Hayati Magufuli alikuwa akielekeza vitendo vya kihalifu?

Usijipe matumaini.
Maovu aliyifanya Sabaya yanayotokana na kutumwa na Magufuli sasa ni wazi.
Sasa aliyemtuma kafariki na alikuwa mshiriki wa huo uhalifu.
Ndio maana Sabaya anashitakiwa.
Suala la Sabaya linaibua mambo mengi yaliyo ya kihalifu ambayo watu walihisi Magufuli kuhusika moja kwa moja.
Wizi wa mabenki Arusha
Risasi za Lissu
Kutekwa Mo
.............
Tutasikia Mengi!
Na kweli tutasikia mengi.ila mengi sana tumeyasikia ni haya
Sasa tumwangalie huyu sifa Zake
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda
 
Alikua anatumwa kuwakamata wahalifu yeye kama nani??alikua polisi au arusha hakukuwa na polisi wa kukamata wahalifu??....hivi hii nchi tumefika huku kweli??kwamba mkuu wa wilaya anatoka mkoa wake anaenda mkoa mwingine kupiga watu!!...Mungu alitufanyia neema kubwa kumtoa yule mtu duniani....maana kwa namna hii tungeisha...Mungu anaipenda sana tz..
Nilishangaa siku 1 makonda anatengeneza magari ya jeshi ya Arusha
 
Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.

Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.

Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Wewe ni mchonganishi, hakuna sehemu ambayo sabaya kasema hivyo, hizo ni sentensi zako binafsi.
 
Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.

Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.

Kuna minong'ono mingi ya uhalifu uliofanywa Awamu ya Tano kwa maelekezo "toka juu".
Ni kweli huyu mzee mimi nilimpenda baada ya vita ya korona tu, but he was a serial killer hasa wale waliokuwa wanahatarisha empire yake yeye kama yeye., alidhani hii nchi unaiweza kui mould kama alivotaka.
Kumbe sivyo ilivyo. Hii ilimsababisha kumaliza miaka mitano yake lakini too much people have suffered, hebu wakumbuke malofa waliovunjiwa nyumba!!! Kwa vile tu hawakumpa kura, hata hivyo tumepumzika kidogo
 
Ni mpuuzi tu anaeweza kushangilia uharamia na uhalifu aliofanya mwendazake.
Mimi nasema wewe ndio mpuuzi labda. .tizama kazi chache alizofanya JPM za kizalendo. ..
Sasa tumwangalie huyu JPM
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda kule
 
Ni kweli huyu mzee mimi nilimpenda baada ya vita ya korona tu, but he was a serial killer hasa wale waliokuwa wanahatarisha empire yake yeye kama yeye., alidhani hii nchi unaiweza kui mould kama alivotaka.
Kumbe sivyo ilivyo. Hii ilimsababisha kumaliza miaka mitano yake lakini too much people have suffered, hebu wakumbuke malofa waliovunjiwa nyumba!!! Kwa vile tu hawakumpa kura, hata hivyo tumepumzika kidogo
Hao malofa ndio sisi sasa watanzania tulimkubali baada ya kugundua JPM alifanya haya kwa uaminifu mkubwa Sana
Sasa tumwangalie huyu JPM
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutengenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .lao lilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..
 
Rais marehemu JPM angekuwa anaelekeza vitendo vya kihalifu angepata wapi Muda wa kuyafanya haya.pamoja na makamu wake na waziri mkuu wake..???
Hivi mnadhani watanzania wajinga eeeeh
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi wa Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge sasa waliishi kama malaika peponi
11)upande wa madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow-down kwa JPM

Alishakufa lakini;
 
Wao watuambie kwanini walikuwa wanapora haki zawatanzania kwa kutolipa kodi. ..mkiwa mnasema muwe mnatueleza na haya
Na waliobomolewa bila fidia Kimara je?
Mnamtetea mtu mwenye faili Mirembe?
 
Rais marehemu JPM angekuwa anaelekeza vitendo vya kihalifu angepata wapi Muda wa kuyafanya haya.pamoja na makamu wake na waziri mkuu wake..???
Hivi mnadhani watanzania wajinga eeeeh
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi wa Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge sasa waliishi kama malaika peponi
11)upande wa madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow-down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya monster huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .laolilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..
Mkuu wewe mtetezi wa mtu mwenye faili mirembe?
Kuna mwananchi aliambiwa aache mavi yake nyumbani, aliyesema ni Head of State!
 
Sawa kama sisi watanzania ni wapumbavu tutamkumbuka JPM milele kwa kazi hizi
Sasa tumwangalie
1)aliweza kununua midege 11 ndani ya miaka 5
2)ameweza kujenga meli kubwa Lila Zima
3)ameweza kujenga vivuko vikubwa zaidi ya 10 kila eneo lenye shiva
4)ameweza kuongeza bajeti ya afya kufikia bilion 260 kwa mwaka kutoka bilion 20
5)ameweza kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kufikia bilioni 250 kutoka bilioni 30 kwa mwaka
6)ameweza kuondoa watumishi hewa zaidi ya 50000..watumishi
7)ameweza kubaini vyeti feki zaidi ya 30000 watumishi
8) amejenga mabarabara lukuki ma flyovers kupanua barabara nyingi kwa mbinu zake mfano Morocco mwenge
9)ameweza kuleta nidhamu ya Hali ya juu katika utumishi WA Uma.
10)amepambana na mafisadi na wakwepa kodi na walinyooka. .Hao Sasa waliishi kama mashetani tu. Na wanyonge SAS waliishi kama malaika peponi
11)upande WA madini Ndio usiseme. .Tanzanite ukuta ukajengwa Mere rani
12)Gold na mengineyo mikataba ikafungwa na kutngenezwa upya kwa faida ya wote. .win win situation
13)mabepari wale WA madini walinywea na ku bow down kwa JPM
14) elimu Bure primary to secondary
15)hivi ni wapi hakugusa. ..taja mengine meeeengi mnayajua aliyofanya huyu mzalendo. .na alikuwa akisaidiwa na mama Samia. .lao lilikuwa Moja. So msimchukulie poa mama oooooh. ...
Wakati mnaongea tafadhali muwe mnatukumbusha na mazuri haya ambayo ameyafanya. .na nikwambie watanzania walimkubali asilimia 95...na itikadi yake JPM tayari ipo katika mioyo ya watanzania wote karibu. .na wanamkumbuka sana...kuifuta hiyo sio leo jomba. Na wewe huwajui watanzania vizuri. ..nenda kule
Tusichoke tuzidi kuwaelimisha hawa watoto. Umenena makubwa na ubarikiwe
 
Kazi ya kuuwa watu ndani ya viroba na kupiga risasi? Kazi gani hasa unayomaanisha!
Si vyema kuhisi upuuzi. JPM atakumbukwa milele na Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe
 
Back
Top Bottom