Hayati Magufuli alikuwa sawa Maendeleo ya vitu ni maendeleo ya wananchi

Ni kweli ule uwanja wa chato unatusaidia sana sisi wasukuma tunaanikia dagaa na mahindi saivi.
 
Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini.

Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi.

Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
Zinawasaidia kwa kutembea kwa miguu huku bidhaa wamebeba vichwani. Fedha za kulipia usafiri hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…