Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jun 27, 2021 #21 MISULI said: Nafikir tayari jamaa washaanza kupatiwa pesa. Humuoni Mbowe, Zito and Co wakipiga kelele. Click to expand... Nina muda sijakuona hapa jukwaani toka dhalimu aelekee kuzimu. Halafu umerudi na kujiingiza kwenye siasa za kitoto hapo hapo!
MISULI said: Nafikir tayari jamaa washaanza kupatiwa pesa. Humuoni Mbowe, Zito and Co wakipiga kelele. Click to expand... Nina muda sijakuona hapa jukwaani toka dhalimu aelekee kuzimu. Halafu umerudi na kujiingiza kwenye siasa za kitoto hapo hapo!
C chipa GM JF-Expert Member Joined Jan 21, 2012 Posts 1,815 Reaction score 2,973 Jun 27, 2021 #22 dudus said: ... JJ Mnyika ni msukuma; alitaka kutumia gia ya ukabila hakujua JJ ni smart kupitiliza upstairs once a Tanzania One! Click to expand... Siyo msukuma
dudus said: ... JJ Mnyika ni msukuma; alitaka kutumia gia ya ukabila hakujua JJ ni smart kupitiliza upstairs once a Tanzania One! Click to expand... Siyo msukuma
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 27, 2021 #23 Mnyika kapoa sana...