Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nafikir tayari jamaa washaanza kupatiwa pesa. Humuoni Mbowe, Zito and Co wakipiga kelele.
Nina muda sijakuona hapa jukwaani toka dhalimu aelekee kuzimu. Halafu umerudi na kujiingiza kwenye siasa za kitoto hapo hapo!