Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

Kumbe unapiga ramli
 
Hvi watu million 10 wanywe ARV alafu 2 wafariki utaacha kutumia ARV? let's be serious.
Wewew .ukipiga dawa ya kuuwa mbu ,mbu wote hawaanguki au kufa kwa pamoja ,anaanza mmoja mmoja na wengine wanasepa ila mwisho utwakuta wengi wamepotea au tuseme wamefariki.
 
Wewew .ukipiga dawa ya kuuwa mbu ,mbu wote hawaanguki au kufa kwa pamoja ,anaanza mmoja mmoja na wengine wanasepa ila mwisho utwakuta wengi wamepotea au tuseme wamefariki.
Tushazika tayari
 
Kwani Tanzania hawajapukutika?
Mwenyekiti akija.m.ba utasema ananukia marashi, akiongea pumba utasema kaongea point. Muda mungine sio lazima umtetee kwa kila jambo maana na yeye ana mke na watoto ambao ndio wangefaa kumtetea, sio ww muuza mihogo.
 
Alichokosea ni kusema Tanzania hakuna Corona, jambo ambalo halikuwa kweli kabisa, na haya matatizo ya chanjo zote yalitarajiwa, sayansi haiko perfect kama tulivyo binadamu, lakini kwa hakika huko mbele chanjo smart itapatikana.
 
Nilishasema chanjo sichomi ,wachome wanaotaka tusilazimishane!
Mungu aliyeniokoa kwenye covid iliyoisha ndo ataniokoa na hii.
 
mwenda zake alikua anaisha miaka ya 1950 huko zile itikadi za kupambana na ubeberu na ubepari na kusahau yale mambo yashapitwa na wakati na generation imebadilika inshort alikua short sight person amabe kuona mbali alikua hataki kuvaa miwani
 
Mwenyekiti akija.m.ba utasema ananukia marashi, akiongea pumba utasema kaongea point. Muda mungine sio lazima umtetee kwa kila jambo maana na yeye ana mke na watoto ambao ndio wangefaa kumtetea, sio ww muuza mihogo.
Unafikiri kila mtu ni CHAWA, SUKUMA GANG, MATAGA kama nyinyi mlivyokuwa mnamramba miguu malaika wenu?


Tazama hapo unavyojiaibisha kwa kuramba miguu ya malaika wako
Shame on you .
 
ARV na Chemotherapy zile zina side effects kubwa sana ila sijawahi sikia mkisema zipigwe marufuku.

Watu 6 kati dozi million 7 ndio chanjo ipigwe marufuku.

Bahati mbaya unabishana na watu waliokwisha amua kutokuwa rational kabisa wakifuata nyayo za Hayati.

Mwanzoni, propaganda yao kubwa ilikuwa chanjo inaletwa ili kutumaliza waafrika/Watanzania kuwezesha “mabeberu” wachote rasilimali zetu! - dhana ya vita vya kiuchumi ya JPM.

Huwezi kuwaelewesha kitu watu wa aina hii. They’ve chosen to be completely irrational.
 
Ubarikiwe sana
 
Hivi unajua hata kila mahali pakijengwa dunia hii haiwezi kuelemewa hata kwa kilo moja?? materials yote yanatoka kwenye hii dunia. Hakuna material yanayotoka nje ya dunia kuja kujenga majengo tunayoyaona.
 
Upotoshaji mkubwa unajaribu kuufanya hapa. Kwanza si kweli kwamba chanjo hizo zimesitishwa kabisa, bali zinatolewa kulingana na Umri, mfano Uingereza wao wanatoa kwenye umri wa miaka 55+, wakati Ujerumani wanatoa kwa wenye umri wa miaka 65+.

Kama chanjo imetolewa kwa watu milioni 25 na watu watano ama 6 wakapata matatizo huwezi kusema chanjo hiyo haifai, vinginevyo utaonekana kilaza wa kiwango cha juu. Mpaka leo kuna baadhi ya watu wanasumbuliwa na aina fulani ya dawa za malaria wanapozitumia, lkn hakuna kelele za kusema hizo dawa hazifai.

Ujinga tulionao Waafrika ni kuwakebehi Wataalamu wa Kizungu wanapopambana kutafuta suruhisho kwa matatizo mazito ya Dunia yetu huku sisi kitu pekee tunachokiweza kwa ufanisi ni kuuana wenyewe kwa wenyewe kupitia siasa zetu na zaidi kuzaliana bila mpango. Halafu watu hao hao ndo wepesi kubeza tiba za wenzetu..
Katika chanjo zote tulizonazo katika hospitali zetu, ipi imetengenezwa na (Mtanzania) Mwafrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…