ya ziwa
10 Alihamishia wanyama toka Serengeti kwenda kwao Chato-Busisi
Kwingineko:
a) Aliapa kuwatandika mashangazi wa Waziri Mkuu wake Majaliwa
b) Alimwambia mwananchi akitumia barabara zake aache mavi yake nyumbani
c) Alikuwa hawajui wala hakuwahi kuwasikia wasiojulikana
d) Hata yeye hajui nani alimteka Mo
.......
Yapo mengi ya kushangaza juu ya huyu jamaa, hakika tuta mmissi!
Kwa hiyoAlishakufa lakini;