Magembe sociable
JF-Expert Member
- Jul 10, 2021
- 213
- 352
Niliposikia utetezi wa mkuu wa wilaya SABAYA sikuamini masikio yangu ,hivi Ni kweli awamu ya tano tulikuwa na IGP,mkuu wa majeshi JWTZ,mkurugenzi wa usalama wa Taifa,WAZIRI MKUU,JAJI MKUU,SPIKA ? Kama sabaya aliyafanya hayo kwa kujiamini bila kukemewa leo hao watu tajwa hapo juu wanafanya Nini katika ofisi za umma? Wote wanapaswa kujiuzulu kwa kutaka,kushauri na hata kulazimishwa, haiwezekani raia wafanyiwe vitendo dhalimu kiasi hicho Kisha sabaya aonekane shujaa.
Hakimu wa kesi hii SABAYA ameshakiri kufanya kosa Haina maana yoyote kuendelea na kesi hii fanya kulingana na SHERIA itakavyo.
Mbowe aliwahi kumuuliza waziri MKUU "kwa Nini mmetuletea mkuu wa wilaya muhuni? Kasim alimjibu kuwa Kama mkuu wa wilaya Ni muhuni basi aliyemteua yupo hivyo.
Inauma Sana kuona tuhumu zinaenda kwa makamu wa Rais na Gavana wa fedha huku bado wapo kwenye ofisi za umma,Hawa wanapaswa kuondoka ofisini.