Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Hahahah endeleeni tu kujitungia tamthiliya. ..Magufuli tunachojua alifanya haya hapa
Sasa tumwangalie huyu sifa Zale
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda