Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
JPM alikuwa mwana Afrika wa kuigwa daima
Kwa kujenga Dodoma ni kufuja mali? Kununua midege je?..angekuwa na maono asingefuja fedha zetu kujenga mji mkuu Dodoma, na kununua midege inayotutia hasara.
..badala yake angeelekeza fedha hizo kwenye miradi ya kimkakati kama bandari, na kukuza kilimo.
Kwa kujinga Dodoma ni kufuja mali? Kununua midege je?
alikuwa na maono ya kuigawa hii nchi km nyie mazuzu mnavyowaza kuigawa Tanzania jambo ambalo haliwezekana mpaka mnaenda kujiunga na mzee wenu wa legacySitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.
Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.
Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
kulikuwa hakuna haja ya kuteketeza matrilioni yote yale kujenga makao makuu ya nchi wakati watanzania wengi hawana ajira na ni maskini wa kutupwa. Ule ulikuwa uamuzi wa kishamba usio kifani. Ujenzi wa Chato airport, ile hospitali kubwa ya rufaa ni ufisadi mkubwa na ubaguzi wa kuigawa nchi...Dodoma tumetumia matrilioni kujenga maofisi na majumba ya VIONGOZI.
..Je, kulikuwa na ulazima? Je, ilikuwa ni kipaumbele? Je, viongozi walikuwa hawana maofisi na mahali pa kukaa?
..Kati ya Dodoma na bandari ya Dsm kipi kinaongeza MAPATO kwa nchi?
..Vilevile kati ya midege ya ATCL na bandari kipi kinatuingizia mapato makubwa zaidi?
Unataka kusema hata SSH hafai piaSitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.
Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.
Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
Nape amekuwa na tumbo kama pipa kwa sasa ,kwa sabubu ya rushwa za hapa na pel kutokea kwa makumpuni ya cmSitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.
Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.
Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
Kwani yeye mungu, mwenyewe hakuwa mkamilifuSitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake.
Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa.
January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa Mahindra Group huku hakuna alichoboresha.
Nape ndio bogus kabisa, maana yeye anadhania kila mahala ni propaganda na porojo tu. Kisa tu mburula ambaye anaishi kwa kuropoka majukwaani na kutembelea jina la baba yake.
Leo mnashuhudia kwa macho yenu.
Aina hii kama mleta mada ndio wanaomfanya JPM achukiwe na baadhi ya watu walioupenda uongozi wake miaka ile akiwa hai...angekuwa na maono asingefuja fedha zetu kujenga mji mkuu Dodoma, na kununua midege inayotutia hasara.
..badala yake angeelekeza fedha hizo kwenye miradi ya kimkakati kama bandari, na kukuza kilimo.
Aina hii kama mleta mada ndio wanaomfanya JPM achukiwe na baadhi ya watu walioupenda uongozi wake miaka ile akiwa hai.